Mkuu NATO inazinyanyasa nchi za Uarabuni na Afrika sio Urusi...kumbuka Muungano wenyewe wa NATO ni dhidi ya Urusi.Putin kashaishi maisha yake kachoka sasa anataka kuwaponza warusi waishi kwa shida hapa Duniani. Yeye huwa anatishia kama Mr Bean, sasa NATO watamfua hadi uvunguni. 😀
Mkuu!Ni ujinga kumpeleka mtu wa above 55 jeshini,he is already tired,he can't fight,hana nguvu.Ndio maana jeshini ukifika 45 kama sio Officer unakuwa retired.
Mkuu!Ni ujinga kumpeleka mtu wa above 55 jeshini,he is already tired,he can't fight,hana nguvu.Ndio maana jeshini ukifika 45 kama sio Officer unakuwa retired.
Kweli mkubwa,ni mkubwa tu.Urusi yaja na 'mwana ukome[emoji119][emoji1218][emoji1218][emoji1218][emoji119]
View attachment 2664728
Hapana,sipo hapa kwa propaganda,nipo hapa purely kwa nia ya kuelimisha,sina entity yeyote ya kuifanyia propaganda,I am independent minded.Mkuu!
Unapovamiwa utatumia mbinu zozote kujirinda utakazoona zinafaa.nimekuuliza na Urusi je yupo sahihi kuhusu umri,ji limekuja la!
Mkuu sorry kama nitakukera ila nakuona kama propagandist japo sometimes unaleta article zenye kuelimisha(ila mara chache sana)
Leo ilikuwa siku ya afya ya akiliPutin kashaishi maisha yake kachoka sasa anataka kuwaponza warusi waishi kwa shida hapa Duniani. Yeye huwa anatishia kama Mr Bean, sasa NATO watamfua hadi uvunguni. 😀
Naona dawa zimekuishia. Nenda milembe ukapate dose kabla mambo hayajaaribikaIle sehemu bwawa lililofunguliwa na kuua watu wengi lilikuwa mikononi mwa Urusi, sasa atashindwaje kutekeleza mauaji kama hayo akitaka.
Uzuri ameshaambiwa, doing that he will trigger NATO to act upon directly.
Bbc wiki hii hawajapost chochote kuhusu counteroffensive ya Ukraine zaidi ya Nyambizi.
Buza ya NYOKWEE 🙄🙄🙄very simple, kuhakikisha Urusi anapokonywa maeneo yote ya Ukraine anayoyakalia, ili ukifika wakati wa mazungumzo ya amani Ukraine asiwe mnyonge bali awe na mtaji wa not less than 50% at the peace negotiation table.
Vita hii haitakuwa na mshindi, so kwa wale warusi wa Buza wanategemea hilo walifute.
Kama akili yenyewe ndiyo hii ya matusi,hebu kua kwanza ndipo ufahama kujenga logic na facts bila kuonesha jazba.
Marekani ilijisahau ikagusa pasipogusikaUkiacha hiyo inayofahamika, USA waikuwa wanarani nyuklia laboratory ya kisasa zaidi kisirisiri na sasa ipo chini ya Russia ndio maana unawaona wanalopoka hivyo kwa uchungu mkubwa
Ndugu yake Machumachuma huyu hapaWa bongo Ni keyboard worrier tu, Ndo maana bandari yenu ,mpo mnashabikia ujinga tu . Ma fala Sana
Mnafiki hajifichi,, eti huna upande wowote, umerukaruka hatimae umejidhirisha ya kuwa wewe timu upinde,, sie tulikuwa tunakuchora tu,,Wakuu!Leo Nimeona Kril Budanov akitoa taarifa ya kipelelezi ila kuna mtu mmoja humu ID nimesahau kasema ameuawa na mashambulizi siku zilizopita!
Yale yale ya kusema Zelensky hayupo KYIV na siku akirudi atauwawa kwa makombora kisa mashambulizi ya drone huko KREMLIN.