Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jameni Kichapo Kinachoendelea huko Kyiv nadhani mji ule ni magofu tupu....Duh yaani mji umepigwa chakari
Mkuu Kyiv ni mji mzuri sana tangu Putin alifukuzwa huko mwaka jana.
Wanashambuliwa sana lakini droni na roketi zinaangushwa mara kwa mara. Kuna mitambo ya Iris, Gepard na Patriot zinazofaulu kuangusha asilimia 99 za vyombo vya Kirusi. Hatari kuu ni vipande vinavyoanguka baada ya kupigwa kwa roketi.
Kwa bahati mbaya sehemu nyingine za Ikraine hazina ulinzo bora sawa na mji mkuu.
 
kweli ww ni MCHUMIA TUMBO wa kiwango cha PHD umewazidi hata hawa chawa wetu akina Mwijaku hasa...asilimia 99...wakati miundombinu yote kushney..!!!...over 70% ya power generation infrastructures..substations....etc...are completely destroyed...!!...dams kibao zimepulizwa...miundombinu ya mifumo ya maji yote imeteketezwa...sasa hakuna Reli inayotoka point A kwenda B...sababu hapo ktkt unakuta mataluma/bridges.. yalishafunuliwa yote...nchi imekuwa hohe hahe yaani....uchumi umeshuka hakuna wanachofanya labda hiyo biashara ya grain ambayo ni kwa matakwa ya Russia...
yaani Ukrein haina tofauti na Libya...sema kwa sababu ni Wazungu tena chini ya Mmarekani hutakaa usikie...lakini in no time inaenda kuwa ni failed states...na hapa Waukrein washukuru Mungu wanapigana na Russia nchi yenye kufuata mifumo ya Sheria na iliyojaa utu...laiti kama Russia ndio angekuwa Mmarekani...sasa hv nchi yote ingekuwa vumbi yaani manuliwa manuliwa huko

If yua clever enough Why the cost of rebuilding Ukrein iko kubwa na ya kutisha namna hiyo...????...sasa inakaribia a Trillion dolar....?...hebu niambie tulianzaga kuambiwa cost ni $400 billion sasa inakwenda to 1 Trillion dolar....hv kama nchi haiharibiwi hz cost zinaletwa na nn...???
Punguza kujishushia heshma humu ndani aisee...ukiandikaga hapa muda fulani unaonekana kama una kaulewa kwa mbali kumbe ni bora hata ya Kipanya na Vunjo humu ndani.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Vita ya Ukraine haitaisha hadi Marekani aseme iishe...

Mwingine ambaye anaweza kuwafanya Urusi wajifikirie ni China kama atapunguza kuwasupport kiuchumi...

China kwa sasa hata anzisha vita na Taiwan

Hii vita itaisha pale USA [emoji631] atapokuwa exhausted kama ilivyokuwa sehemu nyingine akaondoa majeshi yake, haitakuwa kwa hiari
 
Mpiga propaganda mkuu wa BBC ashushuliwa Africa Kusini.

Your browser is not able to display this video.

The Secretary General of the African National Congress of South Africa, Fikile Mbalula, talked to the BBC propagandist about Putin - the impudent Saxon did not like it very much.
 
Dah umemjibu kitaalamu mno,ni wataalamu tuwanaoweza kuelewa,ILa sijui kama yeye ana uwezo huo wa kuelewa maana pia ana uraibu na taarifa za west.huyo ni mmoja wa watu wanaoamini kua west ni Kila kitu.
Kwa kifupi umetoa darasa zuri sana hata Mimi nimejifunza vitu vingi mno ambavyo kwa kweli sikua navijua.
Umetoa uchambuzi ulioenda shule wenye data na fact za kutosha.
Big up Bro.
 
Mkuu picha yako ya Dunia ni ya ajabu.
Katika Dunia yangu watu hufika na kuondoka Kyiv kwa reli hadi maraisi na wageni rasmi wa nje (ajabu kama hakuna treni tena???).
Katika Dunia yangu watu wa Kyiv wanapambana na vipindi ambako umeme unakatika lakini wanaendelea kupika kwa kutumia umeme na kunywa bia baridi wanayotoa kwenye jokofu.
Kama jeshi la Kirusi lingeweza kudhibiti anga juu ya Ukraine lingeweza kuzuia mwendo wa treni na magari - lakini tumeona tangu siku za kwanza kwamba uwezo huo haupo.
Bila shaka Warusi wangependa kubomoa kila daraja kwa kutumia roketi zao makini - ila kwa bahati mbaya imeonekana roketi za Urusi si makini vile.

Mkuu hata mimi napenda saaana hadithi za Abunuwasi ila kwa bahati nzuri babu alinifundisha mapema nifurahie hadothi hizo ila nisiamini ni kweli.
 
Alafu mkuu unatakiwa kujua umeme wa maji na solar sehemu ndogo sana ya matumizi kwenye dunia
Ona mfano wa "sehemu ndogo sana":
China's total renewable energy capacity exceeded 1,000 GW in 2021, accounting for 43.5 per cent of the country's total power generation capacity, 10.2 percentage points higher than in 2015. The country aims to have 80 per cent of its total energy mix come from non-fossil fuel sources by 2060, and achieve a combined 1,200 GW of solar and wind capacity by 2030.

Kama ungeandika "umeme wa maji na solar sehemu ndogo sana ya matumizi kwenye BARA LA AFRIKA" ungesema jambo la maana.
Kumbuka: Dunia ni kubwa kuliko Tandala, kuna mambo yaliyo tofauti!!!
 

Zelenskyy congratulates Erdogan on election victory​

President Volodymyr Zelenskyy has congratulated Turkish President Recep Tayyip Erdogan on winning a presidential election run-off and said he counted on firming "the strategic partnership" between the two countries.
"We count on the further strengthening of the strategic partnership for the benefit of our countries, as well as the strengthening of cooperation for the security and stability of Europe," Mr Zelenskyy said on his Twitter account.
The Ukrainian leader was joined by Western leaders, such as Rishi Sunak, Joe Biden and Emmanuel Macron, who took to Twitter to congratulate Mr Erdogan on his election win.
Turkey holds an important position in world politics, in part because of its geographical location as the junction between Europe and Asia - in particular the Middle East.
With Russia's invasion of Ukraine, Turkey also holds increasing importance as the gatekeeper to the Black Sea and has been central in negotiating crucial deals to maintain the export of Ukrainian grain.
 

Dikteta mnene atachaguliwa na watu wake wenye njaa kwa asilimia zisizopungua 185!
 
Wewe umeaminishwa upuuzi
Labda angalia hiyo?


Bado namwona dikteta mnene anayetazama kwa furaha kitafunio chake cha asubuhi ilhali watumishi wake wembamba wanapaswa kucheka naye...

(BTW: naona pia habari kwamba Korea Kaskazini imeomba China kuzuia mizaha juu ya "Kim mnene" hivyo kuna maneno yaliyopigwa marufuku sasa kwenye mitandao ya China . . .

ona China clamps down on Kim Jong-un 'fatty' jokes )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…