jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Tusubiri kipigo zaidi[emoji298]A nighttime attack on the Kerch Strait Bridge was a special operation conducted by the Security Service of Ukraine (SBU) and the Ukrainian Navy, according to Ukrinform's sources in the SBU.[emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ikiwemo kipanya 44Kuna watu bado wanaamini Ukraine atashinda hii vita?
Limekatika kabisa hakuna mrusi anakatiza kwenda Crimea kwa sasa..na jeshi la ukraine limeshaingia tayari..bado kubomoa tuu kambi za urusi zilizoko CremeaNasikia daraja la Crimea limeshambuliwa tena.
kipigo kutoka kwa mr. mikwara siyo aka mzee wa matamko. 😀Tusubiri kipigo zaidi
Safi sana.Limekatika kabisa hakuna mrusi anakatiza kwenda Crimea kwa sasa..na jeshi la ukraine limeshaingia tayari..bado kubomoa tuu kambi za urusi zilizoko Cremea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakatishe makalio watajua mchokozi kati ya Urusi na Nato nani...Safi sana.
Hii bendi, enzi zake umenikumbusha mbaaali.[emoji1787]Orchestra Safari Sound, mambo mpitompito.
Huyu Medvedev ilikuwaje akawa Rais wa taifa kama Urusi maana mropokaji sana.