Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Hii vita imemvua nguo sana na itapelekea kuharibu soko la Silaha za Urusi,maana hii ni mara ya pili ndani ya mwaka Silaha za Mrusi zinaonyesha udhaifu zidi ya Silaha za Marekani na Magharibi,mara ya kwanza ilikuwa kwenye ile vita ya mpakani kati ya Armenia na Azabaijani.Putin kumbe hamna lolote. Anachonga sana kumbe mchumba tu.Anacholingia ni mabomu ya Nuclear tu.
View attachment 2149754
Tuli wa oveerstatimate sana ndezi hawa
Mrusi zaidi ya Nuclear ni Chui wa Karatasi.Kwamba sio kweli kuwa mrusi ana silaha za kimaangamizi za namna ile ambazo ziliwekwa kwenye list?
Ndicho wanachomfanyia,akiongeza kasi wao wanapunguza akipunguza tuu wanaanza kumpelekea moto hatari.Urusi hii vita atashindwa tu
Wametumia nguvu zako za mwisho pale Ukrain ili kuwajengea dunia Uoga na USA na NAT0 wamemgundua wanampereka mdogo mdogo mpaka ach0ke
Nawa0mbea UKRAIN na washirika wake USA na NAT0
Putin kumbe hamna lolote. Anachonga sana kumbe mchumba tu.Anacholingia ni mabomu ya Nuclear tu.
Au wamarekani wanatupiga propaganda?
Nani angeishika?Hili nalo neno
Maana kama wana nguvu hivyo wangeishika Crimea sasa
Hivi Na Wewe Unaamini hii habari Ya kutunga Ya USA???Putin kumbe hamna lolote. Anachonga sana kumbe mchumba tu.Anacholingia ni mabomu ya Nuclear tu.
Jikite kwenye madaUmeshakunywa chai kwa shemej yako aya nenda Seblen sasa ukabishane na Dada wa kaz nan ashike Remote mtazame Scooby
Ardhini kumekuwa pamoto sasa anaomba Drones. Wakati wenzake wanabadili majeshi yao kwa Silaha light zenye ufanisi na madhara makubwa kwenye vita yeye alikuwa anatuonyesha ma Iskenda ayatumie sasa kuteka miji.Jamaa anaomba msaada mapema hivi?
Mrusi anajivunia nyuklia, sasa vita hii huwezi tumia nyuklia, nje ya nyuklia mrusi ni mlaini tuKwamba sio kweli kuwa mrusi ana silaha za kimaangamizi za namna ile ambazo ziliwekwa kwenye list?
Wazungu sio waong0 kama sisi weusiHivi Na Wewe Unaamini hii habari Ya kutunga Ya USA???
Nenda kaangalie RTmimi binafsi uwa sinaga imani na ivyo vyombo vya habari vya kimagharibi,, BBC, CNN adi ALJAZEERA zote
Mkuu maombi yamepelekwa China sio Washington. Huyo balozi asubiri tu kupewa taarifa. Kwa sasa hana hizo taarifa aendelee na majukumu yake ya kibalozi hapo WashingtonTeh...teh...teh...MatangoPori hayo.
Uvumi huo umekanushwa na China.
Na tujaalie iwe ni kweli kaomba msaada huo. Vipi wazungumziaje Marekani anapoomba msaada wa wanajeshi na vifaa vya kijeshi toka nchi za NATO katika vita zake?!
Nao utawaita over-rated ndezi?
China says never heard of Russian requests for help in Ukraine conflict
Washington [US], March 14 (ANI): China's embassy in Washington has denied reports that Moscow had asked Beijing for military equipment hours after media reports emerged that Moscow sought military assistance including procurement of drones.www.aninews.in