Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2690343
Tumetoka mbali sana, hizo lancet now wahuni wamezalisha nyingi mnoooooooo.

Nilikuwa miongoni mwa walioathiriwa na propaganda za wamagharibi nyakati zile ni mtoto na kijana nisiejielewa.

Kuanzia vita ya IRAQ mpaka kuondolewa kwa Gaddafi.

Jf imenitoa ujingani
Zindukaaaaaa sisi wenzio tulizinduka zamani mnooo na tulianza kujiuliza kwanini.mtu na genge lake aamue kuua watu wengine bila sababu??? ndio tukaona hao mnaita West ni mhimili wa shetani..
 
Kwenye mkusanyiko wa watu wengi, naona ni sawa ama kawaida kila mtu kuwaza tofauti kulingana na mtazamo (perspective) alio nao. Ila kwa hili la darajani pale Crimea team Ukraine mnatia simanzi.

Of course wamefanya tukio lakini halina uzito zaidi ya kutengeneza "hype" iso na kichwa wala miguu ilhali wakijua consequences zake ni mbaya zaidi kuliko wanachotaka ku'achieve.

Nakumbuka mara ya mwisho shambulio la kwenye daraja hilo lilipelekea majibu yaliofanya Ukraine kuondokewa na zaidi ya 40% ya vyanzo vyake vya nishati na nchi kuingia gizani maeneo mengi huku nyuma daraja likirekebishwa na matumizi kuendelea kama awali as if hakijatokea kitu.

Awam hii pia damage ni kiduchu ukilinganisha na kile kitakawachokuta siku za karibuni. Hapa Taarifa zilizopo daraja litaendelea na matumizi yake ya kila siku ndani ya siku mbili hizi kwa upande mmoja huku ikitarajiwa kua full restored by November.

Ukiniuliza hiki kinachofanywa na Ukraine huku wafuasi wake wakishangilia vya kutosha ninakifananisha na nini? It's like A man who came to your house kisha awe anafanya yote anayojisikia akiwa ndani nawe badala ya kumtoa huko ndani unakaa mile 70 unaanza rusha mawe juu ya bati then unajisifu kua unamueza 🤣 na umem-komesha haswa.

This is beyond cowardness indeed!
 
RAIS wa Urusi Vladimir Putin ameapa kulipiza kisasi kwa shambulio jipya la ndege mbili zisizo na rubani za Ukraine kwenye daraja la Crimea.

Hatua sahihi kwa sasa zinapimwa na Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo, alisema, wakati wa mkutano na maafisa wakuu wa jeshi na serikali jumatatu.

"Tukio hilo ni shambulio lingine la kigaidi la serikali ya Kiev. Uhalifu huu hauna maana kwa mtazamo wa kijeshi, kwani Daraja la Crimea kwa muda mrefu halijatumika kwa usafiri wa kijeshi, na ni la kikatili, kwani ni raia wasio na hatia tu waliuawa na kujeruhiwa," Rais Putin alisisitiza.

Putin alisema Moscow italipiza kisasi kwa shambulio hilo. Wizara ya Ulinzi ya Urusi tayari inatayarisha "mapendekezo ya lazima" kwa hatua kama hizo, aliongeza.

Rais pia aliwataka maafisa kuimarisha hatua za usalama karibu na daraja hilo, akibainisha kuwa hilo ni pigo la pili dhidi yake. Sehemu zote za barabara na reli ziliharibiwa vibaya Oktoba mwaka jana, wakati lori lililokuwa limebeba vilipuzi lilipolipuliwa.

"Nasubiri mapendekezo maalum ya kuboresha usalama wa kituo hiki muhimu cha usafiri," Putin aliongeza.

-
Tembelea //epaper.tsn.go.tz kusoma zaidi
Una maoni usisite kutuandikia
-
#HabarileoUPDATES
 
Nakazia neno ameapa.
 
Warusi wanatangaza kulipiza kisasi: "Tutatumia njia zisizo za kibinadamu - Wanaelewa tu lugha ya nguvu Naibu Rais wa Baraza la Usalama la Shirikisho la Urusi, Dmitry Medvedev, alizungumza baada ya mlipuko kwenye daraja la Crimea.
 
Huyu jamaa angekuwa Rais wa Russia kwa wakati huu,sijui ingekuwaje?
Ndio maana west pamoja na kumchukia Putin,ila wanaona bora aendelee kuwa Rais kwa sasa!
 
kenya another fighting ground ya wazungu, since russian Lavrov na iran president watue kenya haya ndio matokeo,dark days ahead i weep for my motherland yet people like MK254..... let me not say it, it might be used against me. DRUMS OF WARS LOADING........
Web capture_18-7-2023_151946_kenyatalk.com.jpeg
 
kenya another fighting ground ya wazungu, since russian Lavrov na iran president watue kenya haya ndio matokeo,dark days ahead i weep for my motherland yet people like MK254..... let me not say it, it might be used against me. DRUMS OF WARS LOADING........View attachment 2692026
Maeneo kama haya ndipo ninapowakubali wabongo, yaani wangekamatwa mmoja mmoja na kupotea mpaka akili ikae sawa 😂😂😂😂😂

Bongo huu ujinga ni ngumu kutokea maana tiss huwa wanadeal na vinara mapema kabla hayajashika Kasi
 
Oficially wazungu wako upande wa Raila ,Ruto aliongea mambo ya Dollar na multipolar world na umoja wa Africa na kufokea world bank na IMF sioni kama ata survives this. kenyan media is now officially compromised.
 
How is Russia financing its invasion while it is under sanctions?​

We have been putting your questions on the war to our experts and senior correspondents.

Sky News reader Coops asks: How is Russia continuing to finance its "special military operation" given sanctions from most major economies, and is it true that Russia is often just circumventing sanctions by buying Western equipment via countries like Turkey and the UAE?

Our business presenter Ian Kinganswers...
lcimg-9a27661f-5bfd-46da-b4ab-a56efefa10dd.png

Russia is funding its war on Ukraine predominantly through its crude oil exports.

According to the International Energy Agency, Russia received oil export revenues of $15bn in April alone, with the vast majority of its crude being bought by India and China.

Russia is now India's biggest supplier of crude oil.

Russia has stopped publishing production statistics, making it hard to establish firm details, but its crude output is thought to have remained consistently above nine million barrels per day since the invasion of Ukraine.

Now Europe has weaned itself off Russian gas, Moscow's gas exports are thought to have slipped, but it is also selling refined petroleum products to countries like Tunisia and Egypt. Other buyers of Russia's refined products include Turkey, Morocco, Algeria, Brazil - two-thirds of whose diesel now comes from Russia – and even Saudi Arabia.

In terms of how Russia is arming itself, US intelligence has suggested it is being supplied with weapons and ammunition from a number of countries, among them China.

Iran is also known to be supplying Moscow – not least with drones - while Russia also has a stockpile of military hardware from Western countries, including France and Germany, that were acquired legitimately before the war.

There have also been suggestions from the US that South Africa, despite ostensibly being neutral, has supplied Russia.

Closer to Ukraine, while not overtly supporting Moscow's sanctions-busting, countries like Serbia are widely suspected of having provided support via the back door.

===========================
 
Hao wachambuzi mbona hawasemi ni kiasi gani cha gas & Oil kinaenda eu?
Vp kuhusu Japan na mataifa mengine?
Vp Russia anakusanya kiasi gani kwa kuuza mbolea na nafaka?
Naona kuna vitu vingi vimeachwa hapo!
 
Back
Top Bottom