Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,264
- 2,910
Sikukomi subirini mnyooshweUnikome, sina mjomba anaeunga mkono ushoga. Nyambafu. Biden Putin wote mashetani.Tatizo mmekariri,mtu asipomuunga mkono Putin basi yupo na Biden.Akili kisoda wewe.
Muongezee na Venezuela [emoji1263]Huijui vizuri Urusi wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Izo nchi 40 mbona bado ndogo sana, inabidi ziongezeke nyingine 40 ndo hapo upinzani utakuwepo.
Mgogoro wa Syria ulikuwa kati ya (Assad, Putin- vs Nato, USA, Nchi za kiarabu).
Nafikiri jibu unalo ni nani aligeuka kuwa mshindi.
Naeka kituo hapaWakilipue tu hakuna namna wakichome Moto ili Europe ijue Russia Ni Nani maana hao wanajifanya hawajui.