kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hivi unajua hata ulicho kiandika lakini? Ni mataifa gani yanaweza kutengeneza ndege za kivita zinazo gongana zenyewe kwa zenyewe in mid air badala ya kushambulia maadui, hiyo ndio maana ya neno collision/gongana.Kuna Fighter Collision inatengenezwa, sasa hivi tayari ina nchi 8 washirika.
Kila kitu kuanzia Long Range Missicle (LRM), F16, Iron Dome Air Defence System (IDADS) na mazagazaga mengine yatapelekwa Ukraine na hii Collission.
Yaani nimefunguka kwann mrusi aliahidi angeimaliza operation yake ndani ya week 3 (au siku 3 kama sikosei).Mkuu hiki ukichoandika ni matarajio yako binafsi, lakini Kwa urusi mambo ni tofauti kabisa labda nikuulize maswali machache
1) kama Vita hii ingeisha ndani ya mwezi mmoja tu, unadhani ujerumani uchumi wao ungeyumba kama sasa???
2)Kama Vita ingechukua muda mfupi ulaya ingeingia kwenye mdororo wa uchumi?
3) Kwa unavyofikiria kuiangusha ulaya na marekani kwenye kutawala dunia ni suala la mwezi mmoja???
4)hivi unajua inahitajika miaka miangapi ili kuiondoa dollar kwenye global currency????
5)hivi ushajiuliza itahitajika miaka miangapi mpaka kuifanya uchumi wa dunia kutoka west na kuhamia east????
Hii Vita inatakiwa ichukue kama miaka mitano au hata kama itaisha ya Ukraine inatakiwa itokee nyingine ambayo itatengeneza mazingira ya uadui huu Kwa miaka mitano ijayo, katika kipindi hicho ulaya ikose nishati ya bei rahisi na mchina aendelee kupata gas ya bei rahisi ili kwenye ushindani wa bidhaa mchina aongoze kuuza kwenye soko la dunia,
Kwa hiyo hii Vita ni sababu tu lakini kuna mambo mengi yanatakiwa kufanyika kipindi hiki cha uadui wa west na urusi ili hadi wakija kufikia muafaka west wapo nje kwenye kuongoza dunia kuanzia kwenye uchumi, kisiasa na kijeshi
Mkuu wapi nilisema hana silaha? Tafadhali nionyeshe !!!C ni nyie mlisema hana silaha.mpk mkasema anatumia chepe.wenzio nao wakasema anatumia mpk vifaa vya kwenye washing machine.leo hii tena mnatuambia katumia vifaa bora vyote [emoji23][emoji23].
Mkuu usiogope malalamiko! Ila sijui ninalalamika wapi.Umshana hujui unachotaka for sure.mwanzo ulianzaga points ila saiv ni pointless,hio nguvu kubwa unayosema ikitumika utafungua uzi wa malalamiko juu ya ukatili wa urusi
Thubunutu!! Zelensky siku hizi kageuka Balozi wa kuzungan Dunia nzima akiomba fedha na silaha hicho ni kisingizio cha kuhalikisha anaendelea kubaki nje ya Taifa lake hasa baada ya kushuhudia Kinzhal ilivyo. wstoa pumzi baadhi ya majenrali wa US,UK,Ukraine,Poland and other ranks walio kuwa wamejificha futi 400 chini ya concrete Bunker likalipuliwa na kuwa kifusi - akiona hata na yeye akijitia. Ujuaji its a question of time kabla haja join his MAKER up above.View attachment 2645015
Huyu bwana mdogo budanov alikuwa anabweka sana siku za karibuni tokea apotee zeluzhny.
Ilifika hatua alisema ukraina wana haki ya kuwaua warusi wote.
Tokea warusi washambulie makao makuu ya kiintelijensia ya ukrain jamaa hajaonekana kwenye TV.
budanov uko wapi?
Upo hai?
Umejificha wapi?
Halafu munataka zelensky arudi ukraine.
Mkuu sijasema kitu kama hicho. Nadhani vyombo vya usalama wa Urusi vinajua hali halisi. ni kazi yao kusambaza habari za ushindi hata wakijua wenyewe mamabo hayaendi vizuri.kwahiyo wewe unataka kutumainisha una akili nyingi kupita Putin na washauri wake??? Una akili nyingi kupita intelejensia ya jeshi la urusi??
Russia hakuwahi kuweka timeline kwamba operation ingechukua muda gani.Yaani nimefunguka kwann mrusi aliahidi angeimaliza operation yake ndani ya week 3 (au siku 3 kama sikosei).
Mulize kipanya 44 anajua nini kinaendelea Bakhmut[emoji23][emoji23]Samahan guys ivi Bakhmuti imeishi wapi nliskia Rais wa ukraine anasema haijachukuliwa vita imepause au mwenye jibu [emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23] hao wageni wanakuja na ndege za kijeshi au ndege za kiraia.we mwambie Biden apande ndege ya kijeshi alafu akatize Ukraine tuone kama atujamtengenezea kisanduku cha mpodoMkuu wapi nilisema hana silaha? Tafadhali nionyeshe !!!
Kile kinachoonekana Putin amepoteza silaha za kisasa alizotumia zaidi mwanzoni, kama vifaru mpya, roketi za kisasa na kadhalika.
Ndege zake bado anazo lakini anaogopa kuzitumia juu ya Ukraine hivyo hajafaulu hadi leo kudhibiti anga. Kama angedhibiti anga, wageni rasmi kutoka Dunia yote wasingeweza kusafiri jinsi wanavyotaka wakiingia na kutoka Kyiv.
Kwa hiyo ukipenda kunipinga karibu sana! Ila pinga nilichosema si mawazo yako.
haahaa maneno ya kushindwa kmmkwalahi.Bakhumut ipo kwa ajili ya kuwasaidia warusi wa buza kupiga punyeto ya kivita..,kitaalam tunaita military mastabation
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Haki za binadamu na freedom of speech inaitwaAfu kumbe hawa jamii forum ni Pro Upinde unaona wametuwekea bendera UkromaziView attachment 2639795View attachment 2639796
Hakuna kitu kilinifurahisha kama hiki, huwa naona the way simba akimtoa nguruwepori kwwnye handaki na kwenda kumla ndivyo putin alivyofumua mshono kule kyiv kwa wale wamarekani. Nlichekelea sana yanThubunutu!! Zelensky siku hizi kageuka Balozi wa kuzungan Dunia nzima akiomba fedha na silaha hicho ni kisingizio cha kuhalikisha anaendelea kubaki nje ya Taifa lake hasa baada ya kushuhudia Kinzhal ilivyo. wstoa pumzi baadhi ya majenrali wa US,UK,Ukraine,Poland and other ranks walio kuwa wamejificha futi 400 chini ya concrete Bunker likalipuliwa na kuwa kifusi - akiona hata na yeye akijitia. Ujuaji its a question of time kabla haja join his MAKER up above.