Hata Putin mwenyewe kasema hali mbaya, maana Rostov ndiyo main supply hub ya Russia huko Ukraine, kuanzia ndege
Ukraine ya wapi maeneo yanaendelea kuchukuliwa
Kila siku urusi wanaeleza sababu kajitafutieWewe mrusi wa ukweli uliyeivamia Ukraine tupe sababu za msingi za kufanya hivyo. Kwa jinsi ulivyokuwa mrusi, hata ukichanjwa utatoa damu nyeupe.
Mkuu Wagner wanasema wanafanya wayafanyayo kwa sababu hawataki nchi yao iishi tena katika ufisadi, uwongo na urasimu. Ni ukweli ulio wazi Putin na kikundi cha machawa wake wamekuwa wakiishi kwa kuwaibia warusi huku urusi ikizidi kuingia shimoni. Ndiyo maana utajiri wa warusi wengi ni kwa sababu ya kuiba mali za umma walizowezeshwa na wanasiasa typically African countries wanavyofanya ni aibu sana russia ilikuwa imeanza kunyanyuka kiuchumi but sababu ya Putin imejikuta inaingia kwenye migogoro ya hovyo na jumuia za kimataifaPutin sio tu ni mla rushwa bali pia ni mbwa. Warusi wamemchoka. Kuna video nimeona wananchi wa Urusi wakiwashangilia Wagner na kuwapa sapoti ya kila namna. Hiki ni kiashiria kwamba warusi wamemchoka huyu mbwa koko.
Si zaidi ni mjinga tu anayeamini hakuna kitu kinachoweza kumtokea Putin.?..Ni mjinga tu anayefikiri kuna kitu kinaweza kumtokea putin.
Kwa hiyo udhalimu unalipwa kwa udhalimu? Ikiwa uhalifu ulifanyika (kwa maoni yako) unaona udhalimu huo ukifanyika eneo jingine ni sawa tu? Hizi ni akili au matope?Uingereza na Ujerumani zilizoua waafrika na kuiba rasilimaliza Africa hujawahi kuzilaani ulivyo na akili ndogo kama ya mbu,Leo unamsema Putin!?🚮
Hata Marekani walipovamia Iraq walikuwa na sababu na pia waasi waliomuaa Qadafi walikuwa na sababu. Je, sababu zile zilikuwa na maana yoyote? Acha kushabikia ujinga mkuu.Kila siku urusi wanaeleza sababu kajitafutie
Mkuu wewe hujaishi wakati Wajerumani walivamia Uchaggani. Hukuona chohote wakati ule. Ila unyama wa Putin huko Georgia na Ukraine unaona, pia unyama wa Marekani huko Iraki.Uingereza na Ujerumani zilizoua waafrika na kuiba rasilimaliza Africa hujawahi kuzilaani ulivyo na akili ndogo kama ya mbu,Leo unamsema Putin!?🚮
Mkuu what exactly is your argument about? Unataka kusema kwamba kwa kuwa wakoloni waliitawala Afrika na kuwafanyia udhalimu waafrika hivyo ni haki Putin kuendeleza udhalimu wake Ukraine? What a childish and flimsy argument!Mkuu wewe hujaishi wakati Wajerumani walivamia Uchaggani. Hukuona chohote wakati ule. Ila unyama wa Putin huko Georgia na Ukraine unaona, pia unyama wa Marekani huko Iraki.
Si vibaya kuanza na yale tunayoona.
Mkuu una umri gani? Kwa hii comment bora tu shule zifunguliwe mrudi shule!Huu ndo muda sahihi wa NATO kuvamia Russia mkishindwa na hapa, msitafute sababu. Au ndo muda wa kuwasponsa Wagner.
Naona bora Ukraine walikaza. Huku Wagners wanachukua maeneo kwa masaa tu. Urusi hafai tena kulinganishwa na USA.Warusi wa buza mliwadharau Ukraine kwamba wanahenyweshwa na KK security!
Kazi kwenu Sasa[emoji1787][emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app