Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Poor Biden[emoji24]
 
Vyovote vile itakavyokuwa,vita itakuwa mbaya zaidi kwa Ukraine!
Hivi vidrone ambavyo havileti madhara zaidi ya uharibifu kidogo viko symbolic tu,lengo ni kumtusi/kumdhalilisha Russia!
pia nimefatilia kuna uwezekano urusi kausika mwenyewe kujishambulia ,ili apate sababu ya kutupa makombola mengi zaidi ukraine
 
Njaa ni mwana ukome🤣
 
Na Urusi huenda atashindiwa pale Marekani atakapoharibu uchumi wa dunia makusudi,baadae atailazimisha dunia kumsujudia shetani Kwa lazima
 
[emoji298]Putin Practices Hiding His Prize Bridge

Russian NBC units tried to cover the Kerch Bridge in a smokescreen according to British military intelligence – part of 100-plus years of ‘maskirovka’ or the practice of deception and camouflage.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
unachowaza wewe kuusu ili shambulio ni sahihi, ila we au mimi si robot ,.una au nina uwezo wa kureasoning angles nyingi
Shida siyo kuwaza shida ni kuwaza kipuuzi. Mpaka hapo Urusi alikuwa na uwezo wa kushambulia kwa idadi yoyote ya makombora kwani hajaanza jana wala juzi. Kipi kilifanya uwaze ajishambilie ili kupata sababu?
 
Shida siyo kuwaza shida ni kuwaza kipuuzi. Mpaka hapo Urusi alikuwa na uwezo wa kushambulia kwa idadi yoyote ya makombora kwani hajaanza jana wala juzi. Kipi kilifanya uwaze ajishambilie ili kupata sababu?
Mkuu,usiumize kichwa sana ,hiyo sababu imekuwa ikitumiwa na pro Russia mara nyingi sana Ili kumfichia aibu waliyemdhania kuwa ni malaika wao!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…