Kabisa yaani, kaharibu nchi nzuri ya Ukraine kwa kukaribisha maadui za jirani yakeMm najua kabisa hizi ni propoganda ambazo USA anatumia Alfu huyu zelensk ni mpumbavu sana hivi mtu anawezaje kukudanganya danganywa kama mpumbavu wakati yeye Taifa lake Lina uhuru Leo Kuna makala flani nilikua naisoma aisee Yani Ukraine imekua kma Taifa la zaman sanaa Yani limevurugwa vibaya mno
Hapa raia wa Ukraine waliyumba kukabidhi nchi kwa Mchekeshaji
Mkuu beberu anayeendelea kushika yale aliyopora katika karne zilizopita ni 1) Urusi na 2) Marekani.Mungu anakataza matendo ya kibeberu na wewe upo busy kumpigania beberu humu,kweli we ni Chatbot
Mjusi anatolewa pangoni mkuuKimetokea nini Kiev manning jameshyela Bwana Utam
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2641915
Kipanya aione hiiKimetokea nini Kiev manning jameshyela Bwana Utam
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2641915
Unaweza ukadhani mafuriko ya moto.Kimetokea nini Kiev manning jameshyela Bwana Utam
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2641915
nini hiki wakuu au ni nuclear imedondoshwa huko .....hiii...Unaweza ukadhani mafuriko ya moto.
Asubuhi mbali lete vitu kiongoziHuko kiev urusi imelipua ghala la kuhifadhia madini ya uraniam taarifa nimezipa juu juu ngoja pakuche tujue zaid maana ni mlipuko mkubwa aisee
Wait tutafute uhakika wa habari hiiAsubuhi mbali lete vitu kiongozi
Kiev inateketezwa..Kimetokea nini Kiev manning jameshyela Bwana Utam
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2641915
Nani alifanya Ardhi ya North Korea isilimike? Si hao mabwana zako wauaji wakubwa na Washenzi wasio na huruma kwa wanawake na watoto? Walipiga mabomu Korea na kuua 1/3 ya watu wote. Watu Milioni 8 walikufa na kuacha majeruhi na Ardhi isiolimika.Ona taarifa rasmi ya WFP (World Food Pogramme ya United Nations; wanatuma chakula Korea kaskazini, wanaendelea kukusanya pesa kutoka nchi nyingi ili waweze kuendelea na kazi hiyo)
DPR Korea | World Food Programme
The Democratic People’s Republic of Korea (DPRK) continues to face a wide range of food and nutrition security challenges, which add to the protracted humanitarian situation in the country. Agriculture annually falls short of meeting food needs, due to shortages of arable land, lack of access towww.wfp.org Democratic People's Republic of Korea
Photo credit
10.7 million people are undernourished 18% of children are stunted (impaired growth and development due to chronic malnutrition) 25.9 million population
Huu mlipuko kama wa silaha za maangamizi[emoji1200][emoji1255][emoji3518][emoji3517][emoji845] The terrible truth they hide: Poles and Ukrainians have condemned themselves to a silent death in future generations[emoji845]
During another massive missile attack by the Armed Forces of Russia on the territory of Ukraine, a warehouse with Western weapons systems, [emoji116]View attachment 2641989