Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

ww kijana uelewa wako wa mambo ya hii vita ni wa kawaida kuliko kawaida yenyewe....!!!..hebu katumie muda kwanza kuupdate bongo yako ndio uje uchangie humu..
au jifunze kwanza kupitia michango ya wakongwe humu ndani

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Kipigo kitakatifu.
Ndiyo mkuu angalia taarifa hapa Chini.


⚡️The Russian army has pulled up reserves and launched an active offensive in the Limansky and Kupyansky directions, - the Ministry of Defense of Ukraine

▪️The situation in the east is now difficult, the Russian Armed Forces are striving to reach the borders of the Donetsk and Luhansk regions, said Deputy Minister of Defense of Ukraine A. Malyar.
▪️Russian troops are trying to seize the initiative. They have pulled up their forces and carry out an active offensive. A high activity of shelling is recorded, fierce battles continue, she stressed.
Their reports of the Ministry of Defense of the Russian Federation:
▪️ In the Krasno-Limansky direction, the aviation and artillery group "🅾️tvazhnye" defeated the Armed Forces of Ukraine in the areas of the settlement. Kuzmino and Makeevka of the LPR, as well as in the Serebryansky forestry.
💥In areas of n.p. Yampolovka DPR, Chervonaya Dibrova and Kremennaya LPR stopped the activities of 3 DRGs.
💀 During the day, up to 105 militants, 2 infantry fighting vehicles, 2 armored vehicles, 2 pickup trucks, 2 Gvozdika self-propelled guns, D-20 and D-30 howitzers were destroyed in the direction.
▪️On the Kupyansky direction in the area of the settlement Timkovka, Kharkov region, helicopters, artillery and attacks by units of the "Western" group of forces per day destroyed up to 45 militants, 3 armored vehicles, 4 cars, the Polish self-propelled guns " Krab" . The activity of 2 DRGs was suppressed.

@DDGeopolitics
 
Ndio ujue unafiki wa US na washirika wake!Haangalii haki bali maslahi yake!
Mkuu nchi kubwa na unafiki zinaenda sambamba. ila huna haki ya kulilia upande mmoja tu. Jambo la kuanzishwa kwa Israeli lilikuwa azimio gumu. Ila mara azimio lilitoka, lilikuwa wazi kwamba kipindi cha fitina na vita kitafuata.
Urusi ilikuwa nchi ya kwanza kutambua Israeli ikaipatia silaha kushinda vita yake ya kwanza.
Baadaye ilihamia upande wa Waarabu. Shauri la pesa si shauri la haki.
 
Kuuwa waisilamu ndio nini?? Au unamaanisha waislamu sio watu? Au ndio maana hamsikii uchungu wapalestina wakiuwawa kwasababu ni wapalestina?. Sasa kitu gani kinachokufanya usikie uchungu kuuwawa kwa waukraine?
Mkuu, hapa hueleweki. Maneno yako yana uhusiano gani na yale niliyoandika?
 
Mkuu mapinduzi ya Maidan walifanya watu wa Ukraine. Si Marekani.
Katika yale tuliyoongea haidhuru kama mwanasiasa mmoja au watano kutoka nje walikuwepo Kyiv, maazimio yalikuwa ya Ukraine.

menginevyo jaribu kusoma na kuelewa kinachoandikwa hapa kabla ya kujibu. Hakuna aliyema Nuland alifika Kyiv kwa sekunde 20!!! (na pia: unapata wapi stori alikaa Kyiv miezi kadhaa??????)
 
Tule mtori nyama zipo chini chini tutazikuta tu.
 
Russia has deployed more forces to Ukraine's eastern frontline in its attempt to advance toward Lyman and Kupiansk and seize the initiative, Deputy Defense Minister Hanna Maliar reported on June 19.

The situation in the region is "difficult" amid heavy fighting and intensified Russian shelling, but Ukrainian forces "do not allow the enemy to advance," Maliar said on Telegram.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Urrusi sio nchi ya malaika mkuu..nayo labda imekosea uko nyuma ila kwa hili yuko sahihi mnoo na dunia inamuitaji mnoo
Afu waonekana wajua jua mambo ila nashangaa kwann huoni mabaya ya west mkuu ambayo ndio yanakandamizA dunia?
Mkuu sijui unapata wapi picha sioni kasoro na mabaya ya "West"??? Najua na nimetaja hapa jinai la kushambulia Iraki mara ya pili; najua mabaya ya matumizi ya nishati kwenye nchi za magharibi yanayoweka msingi kwa mabadiliko ya tabianchi na yote yatakayokuja .... Nakemea biashara ya silaha ambako hadi sasa wauzaji wakuu (pamoja na Urusi) ni nchi za magharibi.
Nakemea unafiki wa kushika bendera ya haki za kibinadamu na kusahau au kuppuza haki hizo mara kwa mara...
Ila katika jambo tunalojadili hapa yaani vita ya Ukraine sina wasiwasi ni nani aliyeanza ni nani anayehatarisha maisha ya watu wengi hata walio mbali na Ukraine.
 
Pole sana mkuu. Muulize kwanza hizo sanctions walizoziweka zimeleta impact gani kama sio kuwaumiza wenyewe
 
Ndio hayo mapigano Russia kaingia kuyazuia kimabavu kama US ambavyo amefanya kwingineko duniani!
Zote ni Illegal invasions!
 
Nadhani tumekubaliana haya mataifa makubwa yanaangalia interest zai hata ikimaanisha kukiuka sheria za kimataifa walizotia saini kuziheshimu!
 
Ngoja nieke kituo hapa
 

Mkuu hizo ndo Advanced weapons ambazo NATO hawajapeleka Ukraine ndo akiba yao zimebaki hizo. Kweli NATO wanahali mbaya maana hizo weapons zijaona hata moja ya kumsumbua Russia.

Nakupa mchanganuo kama ifuatavyo:

Apache imezidiwa mbali sana na alligator Ka-52. Hakuna maajabu itakayofanya mbele ya Russia.

F-16, F-22, F-35 kwanza AIBU zilionekana kwenye rada za S-300 ndomana US akawa hataki Turkey anunue S-400 maana alikua anajua udhaifu wa ndege zake. Pili hio F-35 juzi tu hapa wa Israel wameziponda[emoji23][emoji23], tatu zinaanguka zenyewe sasa ndo zitaweza mikiki ya Silaha za Russia??. Kwa kuongezea nyama hio F-16 hata Waserbia waliishusha chini.

Pitia huu uzi wa ndugu EINSTEIN112 Upate elimu kidogo.
“Flying the F-35 stealth fighter can leave pilots looking 'like they are 100 years old,' says test pilot”


Reaper drone ilishushwa chini na Russia tena kwa kumwagiwa mafuta sa Su-27 au umesahu ndugu yangu??. Kama drone tuliambiwa ni stealth bado ikaonekana na kuangushwa kwa kumwagiwa wese ina maajabu gani??. Predator drone sijui ufanis wake labda uniambie ilitumika wapi sio kuniletea story za kahawa.

“The MQ-9 Reaper was conducting a surveillance mission when two Su-27 Flankers intercepted it. The Su-27s harassed the U.S. drone by making close passes and dumping fuel on it. Eventually, one Russian fighter clipped the MQ-9's propeller.”

Hizo ATACMS missiles zinatumia GPS bila hivyo hazina maajabu, Russia tayari kashafanikiwa kuzizuia HIMARS na J-DAMS ambazo ziko guided na GPS. Swali ni kwamba hizo ATACMS zitafanya nini mbele ya Russia ambaye anajam GPS??

Unaikumbuka meli ya USS Donald cook ambayo ilikua na mfumo wa AEGIS?? ilishakutana na EWS ya Russia “khibiny” iliyofungwa kwenye Su-24 katika Baltic sea kilichotokea ni AIBU na kumbuka hiyo ship siyo ya kitoto.

“Russian media have claimed that the Russian military has developed technology capable of neutralizing an adversary’s aircraft, ships and missiles within a 5,000-kilometer radius. The claim, first reported by Vesti News on April 14, said a Russian warplane had successfully tested the electronic jamming device on a U.S. warship, the destroyer Donald Cook in the Black Sea.
The report, which used a mock-up simulation to demonstrate the exercise, also quoted anonymous Russian sources claiming the technology could wipe out the entire U.S. Navy.”




Hapa tunafunga mjadala NATO hawana Jambo hakuna silaha uliyotaja hapo ya kumsumbua Russia. Tunavyoongelea Advanced weapons ni pamoja na,
1. ICBM
2. Nukes
3. Hypersonic
4. Airdefenses ( mpak sasa S-300,400 zinasumbua hivi Russia akiweka S-500 & 550? Kumbuka hizi zinadungua mpaka Satellites za NATO)

Russia yuko mbele kwenye tech za kivita hana mpinzani usione US analalamika na START 3 sababu anaujua mziki wa Russia.
 
Waukraeni hawana hamu na ka-52 ya mrusi wanailinganisha na kifaru kinachoruka. Baada ya kupigwa mkia lakini iliendelea kupiga kazi kama Kawa halafu baadae ikarejea masikani.

Your browser is not able to display this video.

Again, these Russians are building flying tanks.

The Ka-52 continues to fly nonchalantly even with a broken tail boom.

Any other helicopter with a tail rotor is not capable of similar survivability with similar damage.

Your tail fell off!

- Leave me alone, I'm flying!
 
Mara ya kwanza Ukraine walikuwa wanazisumbua ndege za Warusi kwa msaada wa S-300 missile.ila baada ya kuisha na kupokea anti air missile kutoka Nato na Marekani basi anga limekuwa jeupe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…