Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nyani halioni..

Au una usingizi!!?
 
Hata mimi jimewaza; kama jamaa anfefunga mavomba saa hizi ingekuwa je?

Lakini pia unaweza kuta hizo nchi zina reserve kubwa akachemka pakubwa
 

Mkuu wa majeshi wa Urusi aliwaonya wapiganaji wa kigeni kuwa wafikirie mara saba kabla ya kuchukua uamuzi wa kwenda Ukrain kupigana na vikosi vya Urusi.
 
Ahaa wenzako wana quran ya kinyakyusa huko Mbeya

Kuna biblia ya kinyakyusa huko Mbeya

Watu walishaacha kuendeleza kilatini au kiquran

kiquran siyo kiarabu kile ingawa kuna muingiliano wa maneno

kilatini siyo kiitaliano, Ingawa kuna muingiliano wa maneno

Kujua kiarabu siyo kujua kiquran

Kujua kiitaliano siyo kujua kilatini

Biblia za awali ziliandikwa kiebrania na kilatini, Leo kiebrania kinaongelewa na watu wachache sana

Quran iliandikwa kwa lugha ya kiquran, kiquran ni lugha ya watu wachache sana na inazidi kupotea sana


Tambua maneno mengi ya Kiingereza yametoka kwenye kilatini,

Tambua maneno mengi ya kiarabu yametoka kwenye kiquran
 
Asante mkuu . sasa kama jamaa anaongoza kuuza hizo malighafi , hebu tuambie anazidiwaje kiuchumi na US ?.
 
Soma: Huwezi na Hutoweza Kuongea / Kuandika Kiswahili fasaha
 
Nimekuelewa

Mtu aliyeunganisha quran kama kitabu wakati huo alikuwa anaitwa Abu Bakr

Miaka hiyo ya 612 mpaka 624, Abu Bakr ndie aliyefanya kazi kubwa kuunganisha quran kama kitabu unachosoma sasa

Hata biblia inayosomwa sasa, Iliunganishwa vipande vipande tu

Ndio maana kuna mkanganyiko mkubwa sana kwenye Quran na Bibilia

Wana historia wa Quran na Biblia wanapingana wao kwa wao

Tatizo linakuja wakati huo teknolojia ilikuwa ipo chini sana
 
Mimi ni muislam. Ila hili suala la saidna abubakar(r.a) kuwa eti ndio slikusanya Quran, sikubaliani nalo hata chembe.
 
Usilolielewa ni kuwa Qur'an iliyopo kwenye maandishi hata uichukuwe uichane yote haitabadilika wala haitadhuru kitu.

Qur'an ipo vifuani mwa watu. Toka ilipoteremshwa hadi hii leo hakuna amri na aya za Mwenyeezi Mungu zilizohoifadhiwa ndani ya vifua vya watu kama Qur'an, "to the dot". Huo ni muujiza (mmojawapo) wa kipekee wa Qur'an.

Unalielewa hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…