kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Na Hilo ndilo neno la bwana..,[emoji119][emoji119][emoji119]KITU NIMEJIFUNZA MPAKA SASA NI KUA ISHI VIZURI NA NDUGU NA MAJIRANI ZAKO VIZURI WATU WA MITAA MINGINE WATAKUSAIDIA ILA KWA MUDA TU
Zelensky analo mwaka huuKITU NIMEJIFUNZA MPAKA SASA NI KUA ISHI VIZURI NA NDUGU NA MAJIRANI ZAKO VIZURI WATU WA MITAA MINGINE WATAKUSAIDIA ILA KWA MUDA TU
Matokeo ni kwamba Major General Ivan Popov wa 58th Army ya Southern Military District amepumzishwa majukumu. Sababu wanaijua Shoigu na Gerasimov.Pole MKUU nipe matokeo huko
Kwenye upande wa mawasiliano ambayo yapo secured, Urusi ina udhaifu sana tu au sababu bado wanategemea vifaa vya kimagharibi ambavyo bado hawavimudu vyema ?Russia inafiwa sana na majenerali. Sababu wanapenda kuzubaa frontline na hawatumii secured communication hivyo zinakuwa intercepted na high ranking target zinatafutwa. Hata Dmitry Rogozin alishambuliwa na HIMARS sababu hii.
Mnavyoendelea kuongea mnaonesha hamjui kitu.Kwenye upande wa mawasiliano ambayo yapo secured, Urusi ina udhaifu sana tu au sababu bado wanategemea vifaa vya kimagharibi ambavyo bado hawavimudu vyema ?
😂😂😂 unachekesha mzee.Matokeo ni kwamba Major General Ivan Popov wa 58th Army ya Southern Military District amepumzishwa majukumu. Sababu wanaijua Shoigu na Gerasimov.
Na vilevile Lt. General Oleg Tsokov kamanda mkuu msaidizi wa Southern Military District ambayo ndiyo inahusika zaidi na vita hii ameagwa. Storm Shadow ilimpiga akiwa hotelini, September mwaka jana aliumizwa vitani ila this time hakusalimikaView attachment 2687876
Russia inafiwa sana na majenerali. Sababu wanapenda kuzubaa frontline na hawatumii secured communication hivyo zinakuwa intercepted na high ranking target zinatafutwa. Hata Dmitry Rogozin alishambuliwa na HIMARS sababu hii.
Alafu General Surovikin yuko wapi mbona wiki ya tatu yuko mafichoni
Umeamia kwenye majenerali [emoji23][emoji23][emoji23]Matokeo ni kwamba Major General Ivan Popov wa 58th Army ya Southern Military District amepumzishwa majukumu. Sababu wanaijua Shoigu na Gerasimov.
Na vilevile Lt. General Oleg Tsokov kamanda mkuu msaidizi wa Southern Military District ambayo ndiyo inahusika zaidi na vita hii ameagwa. Storm Shadow ilimpiga akiwa hotelini, September mwaka jana aliumizwa vitani ila this time hakusalimikaView attachment 2687876
Russia inafiwa sana na majenerali. Sababu wanapenda kuzubaa frontline na hawatumii secured communication hivyo zinakuwa intercepted na high ranking target zinatafutwa. Hata Dmitry Rogozin alishambuliwa na HIMARS sababu hii.
Alafu General Surovikin yuko wapi mbona wiki ya tatu yuko mafichoni
Mtu ambaye alitakiwa aliokoe jeshi la Urusi kuondokana na incompetency, rushwa, ukiritimba na matatizo mengine ni Anatoly Serdyukov. Huyu hata CV yake haidanganyi, kwanza alipitia kwenye kuongoza biashara zaidi kuliko siasa. Alivyoingia wizara ya ulinzi alileta mabadiliko makubwa kwa muda mchache akisaidia jeshi na military industrial production hasa renovations na upgrades. Miaka yake michache kama mitano aliyokaa jeshi likawa limenyooka baadae maofisa wakamchukia na Putin hakumtaka sana sababu ni competent na ana akili nyingiPutin is prizing loyalty over competence
By Sean Bell, military analyst
General Valery Gerasimov is the third most powerful man in Russia after the Defence Secretary and President.
He has been Chief of the Russian General Staff since November 2012, and has held overall responsibility for Russian operations in Ukraine for the past 6 months.
He is a long-term ally and friend of President Putin.
However, following Yevgeny Prigozhin's abortive rebellion just over a fortnight ago, Mr Putin might have wanted to purge all those senior military leaders who had anything to do with the potential coup, as brutal predecessors would have done.
And, General Gerasimov had not been seen in public since early June.
General Valery Gerasimov
Media reporting this weekend suggested that he had been replaced as senior commander of forces in Ukraine, but on Sunday Russian state TV carried a video of General Gerasimov directing his senior military commanders, and he was introduced using both his military roles, suggesting he has been retained in post, at least for now.
But why?
Yevgeny Prigozhin's high profile feud with the Russian MOD was primarily focused on General Gerasimov (and Sergei Shoigu the Russian Defence Minister) who Prigozhin described as incompetent and corrupt.
Prigozhin claimed that this prompted his march on Moscow, and that he had no intention of mounting a coup against the president.
Mr Putin will be well aware of the poor performance of his military forces in Ukraine, and he could have used the rebellion as a catalyst for reshuffling his military senior leadership.
However, instead Mr Putin has evidently prioritised loyalty over competence, and retained his senior leadership team.
Putin should have his primary focus on winning the war in Ukraine; however, by prioritising loyalty over competence, Putin has demonstrated that the rebellion represented the biggest threat to his two-decade long grip on power, and that behind the thin veneer of "business as usual", cracks are starting to appear in the Putin empire.
==========================
Hilo ndio tatizo la ushoshalisti, ndio maana huishia kupata matokeo mabovu hata kwenye sekta nyingine muhimu.
T14 Armata
Russia modernization yao haikufanyika kila sehemu na kati ya eneo walienda taratibu ni hapo kwenye secured communication. Radio zao za Azart latest generation ni nzuri ila wanasema ni ngumu kutumika bila training, kwenye mawasiliano kuna mambo mengi sijui frequency queuing, kubadilisha channel, kubadili frequency ukitambua imekuwa eavesdropped na mengineKwenye upande wa mawasiliano ambayo yapo secured, Urusi ina udhaifu sana tu au sababu bado wanategemea vifaa vya kimagharibi ambavyo bado hawavimudu vyema ?
Kwenye logistics ndio balaa zaidi, wanahitaji kuanza upya kabisa ila nadhani 'logistics' zinahitaji gharama sana hivyo kuzimudu kwa nchi kama Russia bado sio rahisi kwao.Russia modernization yao haikufanyika kila sehemu na kati ya eneo walienda taratibu ni hapo kwenye secured communication. Radio zao za Azart latest generation ni nzuri ila wanasema ni ngumu kutumika bila training, kwenye mawasiliano kuna mambo mengi sijui frequency queuing, kubadilisha channel, kubadili frequency ukitambua imekuwa eavesdropped na mengineView attachment 2688070
Alafu hizo Azart ni chache sana walizitoa kwa tactical level ya makamanda na kwa baadhi ya special forces. Matokeo yake hazipo familiar na wengi na haziendani na radio zilizokuwepo hivyo zinalazimika kutumika chini ya uwezo wake.
Na bado modernization ya Ratnik ambayo mwanajeshi wa Russia angepewa communication gears, guards na makorokoro mengine haikufanyika. Vyote hivi vinataka gharamaView attachment 2688069
Hadi vita imeanza Warusi wameonekana na radio za kiraia kama Baofeng na Motorola. Hapa wanatumia Trans-European Trunked Radio (TETRA) kwenye Azart wakati huu ni mfumo wa kiraia wa Ulaya kuongoza hasa madereva wa maloriView attachment 2688074
Mfumo huu unatakiwa kuwepo jeshini maana unatumika na madereva wa kiraia Urusi na hata taasisi kama zimamoto na emergency services wanao ila kuutumia kwenye vita inashangaza.
Kuna clip MoD yao ilitoa ikaonyesha wamefunga radio communication kwenye helikopta, yani sio built in sasa sijui ya ndani ilikuwa imeharibika.
Hata hivyo Russia kwenye electronics, foundry na microchips they are nowhere to be found. Wakati wenzao wanazungumzia 3nm chip, Russia naamini hata kwa 14nm watateseka.
Baada ya vita wanatakiwa wapige modernization kali sana. Walipotoka Chechen wars walifanya hivyo, walipotoka Georgia uko ndio walikuwa na uozo mkubwa walifanya hivyo, pale Syria walitest vitu vingi na baada ya Ukraine siasa zikiwaruhusu watafanya marekebisho mengi. Gerasimov muda wa kustaafu jeshini umeshafika, Shoigu kakaa wizarani miaka 11 sasa hivyo ukiwatoa baada ya vita sio mbaya kuleta mawazo mapya.