Mimi sijamwekea vikwazo. Labda wewe, je??Unamuwekea vikwazo, afu kukiwa na mabaa ya njaa ( kama ipo sina hakika) unajidai unashangaaa........
Kwanini N.korea amwekewa vikwazo?
Wengi wao ni ma copy cats wakisikia neno lolote kutoka western main stream media specifically USA na wao wanalidaka kama simaku - ukiwahoji ni lini Saudi Arabia iliwahi kupiga kura za kuchagua viongozi wa Taifa hilo - uwezi kupata jibu kwa sababu Merikani haijawahi kubatiza Saudia kwamba nalo vile vile ni Taifa lenye mlengo wa kidikteita na baadhi ya waswahili humu wako kimya kabisa - kazi za baadhi ya waswahili ni kumsema sema vibaya Kim.Kauli ya kipumbavu, kijinga na kishenzi....hii ni nchi yenye mfumo tofauti wa uongozi...Hilo neno 'dikteta' wapumbavu na wajinga wote waliokuwa brainwashed ndio ambao hupenda kulitumia....Huo unene wa Kim unakuhusu Nini wewe?! Halafu huyo Mfalme 'wenu' King Charles ambaye ni Head of State amechaguliwa na watu wangapi?!
Mpiga propaganda mkuu wa BBC ashushuliwa Africa Kusini.
View attachment 2638900
The Secretary General of the African National Congress of South Africa, Fikile Mbalula, talked to the BBC propagandist about Putin - the impudent Saxon did not like it very much.
Usilete hizi story za kienyeji hivi unajua njaa wewe???Ona taarifa rasmi ya WFP (World Food Pogramme ya United Nations; wanatuma chakula Korea kaskazini, wanaendelea kukusanya pesa kutoka nchi nyingi ili waweze kuendelea na kazi hiyo)
DPR Korea | World Food Programme
The Democratic People’s Republic of Korea (DPRK) continues to face a wide range of food and nutrition security challenges, which add to the protracted humanitarian situation in the country. Agriculture annually falls short of meeting food needs, due to shortages of arable land, lack of access towww.wfp.org Democratic People's Republic of Korea
Photo credit
10.7 million people are undernourished 18% of children are stunted (impaired growth and development due to chronic malnutrition) 25.9 million population
Ni kweli USA ndio inaweza maliza vita hii,lkn sio kwa sababu Ina weza kuizuia Urusi isiivuruge Ukraine,Bali itakapoacha kupeleka silaha Ukraine ndipo Ukraine haitaweza kupigana.Vita ya Ukraine haitaisha hadi Marekani aseme iishe...
Mwingine ambaye anaweza kuwafanya Urusi wajifikirie ni China kama atapunguza kuwasupport kiuchumi...
China kwa sasa hata anzisha vita na Taiwan
Hii ramani ya mwaka gani?? Hivi huna habari kwamba mtu yeyote anaweza kitumia apps za kudigitally manipulate picha/Audio na video clips kwa malengo ya propaganda/kisiasa - hivi kwa akili za kawaida inaingia akilini kwamba member mmoja anatujia na horror stories kuhusubomba la gesi la kutoka Urusi kwenda Uchina - huna even an iota kwa kile kinacho endelea badala yake huko overly obsessed kuzisema vibaya na former and current communists Nations kama nini sijui kwa nini - mara Urusi mara Uchina mara North Korea ??Tulijadiliana jana swali kama China inaweza kuchukua gesi inayokataliwa na Ulaya. Jibu: kwa sasa hapana, kwa sababu hakuna bomba la kuipeleka China.
wengine walipiga kelele sana wakirejelea bombo lililopo kati ya Urusi na China.
Ili ieleweke kwa sababu haisaidii tuangalia ramani hiyo:
View attachment 2639193
Tunaona "power of Siberia 1" inatuma gsi kutoka maeneo ya Chayanda kwenye mashariki ya Siberia hadi China (38 bcm/mwaka). Ila gesi ya hapa haiwezi kupelekwa Ulaya maana hakuna njia. Kinyume gesi kwenda Ulaya imetoka hasa kwenye kaskazini ya Siberia - lakini hadi sasa hakuna njia ya kusafirisha gesi hiyo hadi China.
Bomba la "Power of siberia 2" ilipangwa miaka iliyopita kutoka kaskazini hadi China lakini haikujengwa hadi sasa.
Ikijengwa inaweza kuchukua sehemu ya gesi iliyokwenda Ulaya kabla ya vita. Putin na Xi walitangaza tayari mwaka 2022 kwamba wanataka kujenga bomba hilo.
Ila juzi waziri mkuu wa Urusi Mikhail Mishustin alirudi kutoka Beijing BILA MAPATANO kuhusu ujenzi. Watazamaji wanaona China haina haraka inataka kutumia nafasi kulazimisha Urusi kukubali bei za chini zaidi. Maana Urusi haina njia mbadala ya kuuza gesi hiyo kutoka kaskazini wakati uhusiano na wateja wa Ulaya haupo.
Warusi wenyewe walikadiria kwamba ujenzi wa bomba litahitaji miaka 5 hivi.
Ni miaka 5 ambako Putin ataendelea kukosa mapato yale.