NIMEJARIBU KUFILL MIMI NDO MWANAJESHI WA UKRAINE ALAFU UPO ZAKO UMEPOA KAMBINI PEMBENI KIDOGO GHAFLA KAMI INALIPULIWA NA WARUSI WENZAKO WANALIPUKIWA NA KUKATIKA VIPANDE YAN DAH KUMAMAK*** USIOMBE VITA, VITA NI HABARI NYINGINE MJUE!!Urusi leo yachoma ndegevita tano za Ukraine na uwanja wa ndege wa kijeshi; maafisa wa Ukraine huficha ukweli wa uharibifu
Reuters yasema kuwa leo Urusi imeipelekea Ukraine moto mkali mno na kuchoma vibaya vituo vya kijeshi vya Zelensky. Mashambulizi ya anga yamechoma uwanja wa ndege wa kijeshi pamoja na ndegevita tano magharibi mwa Ukraine kwenye mkoa wa Khmelnytskiy. Bloomberg imefafanua zaidi kuwa ktk mashambulio...www.jamiiforums.com
PATRIOT zimechanganyiwa zinatungua mabasi majengo na kuuwa Wanamgambo wa Ukraine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]American Patriot SAM almost destroyed a mini bus in kiev
🪖There is a country that looks like a comedy called ukraine[emoji38]View attachment 2639269
Mikono juu mwendo wa mateka Russia piga hao Ngiri [emoji1787]Leo huko Kiev wamekimbia kama Digi digi
makombora yanawanyima raha
unaambiwa saivi Mrusi kaamua Kudili na Kiev huko huko
yaani nimwendo wa makombora
Raia waonje Moto
si watoto si wakubwa wanakmbia hovyo
There have been 12 explosions in Kiev in a 3 minutes period this morning.
A powerful blow to Kiev is delivered by hypersonic and ballistic missiles, took the air defense by surprise.
There was a smoke at Zhulyany airport.
Russia baada ya kuona Kinzal zinadunguliwa sasa Leo karusha Iskander 11 na zote zimedunguliwa....
Russia kabakiza kitu Gani hajagusa ktk silaha zake???
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Leo huko Kiev wamekimbia kama Digi digi
makombora yanawanyima raha
unaambiwa saivi Mrusi kaamua Kudili na Kiev huko huko
yaani nimwendo wa makombora
Raia waonje Moto
si watoto si wakubwa wanakmbia hovyo
There have been 12 explosions in Kiev in a 3 minutes period this morning.
A powerful blow to Kiev is delivered by hypersonic and ballistic missiles, took the air defense by surprise.
There was a smoke at Zhulyany airport.
Amesema ukweli kwani Bado anatumia WanamgamboBalozi wa Russia pale uk anasema ..... Russia bado hawajaanza vita ukraine
................
Russia’s ambassador to the UK, Andrey Kelin, warned Western countries against committing more military support for the Kiev regime as part of the ongoing proxy war with Moscow, saying this would be fraught with further dangerous escalation of the conflagration.
"Russia has not even begun to “act very seriously” in Ukraine, Andrey Kelin, Russia’s ambassador to the UK, stated in an interview with the BBC.
Aiseeee, Kiev inabomolewa leo. Tena inabomolewa mchana kweupe.
Wananchi wamekimbilia kwenye metro stations.
Yaani tokea jana usiku mpaka leo mchana inapigwa mabomu tu.
Mkuu jiulize kwa nini Urusi na China walikubali kuanzisha vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini.Kwanini Russia, US and allies wanamiliki Nuclear?
Kwanini akimiliki N korea ni Shida?