Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiyo siyo sababu ya msingi ....ukweli ni kwamba wagner wasinge weza kufanya chochote bila ya kuungwa mkono na jeshi vinginevyo wangeuliwa vibaya pia ujue agenda ya BRICS misingi yake ipoje ....yani kk security wakwamisha BRICS KWELI ?
 
Baba ntilie sele bonge yupo mashambani mtandao nishida hatakua active kwenye huu uzi.πŸ˜…πŸ˜…
 
Nimepoteza mda mwingi kwenye huu uzi tangu vita imeanza , hiyo yote ilikua shauku ya kushuudia mabomu ya nyuklia, hadi leo hakuna hata moja, kudaaadeki kama hayana matumizi wanatengeza ya yakazi gani, kupotezeana muda tu. Na log out
Ukisikia muda wa kutumia nyukilia ndio umefika Sasa.
Naona matumizi ya nyukilia muda sio mrefu.niulize kwa Nini?
 
Pro Russia Sasa zamu yetu kutawala jukwaa maana sio kwa uvamizi huo wa Leo yaani huwezi kuamini leo sijatoka ndani nimejifungia tu kweli nimefadhaika sana.
Babu lukasheko kaokoa jahazi huko πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Utu uzima dawa,kulishakua kumenuka
 
Huyu Prigo na Wagner yake dah..anawachanganya sana West, NATO na wachambuzi wengi....Yaani ameamua kwenda kwenye vituo vyake...duh...Maana yake Nini hapa...ni hatari West, NATO 'wameelekezwa" kutosema chochote ili kutompa Putin na Russia kisingizio kuwa West na NATO walikuwa nyuma ya tukio hili..
 
Putin ameshinda nini?. Wapi?. Lini?.
Alianzisha vita hovyo alipaswa kuachana tena na miji mikubwa ya Kyiv na Kharkiv.
Alitaka kukamata Donbas yote hakufaulu hadi leo.
Alitangaza kwa sauti kuu kuingiza mikoa ya Ukraine ndani ya Urusi - hadi leo hakuitwaa.
Alitaka kuweka Nato mbali na mipaka yake - kinyume alifaulu kuwaingiza Finland ndani ya Nato . . .
Aliua Warusi na Waukraine wengi.
 
Unajuaje kama walikuwa hawajui? Kama walikuwa wanajua na pia mwisho wao utakuwa kama ilivyoishia leo!!?
Mzee hayo mambo huwa sio ya kufanyia mchezo tena kwa nchi kama Urusi..yenye maadui chungu nzima-tena wenye nguvu sana-collective west.Pamoja na historia ambayo bado hakuna nguvu sana kwa institutions zaidi ya mtu-Putin.
Pia huwezi ukajua wananchi watareact vipi tena kipindi hiki cha Vita..
Kuna video nimeona wananchi wakipigana ngumi na mateke leo Roston pale-shida wengine pro Putin vs Pro-Wagner..

Hao wanajeshi wenyewe tena wagner huwezi wacontrol wote-wengine bangi wanaweza kukiwasha kweli..

Kumalizia PUTIN -Mkuu wa majeshi kahutubia akiwa na hasira kali kabisa..ikionekana waziwazi na akatangaza kuwepo kwa treason na army mutiny...sasa kama no 1. kahakiki wangine hatupaswi kuweka doubt..

Prog kazingua..anaropokaropoka sana..hachuji maneno..matokeo yake ndo haya sasa...

Mambo ya kijeshi tena ndani ya nchi yako mwenyewe hayawi staged..watu wanaweza kukiwasha kweli
 
number of helicopters and planes were shot down by
Wagner PMC:

3 - Mi-8mtpr (electronic warfare helicopters)
1 - Mi-8 (transporter)
1 - Ka-52 (Strike and reconnaissance)
1 - Mi-35 (combat)
1 - Il-18 vzpu aircraft (air command post)

Recall that during the 3 weeks of the Ukrainian counteroffensive, not a single attack helicopter was shot down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…