Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Punyeto mbaya sanaUkraine wana propaganda za kitoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukrainian propaganda is weak.
A quick Google/Yandex search would have saved you a lot of humiliation.View attachment 2636344
Huyu jamaa ana akili sana na ni mwana sheria - amekwisha ona vita hii inapo kwenda si sawa kwa bara la Ulaya - hataki bara la Ulaya lizame kiuchumi na viwanda - vijana wakose ajila kutokana na Viongozi wao kufuata foreign policy msifirisi za Merikani wanapenda Ulaya iharibikiwe kiviwanda na kiuchumi huku Merikani ikifahidika kwa kupitia shida za Barani Ulaya.German Chancellor Olaf Scholz says he wants to speak to Russian President Vladimir Putin "in due course", offering the prospect of resuming contact after a near-total breakdown of relations since the start of the war in Ukraine.
Habari zipendwazo zaidi masikioni mwanguUsiku wakuamkia Leo Kyive Imepokea Makombora Yakutosha
Huo ni mwanzo - makubwa yanakuja.
Safi med kabla hazijawafika tunawawahi hao MAGAIDIView attachment 2635818If the West provides Ukraine with nuclear weapons, "it will be necessary to launch a preemptive strike," Medvedev said. According to him, the West is not fully aware of this and believes that it will not come to this: "It will come, under certain conditions."
t.me/mriya24/22511
Si kama ilivyokimbia NATO tuuuMalengo gani pale Afghanistan yalitimia, USSR si ilitimua mbio.
Sasa naona umeanza kujielewa unalinganisha Russia na Ukraine, sio kulinganisha Russia na Marekani.
Twende taratibu basi maana kama umesema lazima tukukumbushe hata kama utapingaKumbe teknolojia ya Mmarekani unatumia alafu kutwa kuwachukia si utumie teknolojia za Urusi.
Sasa mbona unalialia kama evidence huna si upige kimya
Ngoja nieke kituo hapaDunia imekwisha jionea yenyewe kwamba kumbe Patriot na paper tiger tu,, hafui dafu kwa lightening fast Tzar Putin the terrible's missiles which defies all laws of physics. Mtasema mengi lakini ukweli ndio huo, Urusi si taifa la kuchukulia kimzaa mzaa - karibu asilimia 80% ya silaha Ukraine ilizopewa na US/NATO zimekwisha tiwa kiberiti vikiwemo vifaru na depleted Uraniam shells vilivyo kuwa vimehifadhiwa kwenye ghala la silaha la siri - juzi hapa Dunia ilishuhudia linateketea kwa mlipuko mkubwa na moto.
Niwabieni kitu, baada ya. WW2 Dunia haijawahi tena kupitia katika kipindi cha viongozi wendazimu na wasio tumia busara na hekima kama Uongozi wa kipindi cha Biden na Zelensky jamaa hawa ni hatari sana kwa Amani Duniani nina uhakika jeuri za Biden dhidi ya chuki zake binafsi dhidi ya Putin, inaelekea Biden anaweza kuhamuru silaha za nuclear zitumike kwa mara ya kwanza dhidi ya Taifa la Urusi - hata akili za kufikiria vast Retribution kutoka Urusi kwenyewe - Biden akili hizo hana kabisa!!!
Biden na wajinga wenzake wasio ona mbali wamepania kwamba kabla ya mwisho wa term ya kwanza ya utawala wa Biden kama Urais wa USA ni lazima USA na NATO wawe wamepigana vita na Russia no matter what!!! Na huu ndio utakuwa mwisho wa Dunia, lakini cha ajabu jamaa hajali chochote he naively thinks he and his family,distance relatives and friends can some how survive nuclear catastrophe to tell the tale the morning after!!
jamaa muongo weweHii ni Jana tu, zaidi ya mia nne walichinjwa 🥱🥱🥱🥱View attachment 2636436
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]kapitiliza kwa uongo ....jamaa muongo wewe
Mkuu labda jielimishe kidogo kuhusu taratibu za uchumi. Hakuna anayefaidika kama viwanda katika sehemu moja ya dunia yanatoweka. Kwa mfano kuporomoka kwa tasnia za Urusi ni hasara kwam makampuni ya Ulaya.Huyu jamaa ana akili sana na ni mwana sheria - amekwisha ona vita hii inapo kwenda si sawa kwa bara la Ulaya - hataki bara la Ulaya lizame kiuchumi na viwanda - vijana wakose ajila kutokana na Viongozi wao kufuata foreign policy msifirisi za Merikani wanapenda Ulaya iharibikiwe kiviwanda na kiuchumi huku Merikani ikifahidika kwa kupitia shida za Barani Ulaya.
Infact Merikani inajitayarisha kutumia f-16 kubeba tactical gravity nuclear bombs kwenye vita hii kuzidondosha Urusi na Ukraine - wana mawazo ya ajabu sana, kwenye akili zao wanafikiri Urusi itakaa kimya!! Yaanin Urusi hawawezi ku retaliate massively with even deadliest thermonuclear missiles turning whole US land mass into a radio active desert.