Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

RUSSIA [emoji635] taifa TEULE
 
Hamjakata tamaa na hizi habari nyepesi nyepesi?
Nilitegemea by this time mtakuwa mmejifunza jambo!
Ila siwashangai sana,unapokuwa jangwani hata mkojo wa mjusi unaweza kukupa faraja ukadhani ni mvua ya el nino!
 
Wenzako walikuwa wanasemaga ivyo ivyo ila mwisho wa siku Bakhmut ikachukuliwa na makoleo.achana na propaganda kutoka west, ukiulizwa mpaka muda huu tutajie sehemu ambayo Ukraine wanasonga mbele unakosa jibu.vita sio maneno bali vita ni vitendo.
 
Kutoka kwenye himmars, juvelin, leopard, Abraham, na hizi ndege mlizokuwa mnapiga kelele hapa juzi mpaka Leo hii cluster bombs,,,, endeleeni kujipa moyo hivyo hivyo siku mkishtuka mtakuja kuona Ukraine yote ishachukuliwa,, muda utaongea
Hawa jamaa huwa kila silaha mpya ikitangazwa basi wanashangilia mno na kufanya sherehe!Silaha hiyo ikifika site,ukimya mkubwa huwa unatanda!Baadae wanasubiri kushangilia silaha nyingine mpya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…