Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hahahahaaaa,mmerudi!Hii ya Wagner imewatoa digidigi kwenye mashimo!Sasa Sijui furaha yenu itadumu kwa muda gani!
 
Kuna Mambo nashindwa kuyaelewa:

  • Mkuu wa Wagner Prigozin anasema Ministry of Defense imepiga bomu na kuua wanajeshi wa Wagner zaidi ya 2,000. Sasa najiuliza, hiyo miili ya wanajeshi 2,000 ipo wapi? Wameuliwa sehemu gani?
  • Anasema ameteka Commanding Centre ya ROSTOV. Je, commanding centre ya ki jeshi inaweza kutekwa/kuvamiwa na hata risasi moja isipigwe?
  • Anasema wanajeshi wa Wagner wamevuka mpaka kutoka Ukraine na kurudi ROSTOV, lakini hatuoni convoy yoyote ya magari ya wanajeshi wa Wagner wakiwa wanarudi kuvuka kuja ROSTOV.
  • Hatuoni FSB wakifanya manhunt ya kumkamata Pregozin.

Something is fishy here....
 
"Bado tuna matukio makuu mbele yetu," Naibu Waziri wa Ulinzi wa Ukraine Hanna Maliar aliambia vyombo vya habari. "Na pigo kuu bado linakuja. Hakika, baadhi ya hifadhi - haya ni mambo ya hatua - yataanzishwa baadaye."

Wakati huo huo, EU imepitisha kifurushi chake cha 11 cha vikwazo dhidi ya Urusi.
 
Unataka uone convoy ukiwa wapi buza au tandale??.
 
Rais wa Urusi Vladimir Putin anasema "maasi ya kutumia silaha" ya Kundi la Wagner ni uhaini, akiongeza kuwa "hatua madhubuti" itachukuliwa dhidi yao.
Wagner wamejichukulia Rostov kilaini sana, hivyo kwa sasa wana uhakika wa silaha na coordinates za walipo Warusi ndani ya Ukraine, tutegemee Ukraine kupiga kambi nyingi za Russia
 
Anarudi vipi wakati jana alitakiwa uawa?

Wagner tayari ni expendable na unreliable
 
Hivi fishy wakati wanajeshi wamejiunga naye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…