Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu unajua vema Putin hakuona bado kikosi chochote cha Nato dhidi yake. Anapambana na jirani mdogo anayepokea silaha kadhaa kutoka NATO, tena si silaha bora na idadi ndogo....
Hadi sasa Putin analindwa na NATO.
Huu sio uwanja wa Vita wa kawaida wala sio Dhidi ya Adui wa kawaida.
Hii ni Russia.
 
Uchambuzi mfupi sana huu,lkn umebeba ujumbe mrefu Sana .
Big up man.
 
Kusoma sio shida lakini ulivyo narrate ni as if you were there Mzee.
Ahaa,kwa hiyo unanipa sifa kumbe,basi nashukuru.mimi ni story teller mzuri sana.
Hua nikisoma jambo,au kulitazama ua kulisikia ninapenda kusimulia kwa weledinhatua kwa hatua.
Kama sjiakukwaza nashukuru,ila kama nimekukwaza nisamehe.
 
Dah NATO inapitia kipindi kigumu sana,hofu mashaka na wasiwasi umewapata utadhani wameambiwa kua Urusi na belarusi zinaenda kuvamia mwanachama wa NATO.
NATO hawajawahi kuishi maisha haya toka kuumbwa kwa Dunia.
"Wanamuogopa Hadi Prigozin mtu aliefukuzwa Urusi kwa utovu wa nidhamu".
Aisee Dunia inazunguka kwa Kasi sana.
 
Wakati hii ngoma inaanza niliona kama OTAN wanataman kuingia vitan na Russia na niliona kama Russia anawaogopa flan hivi ila nnachokiona kwa sasa Russia anawatamani sana hao NATO waingie uwanjani!!
 
"Any frozen conflict is a war. A war that will certainly break out. The only question is when. When and how many lives it will take. Therefore, peace must be honest. This is the kind of peace envisioned by the Ukrainian Peace Formula. And that is why it is of universal benefit. Ukraine will never agree to any of the options for a frozen conflict. None of them," Zelensky emphasized.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]Lithuanian President Gitanas NausΔ—da arrived in Kyiv on an unannounced visit and will take part in events marking the 27th anniversary of the adoption of the Constitution of Ukraine.[emoji298]



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wakati hii ngoma inaanza niliona kama OTAN wanataman kuingia vitan na Russia na niliona kama Russia anawaogopa flan hivi ila nnachokiona kwa sasa Russia anawatamani sana hao NATO waingie uwanjani!!

Alafu inaonekana kuna kitu kikubwa Russia anakipanga….Leo wapiganaji kutoka Nepal wameingia Urusi kujiunga kwa mkataba sijui itakuwa ni Wagna or something else, Mrusi kuna kizito anakiandaa.
 
Acha ukichaa kwani alikwambia anataka kulindwa na minato hao sema nato wanamuogopa na ndio maana hawaingii moja kwa moja kama iraq
Mkuu nilisema wapi Puzin anataka kuoindwa na NATO? Lakini NATO inazuia Ukraine kushambulia Urusi kwa kutumia silaha kutoka kwao. NATO inazuia pia silaha kali zaidi zinazoweza kupiga ndani ya Urusi.
Hali hiyo uite unavyopenda. mimi nasema: wanamlinda Putin hadi sasa ...
 
Leopard, stingers, javelin, drone za turkey zile sijui zinaitwaje, man pad, himmers, patriot, bradley, na nyingine nyingi walizopewa na kuuziwa je ni silaha dhahifu?
Ndiyo, ni silaha dhaifu hadi sasa. Wapi silaha zu kupiga ndegevita kwa umbali wa wastani? Wapi roketi zinazofikia vituo ambako Putin anarusha roketi na ndege zake?
NATO inazuia kupatikana kwa silaha hizo upande wa Ukraine.
Hukujua bado
 

Lile tukio la jana hawakutarajia!!!!!!!Kumbe jamaa wamo ndani yao!!!!!!!!!! Limewauma sana!!!!!!!!!!!!!!! Wanajitahidi kuficha lakini wapi??????​

​

Ukraine arrests local man for 'helping' Russians carry out pizza restaurant strike that killed 10​


Ukraine's counterintelligence service has arrested a man it accuses of helping Russia direct a missile strike that killed 10 in the city of Kramatorsk.

The Security Service of Ukraine (SSU) said the man detained was local to the area.


"According to the investigation, the enemy agent is a resident of Kramatorsk, an employee of the local gas transportation company," it said on its website.

The man recorded videos of buildings and cars near by before passing on the footage to Russian military intelligence, the SSU says.

Among the 10 killed in the attack were four children, and 61 others were injured.

Source: Sky news: 28/06/2023
 
Marekani imesema wakiendelea kuteka maeneo Kwa kiwango cha Sasa Ukraine itatumia miaka 16 kurudisha maeneo yake , Sasa huyo anabwabwaja nini !
 
Sio kwamba wanajilinda wao?Maana kauli zao na wewe ni tofauti!Wenyewe wanasema wanazuia escalation ya vita ndio maana wanazuia silaha zao kutumika kushambulia ndani ya Russia!Au kwa lugha nyingine wanazuia world war 3 au kwa lugha nyingine nuclear war!
So hiyo ya kumlinda Putin ni nonsense!Kama wangekuwa wanataka kumlinda Putin basi wangemshtua kuwa Kiongozi wa Wagner anaenda kuasi kama ambavyo wanatamba kuwa walijua suala hilo ila haikuwa kwenye interest yao kumwambia Putin!
Kwa mazingira hayo,hiyo nadharia yako ni baseless!
 
Maelezo yanaeleza nato wanamugopa urusi
 
PUT IN na PMC pamoja na PRIGO hawana baya lolote baina yao
 
Hili suala limeenda Sawa sanaa PUT IN na PMC wameupiga mwingi sanaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…