Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
What a splendid analysis - BRAVO indeed, swali ni niwangapi wanajua undani wa mzozo huu wa kuchongwa na USA - ni wachache wengi wao ni kumsema vibaya na kumzodoa Putin 24X7,haeana hata habari kwamba Putin ndiye atakuwa mkombozi wa kweli wa Dunia dhidi ya mabrbrru haea walio kubuhu kwa kujifanya wao nfio wana kubali cha Mungu kutawala Dunia karibu kwenye nyanja zote - sasa Urusi,Uchina Korea Kasikazini na Iran wanasema enough is enough let what comes may -lakini hawa takubali kuendelea kuendeshwa na foreign policy za Merikani na vassals wake hata kama nikupigana WW3 ilu Dunia iondokane na ukiritiba wa Merikani kujiona ni bora na yenye nguvu zaidi za kijeshi kuliko Mataifa mengine - wiki mbili tatu. zulizopita ndio Dunia ilishuhudia kwamba most US Military hardware zinaweza kuteketezwa kirahisi na kiufanisi na silaha za Urusi - hizo ni conventional wrapons, je zikija za Nuclear si ndio zitaluwa balaa zaidi. Biden ajitafakari tena, haya mambo ya kutaka kumu-provoke Putin 24X7 hayatamfikisha mbali - yatamtokea Puani , juzi hapa se NATO troops wakishirikiana na Ukraine na USA wamepoteza wanajeshi 2,000 ndani ya 24 hours - what does that tell you??Usilete ngonjera mkuu...humu watu wanajua kwa nini hao jamaa wanatwangana.Hakuna asiyejua janjajanja ya USA....Hakuna asiyejua kuwa kikwazo kwa total control ya ulimwengu huu kwa USA ni Russia...Na hata uki-refer wanasiasa wa USA hata huyu Biden, alisema wazi changamoto zitakazotokea baada ya USA kujaribu kuwavuta Ukraine NATO
Hakuna asiyejua kuwa 2014 palikua na coup Ukraine..kupinduliwa kwa serikali iliyokuwa fruendly kwa Moscow na ikaingia serikali iliyo ant-Russia, mambo hayo ndo ya chanzo cha mzozo wa sasa...
Inajulikana tu pia kuwa coup ya Ukraine (2014) ilikuwa ni practice kwa ajili ya kitakachotokea Urusi...ikapelekea kuingizwa kwa sheria ya Foreign agent law ( Russia)...ambayo hata USA wanayo kwa miaka mingi...
Najua utaongea kwa ushabiki na kutumia mgongo wa kila nchi kuwa na haki ya kujiamulia mambo yake lkn ukweli ni kuwa hakuna nchi yoyote duniani itakubali nchi jirani yake ahatarishe usalama wake kisa kuna uhuru wa kujiamulia mambo yake....Wanasema haki yako inaishia pale, inapoanza kuwa kitisho au kikazwao kwa mwenzako...
Nyerere aliinyima Zanzibar kuwa nchi huru kwa sababu ya security reasons pia-Muungano ukalazimishwa..Karume akasaini..Zanzibar ikapigwa pin...na viongozi wa Zanzibar waliokuwa wanajifanya kuwa vocal kwenye masuala hayo ( hata wa CCM)...hawajawahi kuvumiliwa...
USA hawezi kukubali wapinzani wake wakae CUBA au Mexico pale, lazima pachimbike..
Haki inakuwa haki kama haihatarishi usalama wa mwenzako.....
Mkeo/Mmeo akianza tabia ya kulala na kisu chini ya mto- rationally lazima akili izunguke kujua sababu....kama haziekeweki lazima ujipange..
Kwa hali ya kawaida UKRAINE na URUSI wanakila sababu ya kuwa mataifa marafiki...
1.Wanampaka mkubwa sana
2.Ni slavic
3.Wanauhusiano mkubwa sana wa kitamaduni
4.Kuna watu wenye asili ya Urusi wengi sana Ukraine
5.Wanashare familia:Mtu yuko Urusi-babu yaje yuko Ukraine
6.Walikuwa na uchumi unaingiliana sana-viwanda-chain production inaanzia Ukraine inaishia Urusi
Zelensky mwenyewe...mpaka anakuwa Rais alikua anaongea Kirusi pekeee....Kiukraine kaanza kujifunza ofisini..
Zelensky kafanya kazi za commedy Moscow na huko ndiko alikochuma pesa zake za kwanza...
Hivyo hawa watu wanaukaribu mkubwa kuliko ilivyopaswa kuwa...hapo sasa na US kaingia kaanza kuwavuruga....Ukraine kaanza kupandikizwa chuki vurugu likaanza...
Na Urusi haiwezi kukubali Ukraine ikaenda West na kuwa tishio kwake....sababu
1.Ina-pride: Putin akishindwa:Atakayeingia lazima aanzishe vita tena....(Na Putin kasema kushindwa hakupo..labda WW3)
2.Inauwezo wa kuresist pressure za West
3.Inauwezo wa kijeshi kujitetea na kusababisha maumivu makubwa west..
Tuendelee kuangalia huu mchuano...lkn kwa maoni yangu Ukraine kayakoroga na hatoboi
2.
Stop the war if you really care about you people and your Nation - if you think you can defeat a Super power like Russian I suggest you should have your head EXAMINED!Kiev ‘facing tough resistance’ from Russian troops – Zelensky
The Ukrainian president claimed that Moscow believes the current fighting will be decisive
Ukrainian President Vladimir Zelensky gestures as he speaks during a joint press conference with his Estonian counterpart Alar Karis, on June 2, 2023. © Sergei SUPINSKY / AFP
Russian troops are responding fiercely to Ukrainian attempts to break through their defenses amid Kiev’s long-anticipated counteroffensive, President Vladimir Zelensky admitted in an interview aired on Thursday.
Speaking to NBC News, the leader said Ukrainian troops “are facing very tough resistance” and claimed that “for Russia to lose this campaign to Ukraine… actually means losing the war.”
Despite the apparent difficulties, Zelensky attempted to put an optimistic spin on the battlefield situation, describing the news from the front line as “generally positive, but it’s very difficult.”
The Ukrainian president also reiterated calls for supplies of F-16 fighter jets to Kiev, arguing that deliveries are being hindered by bureaucracy.
“We are losing time, we are losing people, and, the most important thing, we are losing our advantage,” Zelensky said, insisting that without Ukraine being given modern Western aircraft, “Russia is controlling the air.”
===
Unalo mwaka huu!!!
Hata hawa Pro NATO humu ndani tulionao inawezekana pia hawajui the motive of USA kwenye hii Vita,pesa anazotoa USA na NATO kuisaidia Ukraine haijawahi tiles kwenye Vita yoyote ukitoa first & second world war ambayo USA alishiriki indirectWhat a splendid analysis - BRAVO indeed, swali ni niwangapi wanajua undani wa mzozo huu wa kuchongwa na USA - ni wachache wengi wao ni kumsema vibaya na kumzodoa Putin 24X7,haeana hata habari kwamba Putin ndiye atakuwa mkombozi wa kweli wa Dunia dhidi ya mabrbrru haea walio kubuhu kwa kujifanya wao nfio wana kubali cha Mungu kutawala Dunia karibu kwenye nyanja zote - sasa Urusi,Uchina Korea Kasikazini na Iran wanasema enough is enough let what comes may -lakini hawa takubali kuendelea kuendeshwa na foreign policy za Merikani na vassals wake hata kama nikupigana WW3 ilu Dunia iondokane na ukiritiba wa Merikani kujiona ni bora na yenye nguvu zaidi za kijeshi kuliko Mataifa mengine - wiki mbili tatu. zulizopita ndio Dunia ilishuhudia kwamba most US Military hardware zinaweza kuteketezwa kirahisi na kiufanisi na silaha za Urusi - hizo ni conventional wrapons, je zikija za Nuclear si ndio zitaluwa balaa zaidi. Biden ajitafakari tena, haya mambo ya kutaka kumu-provoke Putin 24X7 hayatamfikisha mbali - yatamtokea Puani , juzi hapa se NATO troops wakishirikiana na Ukraine na USA wamepoteza wanajeshi 2,000 ndani ya 24 hours - what does that tell you??
Kwanza Hii Vita Imekua nzuri sana kwa Urusi wao wamejisimamia wenyewe kiume kupigana na Nchi 50 zinzojiita zina uchumi Mkubwa. Wanaume wamesimama imara sana...Ni jambo zuri wamejua nguvu yao na uhalisi wa nguvu ya NATO ambayo ni bla bla tu...Israel has finally done what was expected,it has confirmed that it will give Ukraine 200 Merkerva Tanks.
15 JUNE 2023
Israel has confirmed that it will give Ukraine 200 Merkerva Tanks
It is surprising why Israel is doing it now,because this was expected a long time ago,because the war between Russia and Ukraine has been formented by the Khazarian Mafia for a wider Khazarian World control agenda and Israel is controlled by the Khazarian Mafia just as America is!! The offer could however be due to the fact that Ukraine is loosing the war and Israel believes the offer will help Ukraine in it's proxy war against Russia.To me however this will only lead to more slaughter of Ukranian soldiers and ill-adviced.President Putin however has made it clear,he said,"The more weapons there are, the fewer Ukrainians and what used to be Ukraine will remain,he continued,
"Any intervention by NATO's European armies will not change the outcome of the War."
Mkuu agenda ni kubwa zaidi ya unavyofikiri,ulichoweka hapa ni cha mtoto.Kwanza Hii Vita Imekua nzuri sana kwa Urusi wao wamejisimamia wenyewe kiume kupigana na Nchi 50 zinzojiita zina uchumi Mkubwa. Wanaume wamesimama imara sana...Ni jambo zuri wamejua nguvu yao na uhalisi wa nguvu ya NATO ambayo ni bla bla tu...
Shida Yenu kubwa hamjui haya mambo hasa Team LGBTQ nyie hamjiulizi kwann Urusi anapigana kule mnadhani anapenda?? ila bila kukapiga hako ka Nchi na kupeleka msg wangevamia Urusi pale...Wacha Ukraine ipigwe heshima iwepo...
Mkuu najua kwamba wengi wanaamini unachosema - ila hakuna msingi. tafadhali nionyeshe mapatano au mkataba unaodai ulikuwepo. hakuna.Baada ya Vita baridi kuisha na hatimae USSR kuvunjika ,kulikuwa na makubaliano kadhaa kati ya nato na Russia na moja ya makubaliano ni NATO kutojitanua kuizunguuka Russia or kutoweka millitary base kuizunguuka Russia !!!
Sasa ebu angalia kwasasa NATO imeizunguka Russia kila kona,ulitaka Russia afanyaje ndugu kama sio kujitetea?
Rafiki wa adui yako ni adui yako pia,na ukiangalia kwa kinachoendelea kwa Sasa pale Ukraine ni NATO vs Russia Confrontation indirect
[emoji23][emoji23][emoji23] Vunjo mambo vipiMajeshi ya Ukraine yaonyesha maeneo waliokuwepo wanajeshi wa Urusi kabla ya kutimuliwa.Waliishi kwenye majalala[emoji23]
....
Umeshawahi kujiuliza kwanini after cold war,over 50% ya wanachama wapya wengi ni from Eastern Europe??Mkuu najua kwamba wengi wanaamini unachosema - ila hakuna msingi. tafadhali nionyeshe mapatano au mkataba unaodai ulikuwepo. hakuna.
Unachoweza kuonyesha ni mawazo ya wanasiasa kadhaa walioona NATO isipokee nchi ambazo zilikuwa nusu koloni za Urusi kama vile Poland, Baltiki na kadhalika.
Lakini hakuna mapatano wala mkataba.
Kinyume kuna mkataba rasmi wa Helsiniki ambako USSR ilikubali kila nchi ya Ulaya ina haki ya kushirikiana na nchi nyingine.
Kuna pia mkataba wa Minsk ambako Urusi ilitambua mipaka ya Ukraine (pamoja na Donbass na Krimea) na kuahidi itatetea mipaka hiyo.
Ni nani sasa aliyevunja mkataba?
Halafu unaamini kuna sababu gani kwamba nchi za Ulaya zimeacha kushirikiana na Urusi kiuchumi tangu uvamizi za 2014 na 2022???? Ingawa Urusi ilikuwa chanzo cha nishati nafuu na soko kwa makampuni yao??
Kwa nini nchi za Baltiki, Poland, Chek na Slovakia waliombaomba wapokelewe NATO baada ya kuwa chini ya Urusi kwa miaka mingi?? (na hakuna aliyewalazimisha hata kidogo kuleta maombi ya kujiunga na NATO!)
Kwanza Hii Vita Imekua nzuri sana kwa Urusi wao wamejisimamia wenyewe kiume kupigana na Nchi 50 zinzojiita zina uchumi Mkubwa. Wanaume wamesimama imara sana...Ni jambo zuri wamejua nguvu yao na uhalisi wa nguvu ya NATO ambayo ni bla bla tu...
Shida Yenu kubwa hamjui haya mambo hasa Team LGBTQ nyie hamjiulizi kwann Urusi anapigana kule mnadhani anapenda?? ila bila kukapiga hako ka Nchi na kupeleka msg wangevamia Urusi pale...Wacha Ukraine ipigwe heshima iwepo...