Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Ni vile NATO hawana Ubavu wa kupambana na Russia ila wanaumia sana, wamejaza chuki dhidi ya Putin maana anawavua nguo hadharani. Ile NATO tulokua tunaaminishwa kwenye makaratasi kumbe ni hamna kitu.
 

Nikikumbukaga khibiny ilichowafanyia Warussi ni konyo, HIMARS ni kama joka kibisa hazina madhara. Unavyozungumzia EWS warusi hawana mpinzani.
 

Mwamba kaongea.
 
Hapo jamaa wajitafakari. Tulisha sema humu, kwamba China hawezi kumuacha Rusia ashindwe kwenye hii vita hata siku moja
Sio TU china,hata Korea Kaskazini na Irani,hizi nchi zinachukiwa sana na USA,hivyo zinajua akishindwa Urusi wao ndio watafuata.
Na kushindwa kwao itakua rahisi kwa sababu Urusi itakua imeshshindwa.
Kwa mtazamo huo hizo nchi zikiona Urusi anazidiwa ama NATO wakiingia TU,haihitaji mwaliko kutoka Moscow.zitaingia kwa lazima.
 
Spertsnaz sio watu wazuri hata kidogo.
 
God bless Russia and Putin, God bless Tanzania, God bless only sensible and sane Europeans and Americans. Amen.
 
Ukiangalia Kwa ukaribu ....ni kama hii vita ilikuwa calculated na Putin ana Allies wake

Coz now days western supremacy inazidi kushuka day to day ......Kila nchi inajitafuta kivyake.......Uganda wanamtishia marekani as well as Saud Arabia

Nmecheka sana kuwa macron kaomba kuhudhuria BRICS summit [emoji23][emoji23][emoji23]
 
For some reason Putin is smart enough not to mention that I knows US and NATO are planning to attack Russian
In case of World War 3 there will be no winners, including America won't win - Putin
Unfortunately senile J. Biden is simply sleep walking into WW3 forgetting that should WW3 come to pass no one will survived to tell the tale the morning after - akili hizo Biden hana kabisa yeye anacho waza 24X7 is how to teach Putin a hard lesson - least concern about accidental or deliberate thermonuclear Xchange between Russia and the USA, repeat Biden is very determine to defeat Russsia come rain or shine, forgetting that Russia is no laughing matter she knows how to retaliate massively whether conventionally or through nuclear means - Putin saying no one can win nuclear war is just bluffing - Russians have been preparing themselves for years against nuclear attack they know what to do and how to protect large number of their population unlike the USA.
 
Mkuu Macron ninafiki balaa - we ona anavyo wachezea wa EU wenzake, kutaka kuhudhulia mkutano wa BRICS anatumwa hapo na US kama shushushu ili wajua BRICS ina mipango gani ya ziada ya kuihujumu World Bank, IMF nk. Hana maana kabisa Macron.y
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Putin masterplan Sana,
Wazo la sanitary zone nmelipenda[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…