kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Matokeo katika mazingira ya vita kama hii sio Kuua Warusi wawili au watatu,au kupiga kwenye Kuta za majengo ya wakazi wa mitaa ya baadhi ya miji ya Warusi,Bali ni kupata ushindi usio na mashaka,kwa mfano kuyaondoa majeshi yanayoitwa ya wavamizi katika ardhi inayosemwa imetekwa ama imevamiwa.Hiyo mizigo yote imetolewa kwa kiasi kidogo sana lakini matokeo yake yameonekana, mfano Himars
😁😁😁😁😁🤭Kwahiyo sasa hivi umeamia kwenye kuchambua mgawanyo wa madaraka na sio Offenseve uliyo kuwa unashinda unatuhubilia humu?
Huyu ni Marekani halisi kaongea ukweli mtupu juu ya uwezo wa nuke wa urusi,ila Kuna viji Marekani uchwara humu ndani vitampinga General wa USA Tena alikua mshauri wa Rais wa masuala ya usalama , vinaiita Urusi Supapawa wa mchongo na kuiona Marekani kama ina weza Kila kituIt's stupid to threaten Russia with nuclear weapons
“The Russians can flood the Atlantic with their submarines, as well as the Pacific Ocean, where they will be supported by the Chinese navy,” said Colonel Douglas McGregor, a former adviser to the head of the Pentagon.
He recalled that the United States does not yet have such capabilities - most of the American nuclear submarines are now under repair.
View attachment 2689690
Dah andiko fupi lkn zuri sana.Pro Nato wote sijui hawaoni aibu[emoji16] kipindi kile taarifa zikija kuwa Bakhmuti ishachukuliwa na Urusi wanahoma utasikia urusi wanachakazwa huko bhakhimuti, ikaenda media za ulaya propaganda zikaacha kabisa story za bhakmuti, leo hata hawakumbushii, sory imeisha Russia ni mwamba pale bhakhmuti.
Wakaja na counteroffensive hii walikuwa wanaipigia promo bila kusema wanataka kuirudisha bhakhmuti wakawa hawataji jina la mji wanasema tu kurudisha maeneo ya Ukraine.
Leo counteroffensive imekufa kabisaaa. Russia ia a king na isingekuwa sheria za kimataifa. Ukraine ingebak historia Duniani
Leo Putin kawambia mabomu ya mtawanyo wanayo yakutoshaPro Nato wote sijui hawaoni aibu[emoji16] kipindi kile taarifa zikija kuwa Bakhmuti ishachukuliwa na Urusi wanahoma utasikia urusi wanachakazwa huko bhakhimuti, ikaenda media za ulaya propaganda zikaacha kabisa story za bhakmuti, leo hata hawakumbushii, sory imeisha Russia ni mwamba pale bhakhmuti.
Wakaja na counteroffensive hii walikuwa wanaipigia promo bila kusema wanataka kuirudisha bhakhmuti wakawa hawataji jina la mji wanasema tu kurudisha maeneo ya Ukraine.
Leo counteroffensive imekufa kabisaaa. Russia ia a king na isingekuwa sheria za kimataifa. Ukraine ingebak historia Duniani
Mkuu, kwa wenzetu hawa ukiwa Chief of General Staff kama Gerasimov au wa US na nchi zingine kubwa Duniani ni lazima uwe unayafahamu haya yote.
Unakuwa unacoordonate haya kwa kushirikiana na Waziri wa Ulinzi.
Hybrid Warfare ni strategia ya kijeshi.
Hivyo mkuu alieeleza mwanzo yupo sawa.
Ila presha inakunyemelea. Hivi mashoga walishawalishaga nini?Ndege za kisasa za kivita za Urusi,Chapa Su-34,ndio zinazoongoza kudondoshwa huko Ukraine [emoji848]
......
Wewe unasema anakuwa anacoordinate, mwenzako alisema ndiye aligundua.
Nilichopinga Mimi ni yeye kusema kwamba huyo Jenerali wa Urusi ndiye aligundua Hybrid Warfare.
Umenipata? Naona hata wewe umejitenga na ugunduzi na kujielekeza kwenye cordination.
Russia wanaposema hii vita ni hybrid wanamaanisha nin???Mkuu, hapana shida uko sahihi.
Hakuna alegundua Hbdrid Warfare isipokuwa kuna nadharia (Theory) ambayo ilipendekezwa na mwandishi wa vitabu vya vita na sera za mambo ya nje aitwae Dr Frank G Hoffmam.
Ndiye aliependekeza hii nadharia ya Hybrid Warfare katika papers zake mbili "Hybrid Warfare and Challenges" na kingine cha "The Rise of Hybrid Wars".
Kwahiyo kusema kwamba jenerali Gerasimov ndie aliegundua ni jambo ambalo si kweli.
Ila Majenerali wengi husoma hizi nadharia za Hoffman na huzitumia katika majeshi yao.
Russia walikwishasema kwamba vita hii ni Hybrid na wataijibu ipasavyo, na ndicho kinoendelea kwa sasa.
Wakisema hivyo wamaanisha kwamba kila aina ya mbinu za kivita zatumiwa na NATO na US hivyo na wao ni lazima wajibu na kuwa sambamba navyo.Russia wanaposema hii vita ni hybrid wanamaanisha nin???
.Huyu ni Marekani halisi kaongea ukweli mtupu juu ya uwezo wa nuke wa urusi,ila Kuna viji Marekani uchwara humu ndani vitampinga General wa USA Tena alikua mshauri wa Rais wa masuala ya usalama , vinaiita Urusi Supapawa wa mchongo na kuiona Marekani kama ina weza Kila kitu
Vijimtu hivyo viswahili Fulani havikubaliani na Mmarekani aliyeko Marekani anaelijua jeshi la USA vizuri na jeshi la Urusi kwa kiasi chake,ambavyo vijimtu hivyo sio TU havijawahi kufikiria kufika Marekani Bali pia hata ubalozi wa Marekani uliopo hapa Tanzania havijui uko wilaya Gani.
Hata Mimi lee van cliff navishinda najua ubalozi wa USA uko hapa Kwimba karibia na kwa Mzee Kishosha.
Nashukuru sanaWakisema hivyo wamaanisha kwamba kila aina ya mbinu za kivita zatumiwa na NATO na US hivyo na wao ni lazima wajibu na kuwa sambamba navyo.
Vita vya Hybrid hujumisha matumizi ya mambo yafuatayo:
1. Vifaa vya zamani na vipya vya kivita na ndo maana silaha nyingi kwa upande wa NATO na US zimepungua maghalani kutokana na matumizi mabaya ya majeshi ya Ukraine. Russia watumia silaha zao kwa mpangilio ingawa Prigozhin alikuja kuwa mkali kwa kuona abaniwa lakini ukweli nikwamba Russia atumia silaha zake kwa mahesabu.
2. Information War -yaani vita ya habari yaani nani kasema nini na nani kasema visivyo hivyo kuweka mashindano ya nani habari zake au taarifa zake ndizo zenye uzito.
3. Matumizi ya vikosi vya kukodi ambapo Russia wana Wagner, Ghukas na vikosi vya Chechen wakati NATO na US nao waitumia Ukraine kupigana na Russia kwa niaba yao na pia kutumia vikosi vya kukodi kutoka katika sehemu ya wanajeshi wa zamani na wale wenye ujuzi mbalimbali.
4. Uchumi kwa maana ya kuwekeana vikwazo ambapo NATO na EU na US wameweka vikwazo vya kiuchumi kwa Russia lakini Russia watumia mbinu zingine kuhakikisha uchumi hautetereki kabisa na kusababisha matatizo kwenye nchi.
5. Vita vya mitandaoni (cyber attacks) na adversaries ambapo hivi sasa mitandaoni kuna vita watu washambuliana kwenye mifumo ya computers jambo ambalo halitangazwi ila vita hiyo ipo yaendelea.
6. Matumizi ya mbinu kama mabomu ya kutega kushambulia miundombinu ambapo Ukraine ndie hufanya sana hivi na pia kuua watu muhimu kutoka upande wa adui (assassinations) na kadhalika.
7. Matumizi ya vifaa vya hali ya juu vya kiteknolojia kama UAVs, AI katika kutambua targets na magari ya ardhini ambayo huchimba kuficha mabomu (huitwa VBIED au Vehicle Borne Improvised Device) bila kujulikana na maadui.
Na njia zingine nyingi za kisiasa, kidiplomasia kama vile kumtangaza Putin kuwa ni mhalifu wa kivita ambayo inamfanay mtu kuwa ametengea au "isolated".
Hivyo NATO na US pamoja na washirika wote walijiandaa kwa aina hii ya vita na pia Russia na washirika wake pia walijiandaa vilivyo kwa miaka 8 tangu 2014.
Haya ni kwa ufupi tu.
Kajinga kale haya kiko wapiView attachment 2686802‘We’re not Amazon’
The British defence secretary, Ben Wallace, has suggested Ukraine needs to put more emphasis on thanking the West for its assistance after Zelensky’s complaints that Ukraine had not been issued a firm timetable or set of conditions for joining NATO.
“Whether we like it or not, people want to see a bit of gratitude,” Wallace said at a briefing in the margins of the Nato summit in the Lithuanian capital, Vilnius.
"Thank you" Mr Wallace for supporting the war in Ukraine and fighting global overpopulation...
@ukraine_watch
Ukisikia mtu anasimangwa ndiyo huku sasa 😂😂😂😂😂😂😂