Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Ila SSH ni best kwako si ndio?Ukrainians hawana raisi; instead they have a corrupt, pathetic liar, and coward conman in state House.[emoji23][emoji23]
Amevamiwa lknJamaa ame geuka na kuwa a BIG LIABILITY kwa NATO maana they have given him money , weapons and publicly stood by him and imposed Sanctions lakini bado leo hii anadiriki kusimama na Kuwatusi NATO.
STUPID snakelensky [emoji1782][emoji1782]
Mpeni jibu.. 80% left...
Ikitokea njoo uni-quote...ikiwa kinyume ujitoe humu jamii forum..maana ww sio great thinker...hufikiri zaidiWanajamvi naona siku zinavyozidi kwenda nguvu ya urusi katika kupigana na Ukraine ni kama Urusi pumzi inawakatikia .
Yaani lile dude kubwa la urusi tuliloaminishwa na Putini ndilo hilo linachezewa sharubu hivi??[emoji2][emoji2]
Moscow kupigwa na ndege zisizo na rubani za Ukraine hii inaonesha Nato wanakaribia malengo yao ya kuimaliza Urusi kiuchumi na kijeshi.
Na bwana Putin nae eti analalamika kwanini Ukraine inaishambulia Urusi kwenye mji wake mkuu[emoji2][emoji2][emoji2]
Upande wa pili kule Finland [emoji1103] ilishajiunga na NATO.
Nauona mwisho wa taifa la Urusi, pia huyu Putini anaweza kufa kifo kibaya sana cha aibu kama Gadaf wa Libya aise
Umesema kweli kaka,mm nachojua hivi vita mwisho wake utaamuliwa binadamu wachague nan waabudu,this is spiritual war, na ni lzima watu wachague kati ya Mungu,au ibilisiMkuu si ana-protest,na stripping ni aina moja ya protest! Unajua,mimi sina hakika ya kile huyu jamaa alichokuwa anafikiria kichwani mwake,lakini Vita ya Ukraine ina dimensions nyingi sana.Watoto wa Ukraine wanagemwa Adenochrome,viungo vyao vinanyofolewa na kuuzwa.Biashara ya viungo vyao binadamu Ukraine ni kubwa sana.
Damu ya watoto wa Ukraine inagemwa inauzwa,watoto wa Ukraine wanauzwa na kupelekwa kwenye madanguro ya ukahaba,Vatican yenyewe ina tuhuma za kutoa watoto kafara,sasa sijui wengine wanatoka Ukraine?So mambo ni mengi,lipi linalomfanya huyu jamaa a-protest sijui, kama ni yote niliyotaja sijui.Ila nadhani kwa ufahamu wake finyu, anadhani Pope anaweza kukomesha matatizo ya watoto wa Ukraine,kitu ambacho si kweli,kwa kuwa kwa siri Upapa una mkono wake katika mambo hayo.
Kuvamiwa hakukupi haki ya kumtusi sponsaAmevamiwa lkn
Moscow ya wapi?Wanajamvi naona siku zinavyozidi kwenda nguvu ya urusi katika kupigana na Ukraine ni kama Urusi pumzi inawakatikia .
Yaani lile dude kubwa la urusi tuliloaminishwa na Putini ndilo hilo linachezewa sharubu hivi??[emoji2][emoji2]
Moscow kupigwa na ndege zisizo na rubani za Ukraine hii inaonesha Nato wanakaribia malengo yao ya kuimaliza Urusi kiuchumi na kijeshi.
Na bwana Putin nae eti analalamika kwanini Ukraine inaishambulia Urusi kwenye mji wake mkuu[emoji2][emoji2][emoji2]
Upande wa pili kule Finland [emoji1103] ilishajiunga na NATO.
Nauona mwisho wa taifa la Urusi, pia huyu Putini anaweza kufa kifo kibaya sana cha aibu kama Gadaf wa Libya aise
Counteroffensive ya bukhumut au wap?Toka mseme mwaka sasa unakatika
Ukrainian army’s offensive attempt failed — Russian Defense MinistryMkumbuke counter offense bado. Mtapata kipigo cha mbwa mwizi!
Zelensky hakuwa kusitasita kujiunga na nato ni kitu alikuwa ana kita kwa muda mrefu hila movement zake zote russia alikuwa anaziona na alivyoona anakaribia kujiunga akamuwahiHili jambo US walishajibu mara kadhaa kwamba Zelensky alishauriwa mapema kabla ya vita kujiunga na Ulaya ama NATO binafsi Zelensky akawa anasita sita mpaka vita ikaanza, Sasa issue ya kuwa mwanachama wa Jumuiya za Ulaya ama NATO lazima nchi wanachama wapige kura na wamkubali mwanachama mpya, Sasa kuna baadhi ya Nchi bado hazijakuwa tayari kwa Ukraine kuwa mwanachama wa Ulaya, issue ni hapo tu., US hata kesho anataka Ukraine iwe member wa NATO.
Mfano mzuri ni Finland na Sweden ilipotaka kujiunga NATO Uturuki alizuia mpaka alipokubali ndio Finland wameenda zake NATO, na kuhusu Sweden bado kuna kauzibe baadhi ya nchi wanachama wa NATO akiwamo huyo huyo Uturuki bado hawajakubali iende zake NATO, ingawa kampeni zinapigwa chini chini Sweden nayo iende zake NATO
Shida ni hiyo tu.
China ilikataa kuongea na hayo mashoga....yanaumia sana rohoni[emoji631] US Secretary of Defense Lloyd Austin again criticized China at the Shangri-La security summit.
[emoji630] "When friends come, they have good wine, and when jackals come, they have guns!" — Chinese Defense Minister
Kipigo kinaendelea kunikosha.
Kipigo kinaendelea kama kilivyopangwa.
Labda baadaye watafanya counter offensive baada ya Russia kurelax may beToka counter-offensive kuanza mpaka sasa hakuna faida yoyote ile iliyopatikana.wakiferi tu hii counter-offensive basi wategemee kuchukuliwa maeneo zaidi
Kusema hata wewe unaweza kusema.Mpeni jibu.. 80% left...