Mkuu nina hakika wewe hutaki wala kumshinda West wala East na mimi sitaki. Ila mantiki ya kila mapigano ni utumie nguvu ili umalize haraka.
Putin alikadiria vibaya kwa hiyo amepoteza vifaru hivyo 2000 na lakhi mbili za askari wake. Ardhi aliyotaka kukamata haraka inaharibika. Vita ndefu ni hasara tu. Kwa pande zote mbili, lakini anayeanza vita halengi kuwa na vita ndefu.
kwahiyo wewe unataka kutumainisha una akili nyingi kupita Putin na washauri wake??? Una akili nyingi kupita intelejensia ya jeshi la urusi??Mkuu nina hakika wewe hutaki wala kumshinda West wala East na mimi sitaki. Ila mantiki ya kila mapigano ni utumie nguvu ili umalize haraka.
Putin alikadiria vibaya kwa hiyo amepoteza vifaru hivyo 2000 na lakhi mbili za askari wake. Ardhi aliyotaka kukamata haraka inaharibika. Vita ndefu ni hasara tu. Kwa pande zote mbili, lakini anayeanza vita halengi kuwa na vita ndefu.
Ndiyo hivyo Tena ..Kwa kuwa Kila silaha iliyopelekwa Ukraine haijasaidia💫 Now it's inevitable, we should give Ukraine ATACMS - Army Tactical Missile System (Retired US General, David Petraeus)
Hahaaaaaaaaa....Labda ataje tarehe
Swali zuri sana!Strategic reviews za nini tena wakati kuna Patriot?
Achana naye huyo..kwahiyo wewe unataka kutumainisha una akili nyingi kupita Putin na washauri wake??? Una akili nyingi kupita intelejensia ya jeshi la urusi??
Nashauri wapewe F22Maji yangeitwa mma wakati wa leooard, Abrams na challenger plus himars hao marubani wataishia huko na F 16 hakuna hata moja itakayoonekana tunza kumbukumbu.
Mkuu si ana-protest,na stripping ni aina moja ya protest! Unajua,mimi sina hakika ya kile huyu jamaa alichokuwa anafikiria kichwani mwake,lakini Vita ya Ukraine ina dimensions nyingi sana.Watoto wa Ukraine wanagemwa Adenochrome,viungo vyao vinanyofolewa na kuuzwa.Biashara ya viungo vyao binadamu Ukraine ni kubwa sana.Vatican na Freemasonry ni kitu kimoja,sasa Ukraine na kutembea uchi inahusiana Nini? Mathanzua
Kabla hawajapata ufumbuzi wa Khinzhal,Huku Kuna khibiny,wakiweza hizo watakutana na S1500.Baada ya miaka kadhaa nyuma Khibiny iliyofungwa kwenye Su-24 kuigeuza USS Donald Cook kuwa jahazi lililobeba mabomu mwaka jana pia Khibiny iliyofungwa kwenye Su-30 iliigeuza F-35 ya Italia kule Baltic sea kuwa bata mzinga linalo elea angani
Fani yake anayoiweza ni huo upupu wa mademu tu. Nilishangaa kuona anajikita na huku.Yeye ni mtunga story za uongo kuhusu mademu, hivyo hukubali uongo wowote
Bakhmut imeshakuwa sehemu ya RUSSIA.Samahan guys ivi Bakhmuti imeishi wapi nliskia Rais wa ukraine anasema haijachukuliwa vita imepause au mwenye jibu [emoji120]
Bakhumut ipo kwa ajili ya kuwasaidia warusi wa buza kupiga punyeto ya kivita..,kitaalam tunaita military mastabationSamahan guys ivi Bakhmuti imeishi wapi nliskia Rais wa ukraine anasema haijachukuliwa vita imepause au mwenye jibu [emoji120]