Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi Bunge la Urusi huwa linakazi gani ndugu zangu....??Mfano kwenye issue kama hii huwezi ukasiki hata limetoa tamko lolote hata taarifa tu kamati ya bunge ya ulinzi imekutana so and so..

Yaani Russia yote watu zaidi ya 140M wanamsikiliza mtu mmoja tu-Putin..

Leo hata Lavrov hajasikika..leo ilikua ni Putin tu...kila mtu anamfuatilia yuko wapi na atasema nini??

Huyu mzee watamuua na presha -na kawasaidia sana Urusi..hata huyo Prog mwenyewe muda wote anasema hana tatizo na Putin bali hao wengine..meaning hakutaka kabisa kuanzisha vita publically na Putin.

Huyu Putin Russia wampe maua yake-leo angekua kuna raisi mwenye roho nyepesi damu ingemwagika sanaa....

Russia wanamtihani baada ya Putin kuondoka huo ni mfupa mwingine kwa West....Russia isiyotabirika ni hatari sana kwa dunia...
 
Kwani hukumsikia Spika wabunge alichosema? Au ww ndo wale wale?
 
Nakazia hakuna hata risasi moja iliyopiga zaidi ya wananchi kupiga picha na vifaru yaani.p
 
Kwani hukumsikia Spika wabunge alichosema? Au ww ndo wale wale?
Volodin namfuatilia siku nyingi...sio leo tu.Kuna- tetesi pia Volodin ndo mrithi wa Putin...Kwa mtazamo wangu ni kama vile Volodin anamahusiano binafsi na Putin-ni swahiba wake..na mtu wake-So statement nyingi va Volodin na kama huwa ni personal..na historia yake inaonyesha hivyo...
Volodin huwa anaongea kama mtu-mwenye cheo cha uspika wa Duma na si kama Institution...ni kama yule mama speaker wa Federation Council naye kimya...
 
Daaah kama hili la leo limemalizika putin aachane tu na hii vita ya Ukraine itakuja kumharibia mbeleni
 
Amna ni mauwezo tu ya jeshi la urussi wewe kwa akili yako AJENDA YA BRICS INAWEZA KUVULUGWA NA KK SECURITY KWELI .... hata uchina isinge kubali huo upuuzi
 
USA na NATO yake kila siku wanasema kwamba:

We dont want direct confrontation with Russia

Hii kauli wanaitamka hadharani na mara kwa mara.

Hapo ndio utapima nguvu kubwa ya kijeshi aliyonayo Russia.

Haya yaliyotokea leo ni maigizo ambayo mimi na wewe tumeshindwa kuyaelewa.

Tuwe wapole mpaka siku watakapoamua wenyewe kufungua hii code.
 
After 12 hours of intense standing around and taking pictures, PMC Wagner are returning to the frontline to fight for Mother Russia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
Tulitaka kujuq kama maprooo nato wapo au wamekufa baadq ya kupotea kabisa ila baada ya kujua kuwa wapo wazima wa afya muvi limefungwa
 
Ulikuwa unatamba wewe tu we ng'ombe haa haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…