Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanaotegemea RUSSIA [emoji635] kupigwa pole yao sanaaaaa
 
I wish kp kipanya44 na umshana wangekuwa wanajua kusoma, la sivyo watazame picha basi!

This message is too pointed!

Naona jina la Ukraine halitumiki tena, badala yake ni ^country 404.^ Duh! Ramani ndiyo hiyoo imeanza ku-change!
 
Waende wakaiondoe RUSSIA [emoji635] pale UKRAINE [emoji1255] kama walivyoiondoa IRAQ [emoji1131] Kule Kuwait [emoji1142]
 
I wish kp kipanya44 na umshana wangekuwa wanajua kusoma, la sivyo watazame picha basi!

This message is too pointedly!

Naona jina la Ukraine halitumiki tena, badala yake ni ^country 404.^ Duh! Ramani ndiyo hiyoo imeanza ku-change!
[emoji419][emoji375], ila hawa vichwa ndimu hawataelewa @umushana kp kipanya44
 
Hii Kharkov tutapita nayo kama bonus bila ya kusahau na Odessa
 
Western safari hii wamekamatika hawawezi kuikatia Msaada UG [emoji1254] na ikitokea wa kafanya hvyo basi itakula kwao rasmi

Maana watoa misaada wapo wengi tu na yule mbunge alopeleka huu muswada alishatoa ushauri waachane na west wahamie east hata mashariki ya Kati pia panawafaa

UG [emoji1254] wameupiga wakutosha sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…