Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Kwa hiyo umefurahia huyo jamaa yako alivyokosea? Mbona huna tofauti naye?Mkuu ikisimama panda,
Ndugu zetu waislamu wana msemo wao unaosema, "kama ulivyofanya na wewe utafanyiwa".
Huyu jamaa alitaka atake-advantage ya Mimi kukosea spealling kwa bahati mbaya. Bahati nzuri naye kaangukia humo humo. Mungu kamuonyesha hata yeye hawezi aminika kama alivyokuwa anadai kwamba Mimi siwezi aminika.
Yeye kakosea zaidi ya neno moja. 😂🤣😂🤣😂🤣
Naona Kuna Watu Kule Belgrod wamekimbia makazi yao...Nato sasa inaipiga Russia ndani kabisa na haina la kufanya dah
Ndiyo...sasa unasemaje?! Hutaki tetesi? unataka iwe kweli?Kumbe tetesi!
Hawaaminiki hawa jamaa. Wanaweza kutangaza kuiunga Ukraine NATO hiyo July. Ukizingatia wameishapoteza rasilimali watu, vifaa na fedha nyingi hapo Ukraine.
Ukraine ndio eneo la kutestia nyenzo na ndio maana kila mmoja anachangamkia fursaIRAN si watu wazuri, sijui wameahidiwa project yenye ukubwa gani na RUSSIA
View attachment 2645417
Hivi bado tu huyu PM & the most sensible politician hajapewa Nobel Prize yake?Orban: A counteroffensive would be a "bloody massacre" for Ukraine, it must be prevented. “Even a person like me, who has only a year and a half of military service, knows that the attacking side has three times more casualties than the defending side,” he said during a radio broadcast on Kossuth. The Hungarian prime minister called on the parties to hold peace talks.
Ni za uongo kwa kweli ..ila Cha ajabu wanaolia ni walewale wakweli... Wanaopoteza ardhi ni walewale wenye source za uhakika.... Mkuu tulia usitikise Tako sindano itavunjikia.... Mtapigwa kama gunia la mashineni pwaaaapwaaaa na makosa sio yenu ....Habari nyingi zinazoletwa na Pro russia ambao ni wengi kwenye huu uzi hazina source walau hata pich hakuna. Nyingi ni merely here say, unaambiwa etc.
Inakuwa hakuna tofauti na wauza karanga wa gongo la mboto.
Mr.Snakelensky acha kulia lia vita haijawahi Kuwa na mbabe,hasa pale unapomtegemea jirani akusaidie kupigana na adui yako,unawaumiza watu wako,unaliumiza taifa lako,tambua ulipomkosea jirani mbambe,msuluhishe tena bila kushauriwa na majirani zako,wao wanakuombea ushindwe nyumba yako na kuikimbia,ili wafaidi vya nyumbani kwao 🤔Snakelensky anadai nchi za Jumuiya ya umoja wa kujihami (NATO) kuwa zinamuogopa Mr. Putin kiasi ya kwamba zinatamani hata Ukraine isipewe uanachama katika jumuiya hiyo.[emoji23][emoji23]View attachment 2645768
Mr.Snakelensky acha kulia lia vita haijawahi Kuwa na mbabe,hasa pale unapomtegemea jirani akusaidie kupigana na adui yako,unawaumiza watu wako,unaliumiza taifa lako,tambua ulipomkosea jirani mbambe,msuluhishe tena bila kushauriwa na majirani zako,wao wanakuombea ushindwe nyumba yako na kuikimbia,ili wafaidi vya nyumbani kwao [emoji848]
Kuvunja Hii chain ya mashetani sio kazi ndogo ni kazi inayotaka nguvu na mshikamano wa wote...Urusi itasumbuka lakini itafanikiwa vizuri sana...Vita yeyote hautangazii adui eti najiandaa kukushambulia ina mana hayo majeshi ya Nato ambayo ndiyo yanayotumika kuendesha hiyo mitambo na kuhifadhi magaidi wanaoshambulia kule Nato wanataka tufe Urusi ikiona raia wake wanauwawa itaamua kuchoma moto New york hapo kinachofuata ni vita kuu ya 3 ya DuniaChinese Defense Minister Li Shangfu:
“Some states shamelessly poke their noses into the internal affairs of other countries and regions.
Each time they unilaterally impose sanctions and threaten with weapons, stage color revolutions and proxy wars everywhere.
They wash their hands of everything, destroying everything, leaving chaos behind.
We must not allow them replicate a similar scenario in the Asia-Pacific region."
Yaah!Kuvu
Kuvunja Hii chain ya mashetani sio kazi ndogo ni kazi inayotaka nguvu na mshikamano wa wote...Urusi itasumbuka lakini itafanikiwa vizuri sana...Vita yeyote hautangazii adui eti najiandaa kukushambulia ina mana hayo majeshi ya Nato ambayo ndiyo yanayotumika kuendesha hiyo mitambo na kuhifadhi magaidi wanaoshambulia kule Nato wanataka tufe Urusi ikiona raia wake wanauwawa itaamua kuchoma moto New york hapo kinachofuata ni vita kuu ya 3 ya Dunia
Hili jambo US walishajibu mara kadhaa kwamba Zelensky alishauriwa mapema kabla ya vita kujiunga na Ulaya ama NATO binafsi Zelensky akawa anasita sita mpaka vita ikaanza, Sasa issue ya kuwa mwanachama wa Jumuiya za Ulaya ama NATO lazima nchi wanachama wapige kura na wamkubali mwanachama mpya, Sasa kuna baadhi ya Nchi bado hazijakuwa tayari kwa Ukraine kuwa mwanachama wa Ulaya, issue ni hapo tu., US hata kesho anataka Ukraine iwe member wa NATO.Snakelensky anadai nchi za Jumuiya ya umoja wa kujihami (NATO) kuwa zinamuogopa Mr. Putin kiasi ya kwamba zinatamani hata Ukraine isipewe uanachama katika jumuiya hiyo.[emoji23][emoji23]View attachment 2645768