Kati ya wewe na hii habari nani fake? Sasa kama hata hujui hii vita ina muda gani, unasema hapa haijafikia wiki mbili wakati ukweli imezidi wiki mbili wewe si utakuwa ndo fake?! Ndo hivyo Sasa Russia keshaishiwa anaomba msaada.Either fake news or propaganda machinery at work! It is impossible vita isiyofikia wiki mbili Urusi imeishiwa silaha! Haipo hiyo kitu.
Kwamba hiyo haipigiki?Nahii ndio pantisr morden ya sasa. Sasa hizo zilizoenda Ukraine uone kabsa Ni old model haipingiki kwahyo mjipange Sana pro NATO. Russia sio level yao
View attachment 2150139
wanaomsemea wamagharibi.....raaha sana.......wawe wanasema pia idadi ya watu wao wanaokula vumbi huko ukraineKati ya wewe na hii habari nani fake? Sasa kama hata hujui hii vita ina muda gani, unasema hapa haijafikia wiki mbili wakati ukweli imezidi wiki mbili wewe si utakuwa ndo fake?! Ndo hivyo Sasa Russia keshaishiwa anaomba msaada.
It was a polite language to tell him that he was totally wrong. Na nilitaka atokee mtu kama wewe amuelekeze nisijebishiwa bure. Asante mkuuMarekani kuna bomba kutoka kanada. Mabomba zaidi kutoka nje hamna. Yote mengine kupitia meli. Kwenye vilindi vya Bahari Atlantiki unaweza kuweka waya ya simu na intaneti lakini huwezi kuweka bomba. --- Kuna mabomba yanayopita Bahari Mediteranea (Moroko-Hispania) na Bahari Nyeusi lakini huko si vilindi na njia si ndefu.
Vita sio mashindano ya Olympics au World Cup. Sio kisa una jeshi basi unapigana ovyo, mbona Tanzania isipigane Msumbiji au CongoBut vitani hawataki kwenda, why? Woga, au? Wanapenda tu kuona Ukraine ikiangamizwa na Mrusi!
Kusema ukweli Putin mambo yamemuendea Vijaya. Alimdharau sana Comedian. Alidhani vita itachukua Yukrein baada ya siku 3 tu. Hasira zake kaamisha kwa maafisa wa juu wa 'TiSS' ya urusi FSB kwa kumdanganya comedian zelensky ni kama kumsukumiza mlevi. Na wote kawaweka under house arrest. Jamaa yuko frustrated sana njaa pia ya vikwazo.wanaomsemea wamagharibi.....raaha sana.......wawe wanasema pia idadi ya watu wao wanaokula vumbi huko ukraine
Nina muda mchache sana. Kalibr za Urusi zimeanza kutumika Syria ni za around 2010s ila Mmarekani anazo Tomahawk zinazotumia inertia guidance na terrain following wala sio radar. Zinafuata miinuko na zinapita kwenye mabonde zaidi na sio juu sana kukwepa kuonekana na radar maana hazina speed kubwa. Unaweza tumia GPS kwa Marekani au GLONASS kwa Urusi kufanya guidance. Kuna kompyuta humo umei-feed wapi linaelekea na lenyewe lina seeker ya kujua hapa ndipo napiga.Mkuu tatizo watu humu huwa wanaongea tu bila hoja za kueleweka zaidi ni ushabiki tu.
Wao wakisikia eti Marekani na Urusi wana mashehena makubwa ya silaha Wana dhani wana jitosheleza kila sehemu bila kujua kila silaha huwa inatumika kwa mkakati , sehemu na wakati unao faa.
Wao wana dhani ukiwa na silaha ni kushambilia hovyo hovyo tu.
Kwa sasa Urusi ana hitaji drone zenye uwezo makubwa wa kufanya mashambulizi ili kudhibiti ambush za kushutukiza na katika sekta hiyo ni mdhaifu mno na ndio maana anataka kuagiza kutoka china.
Alafu mkuu naomba unisaidie kunipa maarifa fulani.
Hivi makombora huwa yana ongozwaje mpaka yana weza kulenga sehemu sahihi?
Mfano Urusi kwa kiasi kikubwa ina tumia makombora yanayo rushwa na meli kutoka bahari nyeusi kuharibu base za Ukraine.
Sasa ninacho taka kujua huwa yana wezaje kutambua sehemu yalipo tumwa hasa ikizingatia mji ni mkubwa una majengo mengi sana?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
sisi tunaomba hio source ya siku 3 mbona kila siku tunaomba halafu mnapoteaKusema ukweli Putin mambo yamemuendea Vijaya. Alimdharau sana Comedian. Alidhani vita itachukua Yukrein baada ya siku 3 tu. Hasira zake kaamisha kwa maafisa wa juu wa 'TiSS' ya urusi FSB kwa kumdanganya comedian zelensky ni kama kumsukumiza mlevi. Na wote kawaweka under house arrest. Jamaa yuko frustrated sana njaa pia ya vikwazo.
Comedian anamjambisha
Mbona wanatangazwa sana, hata wavamizi wa urusi wanatangazwa pia, yaani kila kitu Kiko hewani.wanaomsemea wamagharibi.....raaha sana.......wawe wanasema pia idadi ya watu wao wanaokula vumbi huko ukraine
Comedian anampelekea moto jasusi Hadi imebidi aombe masaada kwa mchina.sisi tunaomba hio source ya siku 3 mbona kila siku tunaomba halafu mnapotea
Comedian anampelekea moto jasusi Hadi imebidi aombe masaada kwa mchina.
Ulitarajia wakubali wakati ni mpango wa Siri,Urusi kaomba kisirisiri kwa hiyo lazima mchina amtunzie Siri.Hebu fuatilia kutoka impartial 3rd party basiView attachment 2150170