Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu huleta chochote cha kuthibitisha silaha za nyuklia ziko Poland na kadhalika.
Hazikupelekwa kwa sababu kupeleka roketi na umali wastani huko ingeweza kuchukulia wa Urusi kama hatua ya kiadui. NATO haikulenga kuonyesha inataka kushambulia Urusi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna sehemu nimemuona anachangia mada kuhusu F-35, huku akiponda ndege za Urusi.ikabidi nijiulize ndo huyu aliyesema kuwa yupo porini huko network haipatikani au nimemfananisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanetu huyo


Muungwana akivuliwa huchutama


Sasa kwa vile kaamua kutuchunia ili ajistir hatupasw kumtia aibu
 
Kumbe Kyiv Urusi waliheshimu makubaliano ya mezani
 
Wakuu!Leo Nimeona Kril Budanov akitoa taarifa ya kipelelezi ila kuna mtu mmoja humu ID nimesahau kasema ameuawa na mashambulizi siku zilizopita!
Yale yale ya kusema Zelensky hayupo KYIV na siku akirudi atauwawa kwa makombora kisa mashambulizi ya drone huko KREMLIN.
 
China kasema ukifika muda ataisaidia Urusi,ila kwa Sasa anaona Urusi iko fit .
 
Kwa mujibu wa wachambuzi ile video ni ya kupikwa.
 
Putin hawezi kwenda front
 
Urusi haiungwi na raia wake.
 
Kweli kabisa
 
Alafu badae uje utwambie huna upande.
Mkuu!Ni hivi leo nimesema hivyo kuonyesha kuwa pale mwanzo ilikuwa propaganda,pia kumbuka hata upande wa Ukraine kuna propaganda kama ile ya kuuwa majenerali 20 wa Urusi (actually 5) na pia ile ya Putin kuwa na double body!
Mkuu,kila upande una propaganda ila kuna kuzidiana!
Mkuu ni ukweli kuwa sina upande(kila upande kuna vinavyonivutia na kunichukiza)
 
Lete iyo taarifa.yani Budanov aonekane alafu taarifa upate wewe [emoji1787][emoji1787]
 
Putin ana silaha za kizamani sana na ndio alizonazo stoo.juveline, Himmers etc ndio zimepotea Tena mbele ya silaha za Urusi.
Ha ha haaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…