Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Upo sahihi kabisa mkuu, binafsi tangu nimfahamu Putin sijawahi kuwa na mashaka juu yake na plans zake. A man is very smart.

Akili aliyowachezea PMC ni kubwa mnoo, jamaa wakawa wanashangaa mbona hakuna hata mgambo wa Russia aliepo barabarani kutuzuia tusiingie ikulu? Achilia mbali uwepo wa vikosi vya jeshi vya taifa. Wao wenyewe tu wakaona hapa tumeingia cha kike na tunapima kina cha maji ambacho siyo saizi yetu kisha wakaamua kuwa wadogo kama piliton. (Japo ukituliza akili utaelewa plan iliyochezwa hapo kati ya Putin, MOD na Prigo)

Angekuwa kiongozi wa kukurupuka basi tungekuwa tunaongea habari zingine kabisa sasa hivi, kama tu huyu kiongozi wetu anatuma vikosi vya FFU kwenda kupambana na raia wanao pinga mkataba wa DP world wasio na silaha wala rungu, je ingekuwa convey ya kijeshi kama Wagner walivyokuwa si angetuma vikosi vyote vya jeshi kwenda kupambana nao.

Kiufupi, hata USA na NATO Kwa ujumla licha ya kuwa na teknolojia ya juu na taasisi bora za ujasusi lakini mpaka leo mtu pekee duniani ambae bado wameshindwa kumuelewa na kumsoma vizuri basi ni Putin na Russia yake. Huyu mwamba anawaumiza akili sana mwishoe wanaishia kuwa wanajimu nyota tu kama kina karungu yeye wa uvinza kigoma ndani ndani huko.

MAISHA MAREFU KWA PUTIN NA RUSSIA.
 
Mkuu hapo hakuna traitor wala ndugu yake traitor, Russia ina vichwa vyenye akili imeamua kucheza na akili za USA& NATO ili itimizie mission zake bila mabeberu ya west kushtukia.

Kinachofanyika nikugawa majukumu mapya kwa wapiganaji wa wagner kwa mgongo wa adhabu za uasi,

IPO HIVI KUHUSU ADHABU YA UASI ILIYOTOLEWA;

[emoji838]Wapiganaji kadhaa (calculated) watabaki Ukraine kukiwasha ndo hao watakaojifanya wamejiunga na jeshi la nchi

[emoji838]Wapiganaji kadhaa (calculated) watajifanya wamekubali kwenda Belarus, nyuma ya pazia nikwenda kuweka mazingira ya kulinda silaha (nukes) zinazo tarajiwa kupelekwa Belarus na kuilinda serikali ya lunkashenko dhidi ya threats za west.

[emoji838]Wapiganaji kadhaa (calculated) watajifanya wameacha kazi ya kupigana, hawa watabaki moscow kuendelea na shughuli za ulinzi wa taasisi mbali mbali nchini Russia kama shughuli moja wapo ya Wagner PMC.

[emoji838] Wapiganaji wapya (calculated) watakuwa trained wakishaiva vizuri watapangiwa majukumu ya PMC kulingana na mahitaji, ndo hao utashangaa wanaletwa kwenye mission za Africa

[emoji838]Mr Prigo ataendelea kuwa kiongozi wa wagner ndo maana mpaka sasahivi bado ni kiongozi wa wagner..

Ni mwenda wazimu pekee ndo anaweza akaamua kuchukua wapiganaji wasiozidi elf50 kwenda kupindua nchi yenye wanajeshi zaidi ya million moja na vifaa hatari vya kijeshi tena kwa kupitisha vikosi vyake high way mchana kweupee[emoji23]

Pia ni mwenda wazimu pekee ndo anaweza akaamini kuwa ukifanya jaribio la mapinduzi ya kijeshi kama walilofanya wagner adhabu yake ni hizo option tatu walizo pewa; 1. Kuweka silaha chini na kuwa raia[emoji23]
2. Kwenda Belarus [emoji23][emoji2]
3. Kujiunga na jeshi la nchi[emoji23][emoji23]

Kama hizi ndo adhabu za mapinduzi ya kijeshi nchini Russia basi hata mimi ipo siku nitaenda kufanya jaribio la mapinduzi ili nipewe adhabu ya kujiunga na jeshi la Russia niwanyoshe mashoga wa West pale Ukraine [emoji23][emoji23]

Anyway, ngoja niishie hapo nisije nikajikuta nafunguka siri za General wangu Putin akanipa adhabu ya kwenda Belarus bure maana NATO na vibwengo wao wa humu Jf akili zao ni mgando hawawezi elewa hizi michezo za akili ndo maana walikuwa wanaamini Mr Prigo na washikaji zake elf25 wa wagner walikuwa wanaenda kuiteka Moscow na kumfurusha Putin kwenye kiti Cha urais [emoji23][emoji23]
 

Hivi Wanavyokuja Africa wanalipwa na serikali za nchi husika au Russia wanatoa msaada??
 
Huyu jamaa mwisho wake utakuwa shimo la tewa, huu ni zaidi ya Ugaidi.. ni uhuni wa Putin



A Russian attack on Kramatorsk in eastern Ukraine has killed at least four people and injured dozens more, as Baltic states raised concern about Russia’s now-exiled Wagner Group apparently rebasing in Belarus.

Russia fired two S-300 surface-to-air missiles at the city on Tuesday evening, authorities said.
One missile hit the popular Ria Pizza restaurant in the city centre. A second missile struck a village on the fringes of the city, injuring five.

Ukraine’s interior ministry confirmed one of the bodies pulled from the ruins of the restaurant was a teenager, while a baby was among the 47 who were injured.

The restaurant was hit just before 8pm local time (17:00 GMT) when many people were eating dinner.
 
Kuna uasi mkali kama wa Chechnia?
Unajua wachechen walifanywa Nini na Putin baada ya kumsumbuabsana Chapombe Yelstin?
Unamjua vizuri Aslan Mashkadov?
Je unamkumbuka Shamir Basayev?
Hawa watu wako wapi kwa Sasa?
Utafikiri ulikuwepo basi, mkwara mwingiiii eti unakumbuka hahah!
 
Hivi Wanavyokuja Africa wanalipwa na serikali za nchi husika au Russia wanatoa msaada??

Russia hawatoi msaada wa kitu kama hiko. hao ni pmc which means wana provide hizo services kwa malipo kwa yoyote yule anae hitaji service zao. Unawalipa wanakufanyia jambo lako
 
Jana urusi ilitumia UAV S-70 Okhotnik, "Hunter", kushambulia Hoteli Huko Kramatorsk, idadi kubwa ya mamluki na wanajesh waliokuwa ndani wameheruhiwa na wengine kuuwawa. Inadaiwa walikuwa wakifanya mkutano wakati mashambulizi yakifanyika.
 
Hivi Wanavyokuja Africa wanalipwa na serikali za nchi husika au Russia wanatoa msaada??
Serikali husika ndo zinawalipa. Russia wananufaika maana wanalipwa na hizo nchi husika kisa madaraka.As wagner wanawasaidia hao marais waafrika wasipinduliwe.
 
Mawazo ya kijinga kwa watu wenye IQ ndogo.
 
Kuna watu wanaenda kuzikwa marekani wanasingizia Ni watalii na raia wa kawaida kwann wasizikwe Hapo Ukraine?
Jana urusi ilitumia UAV S-70 Okhotnik, "Hunter", kushambulia Hoteli Huko Kramatorsk, idadi kubwa ya mamluki na wanajesh waliokuwa ndani wameheruhiwa na wengine kuuwawa. Inadaiwa walikuwa wakifanya mkutano wakati mashambulizi yakifanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…