Taarifa ziliopo zasewma alijeruhiwa vibaya na ana hali mbaya.Anafanya Nini ujeremanj?
[emoji1787][emoji1787]Picha ukiwa umeshika bomu
Bhing'hweAbakima ba Yukileini balī na madako maadi? 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🤔🤔🤔
Id yake Ni ipiKuna jamaa Mtanzank alikuwa Ukrain Odes. Kabla vita havijaanza alikuwa ndio kama vile kapata mchongo wa viwandani.
Sijui yule jamaa yupo wapi kwa sasa mana tangu vita vipambe moto hajapost tena humu. Tunaomba tu asiwe aliuwawa
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
DiedTaarifa ziliopo zasewma alijeruhiwa vibaya na ana hali mbaya.
Taarifa hizo zasema kuwa alifarishwa chini ya ulinzi mkali kutoka hospitali ya kijeshi Kyiv na kupelekwa hapo Ujerumani kwa matibabu zaidi.
Ni hayo tu mkuu.
Kwani nae alikuwepo kwenye lile andaki la mita 100 chini ya ardhi[emoji23][emoji23][emoji23]Taarifa ziliopo zasewma alijeruhiwa vibaya na ana hali mbaya.
Taarifa hizo zasema kuwa alifarishwa chini ya ulinzi mkali kutoka hospitali ya kijeshi Kyiv na kupelekwa hapo Ujerumani kwa matibabu zaidi.
Ni hayo tu mkuu.
Huyo mama, Jack Sulivan na Blinken ni wayahudi wenye asili ya Ukraine.Mkuu, unajipofusha ama ndiyo kuzidiwa mzigo wa kubeba "green card"?
Hapa Nulad anafanya nini Kiev, hiyo Dec. 2013? Au Nulad ni raia wa Ukraine! Unashangaza sana.
December 11, 201312:58 PM ET
By
Mark Memmott
U.S. Assistant Secretary for European and Eurasian Affairs Victoria Nuland offered food to pro-European Union activists as she and U.S. Ambassador to Ukraine Geoffrey Pyatt, right, walked through Independence Square in Kiev, Ukraine, on Wednesday. She also offered food to some of the police nearby.
Andrew Kravchenko/AP
Mkurugenzi wa ujasusi wa nje wa Russia (SVR) bwana Sergey Naryshkin leo ametoa updates na kusema Russia ina taarifa zote za Zaluzhny lakini hawatozitoa "publicly".Kwani nae alikuwepo kwenye lile andaki la mita 100 chini ya ardhi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kitu ambacho hawatawezaHuyo mama, Jack Sulivan na Blinken ni wayahudi wenye asili ya Ukraine.
Wameazimia kumwangusha Vladmir Putin.
Ni vita ya muda mrefu.
Yeye alitangaza hadharani kuwa anaona raha kuwauwa Warusi na ataendelea kuwauwa popote pale atakapokutana nao.Kwani nae alikuwepo kwenye lile andaki la mita 100 chini ya ardhi[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona tumesikia wanakomboa mita moja moja kila baada ya siku 3, au propaganda tu?Wale wa kaunta ofwensive [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️For almost a month, the "guards of the offensive" could not advance anywhere[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
Kipanya44 anakwambia tumesonga mbele ila maeneo ayataji ni wapi[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona tumesikia wanakomboa mita moja moja kila baada ya siku 3, au propaganda tu?
Taarifa hizo (za kijasusi) zadai pia kuwa Zelenzky huwa hawana imani na Zaluzhny hivyo kuwa mbuzi wa kafara ili kuondoa umaarufu wake ni dhahiri.Yeye alitangaza hadharani kuwa anaona raha kuwauwa Warusi na ataendelea kuwauwa popote pale atakapokutana nao.
Ngoma iitumwa Makao Makuu ya Ofisini za Upelelezi Ukren, yaani alijeruhiwa ofisini kwake sio kwenye handaki.
2730Usdaskari mamluki wanalipwa bei gani? bora tukafie vitani kuliko fedheha.
Baadhi ya maeneo yapo shwariMkuu vita vipo nchi nzima hapo Ukraine au ni baadhi ya maeneo
Eneo nililopo wanampenda haswaaaRaia hapo wakisikia jina Putin wanakuwa na hali gani