T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Bila samahani mkuu humu tunaelimishana. Mwaka 1944 Field Marshall Erwin Rommel alitakiwa anyongwe. Kutokana na kuwa maarufu kuliko majenerali wote jeshi la Ujerumani ilimuwia vigumu Adolf Hitler kumuua kwa execution squad maana ingepunguza morali ya jeshi na wananchi.Kwa nini hao 15 walijipiga risasi mkuu? Na ni lini? Samahani lakini kwa kukuuliza
Jomba jomba... Mbona unaonekana mfuatiliaji ila unafaitilia kimahaba...Malighafi wanauza wengine pia. Kama Urusi wangekuwa nchi ya pekee - hii ingewapa mamlaka kubwa. Jinsi ilivyo sasa kuhusu gesi ya nchi kadhaa za Ulaya. (wanajitahidi kupata mbadala; Ujerumani wameanza sasa kujenga bandari kwa gesi inayofika kwa meli . hadi sasa walitegemea gesi ya Urusi kwa njia ya bomba).
Mambo yote bado yapo duniani. Hakuna haja kwenye sayari.
Mafuta: Venezuela na Iran watafurahi wakipata tena wateja kwa mafuta yao. Pamoja na hayo Ulaya inaelekea kupunguza mahitaji yake kwa kurukia nishati mbadala kama sola na upepo, na hidrojeni.
Kumbuka (ulipendelea kutojibu): Putin angeweza sasa kulazimisha Waulaya kama angezima gesi yake. Kwa sasa hivi hawana mbadala (bado). Lakini hazimi. Anahitaji kila senti.
Na apo mwisho sikukujibu kwasabab hufikirii kwa utashi wako unafikiria kwa mhemko...Malighafi wanauza wengine pia. Kama Urusi wangekuwa nchi ya pekee - hii ingewapa mamlaka kubwa. Jinsi ilivyo sasa kuhusu gesi ya nchi kadhaa za Ulaya. (wanajitahidi kupata mbadala; Ujerumani wameanza sasa kujenga bandari kwa gesi inayofika kwa meli . hadi sasa walitegemea gesi ya Urusi kwa njia ya bomba).
Mambo yote bado yapo duniani. Hakuna haja kwenye sayari.
Mafuta: Venezuela na Iran watafurahi wakipata tena wateja kwa mafuta yao. Pamoja na hayo Ulaya inaelekea kupunguza mahitaji yake kwa kurukia nishati mbadala kama sola na upepo, na hidrojeni.
Kumbuka (ulipendelea kutojibu): Putin angeweza sasa kulazimisha Waulaya kama angezima gesi yake. Kwa sasa hivi hawana mbadala (bado). Lakini hazimi. Anahitaji kila senti.
Huyu Zelensky ni muigizaji na kipaji chake anakiendeleza hata vitani na wala hutoona Western media zinasema. Hii sio video yake ya kwanza ya uongoZelensky published a video in which he allegedly visited a hospital with wounded soldiers of the Armed Forces of Ukraine today...
Wew tuishie kwenye vita tuu usiingilie fani za watu ungekuwa mwanauchumi si tungekuwa kama South now unajiona unatumia akili kuuubwa kwa hiyo hiyo gesi inayosafirishwa itakuwa itakuwa ya bei cheep kuliko inayokuja na Bomba you think your too intelligent bt your an empty headMalighafi wanauza wengine pia. Kama Urusi wangekuwa nchi ya pekee - hii ingewapa mamlaka kubwa. Jinsi ilivyo sasa kuhusu gesi ya nchi kadhaa za Ulaya. (wanajitahidi kupata mbadala; Ujerumani wameanza...
Hiki ulichoandika ni uhalisia mkubwa kabisa. Yani tungekuwa chuo hapa lecturer angetoa recommendation ya hili desaWewe jamaa ni very naive.
First of all vikwazo alivowekewa Russia sio vya kuleta matokeo kesho asubuhi ila vikwazo ambavyo vitamzoofisha in short and long term...
Bila samahani. Ni vema kujadiliana kwa ustaarabu hata tusipokubaliana. Hapana Urusi si kama nchi ya Kiafrika. Lakini nimeangalia uchumi wa nje. Tazama Urusi, linganisha na China na Marekani. Warusi wanaweza kuuza hasa malighafi na bidhaa zisizoongezeka thamani sana - mfano feleji na mabati ya feleji (ukitazama orodha ya wikipedia kwa haraka, ukisikia dharau bado, nenda kwenye chanzo hapa (unaweza kubadilisha country pale juu). Wanauza pia mashine, magari, madawa (bidhaa zilizoongezeka thamani ) lakini hizo ni kama 5% za export yao. Maana hawana vitu vingi vyenye thamani iliyoongezeka ambavyo watu nje wanataka. Linganisha Marekani: kwao bidhaa hizi ni zaidi ya 40%; angalia China kwao ni juu ya 50%. Maana hao wanazalisha vitu vingi ambavyo watu wengi wanatafuta.Samahani, hivi unaichukulia Russia kama nchi za kiafrika siyo.
Wewe ulisema russia wanauza raw material. Unajua kuhusu international space station!?
Unajua china ananunua silaha za kivita kutoka Russia!?
Angalau mtu mmoja anayejua kusoma takwimu na tarakimu kati ya majenerali wa kitandaniWewe jamaa ni very naive.
First of all vikwazo alivowekewa Russia sio vya kuleta matokeo kesho asubuhi ila vikwazo ambavyo vitamzoofisha in short and long term.
Russia uchumi wake kwa zaidi ya 20% unategemea mafuta, na kwa taarifa na wengi hawaijui ni kuwa USA na Canada ni wazalishaji wakuwa wa mafuta USA ni wa kwanza Duniani, Bei ya Mafuta haipangwi na taifa moja ndio maana Bei inapanda hata kwa mataifa ya yanayozalisha sana, ili kupunguza makali ya bei, Marekani huwa wanaakiba ya Mafuta, wenyewe wanaita Strategic oil reserve huitumia kipindi ambacho kuna emergency hasa kipindi hiki, Kwa taarifa yako USA wangekuwa wanatoa tu hii reserve wanaweza kuireplace Russia ndani ya mwezi kama muuzaji mkuu wa Mafuta.
Saudi Arabia ndio silaha kubwa ya marekani linapokuja suala la Nishati duniani, ni suala la muda tu Saudi Arabia ataongeza uzalishaji, Pia Marekani tayari amepata unlikely Ally kwenye hili naye Ni Venezuela, Venezuela ndio taifa lenye kiwango kikubwa cha mafuta kilichogundulika ila bahati mbaya hanufaiki nayo kwa sababu ya vikwazo (China na Russia hawajuzia kuathiriwa na vikwazo vy Magharibi)
Kuna watu wanasema Russia itaitumia China kukwepa vikwazo (at least watajaribu) wote wanaosema hivi hawajawahi kuwe kwenye Biashara za kimataifa ambazo zinahusiana na kuhamisha mitaji kati ya nchi na nchi, Kila mtu anayefanya Biashara na taifa fulani anaangalia kitu kinaitwa "Financial Risk of Doing Business", ahadi na ndoto hazishibishi hapa Pro Russia muelewe, Wiki Iliyopita Xiaomi kampuni ya China ilipunguza 50% ya Biashara zake inazofanya na Russia, na si Xiaomi pekee na hata Mabenki ya China yanakwepa kufanya miamala ya Benki za Urusi.
Unasema ticket za Ndege za Mataifa ya Ulaya zimepanda Bei, Hivi kupanda Bei na Shirika lako kufa Bora nini?
Kama hujui au kwa faida ya wengine Shirika la ndege la Russia ndege zake zote ni Airbus na Boeing isipokuwa 10 au 20 ndio zinaundwa Russia, hapo Boeing na Airbus wamejitoa kufanya biashara na Russia, this means they will not be able to get Spare parts and therefore lazima wapunguze Safari za nje au za ndege hizo, this means hadi Airline industry irudi kama kawaida sio zaidi ya miezi 12.
China mshirika wa Karibu wa Russia ndege zake karibu zote ni Airbus na Boeing, ameshindwa kumuungisha mshikaji wake (Hebu jiulize Kwa nini), au kama unajua maifa yanatumia Ndege za Russia hapa Africa yataje, now imagine kampuni inayoziunda ndege itakuwa na hali gani baada ya miezi 12?
Russia ana provide Rare Earth, Nickel na raw materials nyingi sana kwa Ulaya, na yeye hawezi kuuacha kuwauzia kwa sababu ndio msingi wa Uchumi wake, Kama hujui na kwa faida ya wengine Tanzania ina Deposit ya Nickel ambayo dunia nzima wakiacha kuchimba tutaweza kumuuzia kila mtu kwa miaka 30, na kambuni ya Kabambaga Nickel ni Kampuni ya Uingereza (Kwa usajili) so tutarajie speed ya ujenzi kuongezeka.
Umeitaja BRICS, hii sio formal wala informal alliance, kwanza wana tofauti za kimipaka, kisera, lengo lao lilikuwa ni kujaribu kuzichallenge IMF na WB ila hadi leo Nchi karibu zote za Africa na zinazoendelea zinakimbilia IMF na WB (Mfano Tanzania), hii ina imply Western financial Frameworks and Institutions are very strong kwa sasa labda itokee vita kubwa sana, that will destroy our civilazion.
Vita ni gharama na hii gharama ndio Silaha ya watu wa Magharibi
huo ni ushauri wa maana, ijapokuwa yeye amekataa, there is no way ataweza shinda vita hii. NATO wamemkimbia, miji inazidi kubomolewa kila siku na watu kufa. Sijui mahesabu yake yakojehaya mtu wenu huyu warusi wa buza
kichapo kikitokea palestine naomba muwaunge mkono wazayuni
Nakuuliza. Unataka tujadiliane au tubishane!?Bila samahani. Ni vema kujadiliana kwa uataarabu hata tusipokubaliana. Hapana Urusi si kama nchi ya Kiafrika. Lakini nimeangalia uchumi wa nje. Tazama Urusi, linganisha na China na Marekani. Warusi wanaweza kuuza hasa malighafi na bidhaa zisizoongezeka thamani sana...
Karibu! Unifundishe! Uliuliza nilikujibu. Sasa nipe maelezo bora ya takwimu hizo. Karibu sana!!Nakuuliza. Unataka tujadiliane au tubishane!?
Nakusihi jifunze uchumi kwanza ndio uje tujadili.
Tuanze hapa:-Karibu! Unifundishe! Uliuliza nilikujibu. Sasa nipe maelezo bora ya takwimu hizo. Karibu sana!!
Huu mwaka 2022 kabla haujaisha utashangaa msimamo wako.Kwa sasa zitakuwa kama porojo tu kwe huu huzi... Unachokiona mbele nahisi ni tofauti na nachokiona kwa upande wangu kulingana na analysis zangu mwenyewe.
So whether uko sawa au hauko sawa sizan ka na haja ya kuk'prove wrong o right ilihal mda upo na mda utaongea....
But bnafs kwa analysis zangu mwenyewe na bet kwa mrusi kwenye hivi vikwazo vyote anatoboa tena kwa 98% efficiently kbs.
Nikukumbushe tu Mrusi anafanya biashara ya Rasilimali sana sana na sio Technology Health care au vitu vinginevyo kiivo... Na rasilmali alizo nazo ni "Basic needs" so "Additional" ambazo kila nchi inazihitaji na ni nchi zilzokua au tayari ambazo zimekwisha kua...
Waswahil wanasema kuoga hiari kula lazima.
Nikurejeshe nyuma Europe + USA + Canada na nchi zingine kama Australia Japan na Korea Kusini Plus Singapore zote kwa pamoja zina Account about 1.3Billion kwenye Population ilo na watu zaidi ya 7.8Billion dunian.
Biashara hufanyi na kuku unafanya na watu so rejea hio Population ilobaki inahtaji malighafi za mrusi achilia mbali sector zingine...
Geuka nyuma angalia huu muungano wa BRICS yani Brazil, Russia mwenyewe, India, China na South Africa aliyejiungha juzi... Hyo ni Primary back up ya Mrusi inayo accounts for more than 40% of the world Population. Apo hujataja marejeo kama nchi zingine Africa ukaenda mbali zaidi apo Middle East ambao hawajajihusisha na hivo vikwazo vilivowekwa....
Ukitaka kupata usahih wa unachokizungumza zama deep kuangalia kila nchi iliyojihusisha na Vikwazo kwa Mrusi namna wanavyoingiliana kibiashara na tizama kwa jicho huru utaona nani atakayeumia na hivi vikwazo zaidi...
Kisha ingia ndani zaidi angalia kwa umakini kinachoondoka Urusi na kinachozuiliwa na wazuiaji kipi kina maana...
Huezi ukanambia unazuia wafanya biashara wako wasipeleke "Gongo" kenya kisha unazuia uingizwaji wa mafuta nchini kwako kutoka kenya et unamkomoa ilhal unawaumiza nduguzo ulonao kwa inflation ya bei...
Nikuulize tena swali... Toka hvo vikwazo vimeanza umesikia kuna mfumuko wa bei Urusi... Italy kawekewa vikwazo kwani mpka afunge viwanda uzalishaji kisa gharama za umeme kupanda? Au italy ndo Russia?
Either wajua au umesahau nikukumbushe... Nini kinafata baada ya nishati gharama kupanda? Ni mfumuko wa bei mpk kwa mahtaji ya kawaida ya mwananchi mdogo chini...
Sasa nikuulize tena hyo jump ya gharama za umeme kutoka $100 mpaka $175 zimetokea Russia au Europe? Hizo gharama za usafiri zinawaathiri warusi au wenyewe?
Kingine umezungumzia kuhusu makampuni ya nje... Em nenda apo UK achana na biashara za ndani nambie Club kubwa ulaya inayomilikiwa na mzawa...
Nenda tena kaorodheshe katka Club 20 zinazoshiriki league kuu ni ngapi zinamilikwa na wazawa na zipi zinamilikiwa na wenyeji... Apo nakutolea mfano kwenye michezo tu hujaingia kwe biashara halisi...
Nikukumbushe tena hakuna kampuni kubwa duniani ambalo liko whole owned na wazawa... Apple the most valued company iko registered in USA ila share holder wamezagaa dunian kote. The same to Alphabet Inc. na mengineyo so nakupa notice ya ziada kua Investors popote dunian huwa wanaangalia "Opportunities"...
Na ndo maana ukawaona warusi hao hao wakivuka mipaka ya nchi yao kuwekeza kwenye mataifa mengine...
Nazidi kukudokeza kua Russia ina Over 110 Billionaires kati ya 2700 tuwajuao... That's is over 4.22% ya Billionaires wote duniani... na ni number 5 baada ya USA kisha CHINA kisha INDIA, kisha Germany Kisha yeye... Apo number of Millionairea iko zaidi ya zaidi ya malaki ya watu..
Na hao sio mabilionea na mamilionea wa Tsh bali USD... Idadi ya mabilionea walioko Russia ukilinganisha na UK ni takriban mara mbili ake... UK wapo ka 54 hv...
Je hao wafikir hawawezi kwenda kwenye rest of population kuwekeza???? Kama waliekeza Europe wanashinda kuekeza sehem nyingine? Fedha wanazo.
Ko nirudie tu kukwambia una Idea nzuri za uchumi sema una "mahaba" yanakutoa kwenye Reli... Fanya deep analysis kwe hil jambo bila ushabik utaona "utumbo" mwingi unaofanywa na siasa za kimagharibi hasa hasa kwe huu mzozo...
Ningeandka mengi ila nachoka... But kwa hayo machache niishie apo.
Sitaki ukimbieKaribu! Unifundishe! Uliuliza nilikujibu. Sasa nipe maelezo bora ya takwimu hizo. Karibu sana!!
Umenifanya nicheke sanaHii ni sawa sawa una mke mmoja na unamkazia mkeo hutaki akuguse wakati mwisho wa siku mnaumia wote.
Vikwazo vyengine havifai!
Ukome.Karibu! Unifundishe! Uliuliza nilikujibu. Sasa nipe maelezo bora ya takwimu hizo. Karibu sana!!
Haya we kenge wa Mbezi, Masaki, Upanga, Oyster bay vikwazo vinawaumiza?Russia has said it is banking on China’s help to withstand the crippling economic sanctions placed by Western nations over the war in Ukraine as the United States warned Beijing not to provide that lifeline.
Russian Finance Minister Anton Siluanov said sanctions had deprived Moscow of access to $300bn of its $640bn in gold and foreign exchange reserves, and added that there was pressure on Beijing to shut off more.
“We have part of our gold and foreign exchange reserves in the Chinese currency, in yuan. And we see what pressure is being exerted by Western countries on China in order to limit mutual trade with China. Of course, there is pressure to limit access to those reserves,” he said on Sunday.
“But I think that our partnership with China will still allow us to maintain the cooperation that we have achieved, and not only maintain, but also increase it in an environment where Western markets are closing.”
Mtu anakaa Mbagala au Yombo anaanza kusema vikwazo haviumizi, sijui China atamsaidia Urusi, kukwepa Maumivu, 50% mabenki yanaogopa kutrade
Baada ya vita hii kuisha, watalegeza vikwazo wenyewe bila hivyo ni kusurbotage all maritime trade routes mpaka Suez canal.Putin shikilia hapo hapo. Wenyewe wameamzisha vita vya kiuchumi.
Hakiona haibu kuwa hawezi kuishi bila majivuno, ajifunge baruti halafu ajilipueUrusi ilijipanga kufanya hiki anaachokifanya muda mrefu, Putin anajua kabisa hawawezi kutia pua zao pale wataishia kwenye sanctions tu.
Wangekuwa smart enough wange mshaauri Rais wa Ukraine kuondoka nchini mapema kabla ya uharibifu mkubwa.
Shida nyingine huyu Comedian hatumii akili yake vizuri, Anakua wazi kabisa hii vita hata shinda hata Yesu arudi na nchi itaharibika, huko mbele tunakuja kuiona Ukraine ikiwa nchi iliyopoteza mvuto kwasababu ya ujinga wa mtu mmoja asiye na akili nzuri ya kufikiri.
Ulisikia lini wapangwa, wamanda wakawa na akili.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Mimi ni Mwafrika,tena wa huko Ludewa kuelekea ziwa nyasa.Lkn Waafrika wenzangu mnaboa sana.