Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia na China wanauziana silaha sana ingawa Russia anamuuzia zaidi China. Hii ya Russia kuomba silaha sidhani, itakuwa ni propaganda kupima mapokeo yake.

Mashirika makubwa ya ujasusi hofu yao ni ikitokea China akaamua kutoa support kwa Russia! Hapo Russia anapima joto la silaha yake hiyo muhimu.

Hii haina tofauti na Wakorea wanavyotest mitambo baharini kama mazoezi kumbe kuna ujumbe nyuma yake.
 
Kweli vita bila propaganda hainogi tuache ushabiki twende kwenye fact kweli Bear aombe msaada wa silaha mapema tu ukiacha na ukweli kwamba naiunga mkoni urusi tena sana lakini bila mahaba nikiwa na akili timamu hapa kwangu mkuranga nasema hiyo haipo miezi miwili sijui mmoja kasoro the bear aombe msaada we stock ya jamaa mnadhani kama za banyamulenge au na ikumbukwe anashambulia ukraine kwa silaha za zamani kidogo hajaweka mitambo mizito kweli
 
Msaada umeombwa Beijing anaekanusha yupo Washington.
 
zile silaha za nuclear putin alishasema sio toy.
Endeleeni kujipa moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…