jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
MbengaleeeeeKumekucha haukuna Siri Tena. Mazishi ya majenerali waliouawa huko Kiev kuzikwa kesho ujeruman.
Funeral of NATO generals killed by the Khinzal in Kiev bunker will be held tomorrow in Germany.
@no_mainstreamW [emoji1690]
Ukitaka kufa kwa mda huu kafanye kazi Ukraine.Alafu ripoti inaonesha kwenye hyo bunker kulikuwa na watu karibu 500, ukijumuisha wataalamu wengine ambao sio wanajeshi kutoka nchi za magharibi, na kuna miili ya watu mpaka sasa haionekani
Ila kuna watu wanaujasiri, yaani unaenda kweli kufanya kazi Ukrain ili umpige mrusi na wewe sio mwanajeshi. Kweli kuna watu hawana hata common sense maana hyo ni obvious suicide opportunity.
Ila tunaitaka khakviv na Odessa.Peace proposal ya nini tena... si tumekubaliana vilianzia Cremia na vitaishia Cremia...?
Kabla hajang'atuka siasani, mzee sergei lavrov anataka kutuachia dunia yenye kuheshimiana.Baada ya kutoka Kenya na Burundi,sasa Lavrov Katua Msumbiji.
Wakuu(hususani pro war)!Mbona sizioni habari za drone kulipua kiwanda cha kusafisha mafuta humu kwenye uzi?
Maana kumbukeni huu uzi ni kwa ajili ya update ya matukio ya kila upande(Ukraine na Russia)
Africa haiungi mkono uvamizi wa kinyama huko Ukraine.Baada ya kutoka Kenya na Burundi,sasa Lavrov Katua Msumbiji.
View attachment 2641392
Slavery mentality!Museveni alichokifanya Leo,huenda ndio mwanzo wa mwisho wa utawala wake!
Safi kabisa mzee mpalange huko alipo mungu anamuona.Rais wa Korea Kaskazini ametangaza nchi nzima; wanaume wote kupimwa sehemu za siri. Yeyote atakae bainika kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja; adhabu yake ni kifo.View attachment 2640536
Tuache habari za msiba tuende kwenye kiwanda Cha mafuta?Wakuu(hususani pro war)!Mbona sizioni habari za drone kulipua kiwanda cha kusafisha mafuta humu kwenye uzi?
Maana kumbukeni huu uzi ni kwa ajili ya update ya matukio ya kila upande(Ukraine na Russia)
safi sanaTaarifa zinasema Kipigo cha Kiev Kilikuwa kikubwa sana
wanasema Mrusi alipiga Makao ya Jeshi Huko ndani walijaa Viongozi wakijeshi wa NATO
Sasa Wengi wako hali mbaya Na Wanakikbizwa Ujeruman
View attachment 2640770
According to russian telegram channels, a military headquarter was hit in Kiev, which was staffed NATO instructors of the operations in Ukraine.
Now a group of NATO officers wounded in this strike, who are in serious condition, have just been evacuated to Berlin from Rzeszow.
malizia na mwenye kuweza kukimbia na akimbie hamna mda uliobaki.Nakazia baya kuwahi kutokea.
Sio kweli, mbona Kafanya jambo jema tuSlavery mentality!
haahaa usiwavunje moyo mkuu naani ndo hatutaki basi hatutakia amani.Peace proposal ya nini tena... si tumekubaliana vilianzia Cremia na vitaishia Cremia...?