mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
URUSI akiamua tu kuitaka NATO basi wala hakutakuwa na kikwazo hata kama atachelewa kuichukua.Russia haina uwezo wa kukabiliana na NATO, ukitoa silaha za nuclear.
NATO wapo vizuri, Russia inajitahidi sana kukabiliana nao.
Naikubali Russia kijeshi yupo vyema lakini si kuweza kukabiliana na nchi 31.
Amekubali mzee baba!!!!!!!!!!!
Zelenskyy admits counteroffensive progress 'slower than desired'
The Ukrainian president admitted the progress was "slower than desired", but said Kyiv would not be pressured into speeding up its counteroffensive.
"Some people believe this is a Hollywood movie and expect results now. It's not," he told the BBC.
"What's at stake is people's lives."
Source: Sky news: 21/06/2023
Mzee baba akamaliza!!!!!!!!
Putin claims there has been 'lull' in Ukraine's counteroffensive
We're hearing more now from Vladimir Putin, who has been chairing a televised government meeting.
The Russian president said Moscow has seen a "lull" in the Ukrainian counteroffensive, with Kyiv suffering heavy losses in attacks in the south.
Mr Putin said it could therefore lose fighting capacity as a result.
He added that although Ukraine retained offensive potential, Kyiv already understood that it had "no chance" in its counteroffensive.
Source: Sky news: 21/06/2023
[/QUOTENdio ukue kua USA haitumii akili Sasa.Jeshi la US linauziwa silaha na kampuni binafsi ambazo zipo kibiashara, Russia silaha zinazotumiwa na jeshi zinatengenezwa na kampuni zinazomilikiwa na serikali.
Tofauti kubwa ipo hapo.
Sioni ka wamelazimishwa kunuanua kutoka Kwa makampuni binafsi.kuna vitu kwa kuweka private sector na vingine ni muhimu vikasimamiwa na serikali.
Wamezamisha Robot inahitwa Peter kutoka Ufaransa. Yaani Wana mikwara ya kijinga.Hii nyambizi ya kitalii iliyozama kwenye pwani ya USA, naona inachukua zaidi ya masaa 72 lakini bila bila.
Russia alipokuwa anaisaka ile drone ya US aliyoizamisha kwa kuimwagia mafuta, ilimchukua kama 10hrs tu, akawa ameshaipata na kuondoka nayo. Yaani faster sana.
USA, Canada, France wanaisaka nyambizi ya utalii lakini bila bila...
Hata kwa trivial information niambie kama kweli Russia ni mwepesi kwa NATO kwa nini NATO wameshindwa kumuondoa Russia huko Ukraine na kumpiga kabisa mpaka Moscow au hata kuangusha kabisa utawala wa mwamba Putin? just kama tulivyoona kwa Gadaf, Sadam n.k. Badala yake kila siku wanaingia hasara ya mabilion ya dollarRussia haina uwezo wa kukabiliana na NATO, ukitoa silaha za nuclear.
NATO wapo vizuri, Russia inajitahidi sana kukabiliana nao.
Naikubali Russia kijeshi yupo vyema lakini si kuweza kukabiliana na nchi 31.
Chakula yake ni s 250, s 300We unafikiri F16 itabadili chochote kwenye hii vita? Ndege kama AC 130 ni moja ya mashine naikubali sana hasa kwenye close air support, lakini ni very vulnerable kwenye vita na nchi kama Russia, ndege kama AC 130 kwenye vita Afghanistan, Iraq n.k ilifanya vyema lakini Kwa vita na mrusi AC 130 ni cargo plane.
Sasa hii F16 wanayoisemea NATO ina sifa zipi ya kukabiliana na Russia?
Ndio kitu nilitaka nimuulize huyu jamaa π€£π€£Mkuu, mbona unachangia mijadala ambayo ipo kwenye majukwaa mengine.?
Au ukitaka kuchangia mjadala huu ndio network ya simu inakuwa inasumbua...?
Nilidhani mmekomboa bhamut
Wazilete izo F-16, F-22 na F-35.wambie Mig aircraft zipo zinawasubiri kwa hamu.We unafikiri F16 itabadili chochote kwenye hii vita? Ndege kama AC 130 ni moja ya mashine naikubali sana hasa kwenye close air support, lakini ni very vulnerable kwenye vita na nchi kama Russia, ndege kama AC 130 kwenye vita Afghanistan, Iraq n.k ilifanya vyema lakini Kwa vita na mrusi AC 130 ni cargo plane.
Sasa hii F16 wanayoisemea NATO ina sifa zipi ya kukabiliana na Russia?
Hapo Russia alicheza sana, hii vita ilichukua miaka 5, anyway mkuu ngoja tuone, Kwa maana Russia si ya kupuuzwa, japo ukiacha battle la Syria, hii battle Sasa hivi ni ngumu.Huijui vizuri Urusi wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Izo nchi 40 mbona bado ndogo sana, inabidi ziongezeke nyingine 40 ndo hapo upinzani utakuwepo.
Mgogoro wa Syria ulikuwa kati ya (Assad, Putin- vs Nato, USA, Nchi za kiarabu).
Nafikiri jibu unalo ni nani aligeuka kuwa mshindi.
Ngoja tuone uzuri muda ni msema kweliHapo Russia alicheza sana, hii vita ilichukua miaka 5, anyway mkuu ngoja tuone, Kwa maana Russia si ya kupuuzwa, japo ukiacha battle la Syria, hii battle Sasa hivi ni ngumu.
Ila huyu jamaa siku akisikia kaunta yao imeenda vizuri atakwambia tayari yupo mjini amesharudi!Kwa upande wangu nilitegemea tu haya kutokea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
[emoji120] ila kila la kheri katika majukumu yako maana maisha inabidi yaendelee.umepata safari wakati mzuri sana maana wenzako wanapata tabu sana.
Tunakuombea urudi salama maana tuna maswali yetu mengi sana tumeandaa.ile misafara mirefu ya vifaa vilivyoteketezwa imeamia kwa wenzetu, sasa uje uchambue nayo maana ya Urusi ulikuwa unaichambua vizuri tu[emoji23][emoji23][emoji23]
πππππππππππππππKwa upande wangu nilitegemea tu haya kutokea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
[emoji120] ila kila la kheri katika majukumu yako maana maisha inabidi yaendelee.umepata safari wakati mzuri sana maana wenzako wanapata tabu sana.
Tunakuombea urudi salama maana tuna maswali yetu mengi sana tumeandaa.ile misafara mirefu ya vifaa vilivyoteketezwa imeamia kwa wenzetu, sasa uje uchambue nayo maana ya Urusi ulikuwa unaichambua vizuri tu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] bora umeamua kuongeza nguvuLeo nimeamua rasmi kuhamia Pro NATO Kwa ajili ya kuleta ushindani baada ya kuona uwanja umeinama,na kuona Pro Russia mmebaki peke yenu TU.
Hii sio haki,nasema Tena hakuna haki hapa.
Mkuu Mimi ni Pro Russia, lakini hii counter offensive inanitia mashaka na hofu uwezekano wa Putin kukubali, we unaonaje?