Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hao wachambuzi mbona hawasemi ni kiasi gani cha gas & Oil kinaenda eu?
Vp kuhusu Japan na mataifa mengine?
Vp Russia anakusanya kiasi gani kwa kuuza mbolea na nafaka?
Naona kuna vitu vingi vimeachwa hapo!
Russia hawatoi takwimu zao hadharani
 
Nilicgoandika kama kinakuchekesha una matatizo, hakuna lolote la kuchekesha. Ngoja nikuulize, kama hutaki Mishustin awe famous ni ipi ranking ya powerful men in Russia?
Yani command ya Russia kiserikali watano wa juu ni kina nani. Sababu kwa Marekani unayoitaja namna ilivyo wa kwanza in command ni Rais Biden na wa pili ni Vice Kamala na wote hawa wanasikika vizuri sana na Kamala anafanya ziara na kumuwakilisha Biden mara kibao. Sasa hapo unasemaje hasikiki?

Russia haina Makamu, Waziri Mkuu Bwana Mishustin anaonekana wapi. Kwenye Victory Day Parade sherehe kubwa zaidi kitaifa haonekani, ziara kimataifa haonekani, kuunga mkono operation haonekani, media akifanya matangazo na hotuba hamna. Yani anafichwafichwa anatokea mara chache mno.

1. Dmitry Medvedev ni maarufu kumzidi, wakati Medvedev ndio aliondolewa kwenye nafasi ya PM na aliwahi kuwa Rais term moja. Sasa hivi yuko Security Council anasikika kuliko PM.
2. Dmitry Rogozin kaobdolewa ROSCOSMOS na alikuwa Deputy PM ila ni maarufu na anasikika kuliko PM sema kwa sasa anaumwa.
3. Dmitry Peskov ni msemaji wa Putin ila ni maarufu na anasikika kuliko PM.
4. Sergei Shoigu ni Defence Minister, maarufu sana na anasikika kuliko PM wake. Huyu ni untouchable.
5. Sergei Lavrov huyu hakuna haja ya kusema mengi.
6. Sergei Naryshkin mkuu wa ujasusi ni powerful, maarufu kiasi kutokana na unyeti wa kazi na ana umuhimu sana. Hata mkuu wa usalama naye anasikika kuliko Waziri Mkuu.

Hao wote ukitazama kwenye ranking Mishustin anawazidi kikatiba ila hasikiki kuliko wao. Hata kwenye vikao vya emergency, sijui kupata war briefing, kwenye maadhimisho ya kitaifa, ile baada ya Prigozhin kuasi kote uko humuoni akiwa front. Huwezi kutetea, point hamna.View attachment 2688467
Mara zote za Putin kukaa kwenye meza ndefu na fupi kumkuta Mishustin ni nadra. Yani hata msemaji wa jeshi yule Igor Konashenkov anasikika na propaganda zake na hesabu za ajabu kuzidi Waziri Mkuu. Hata Maria anasikika mara chache chache
Yaani kutokumuona mishutsin inafanya nini kisiende sawa
 
Russia hawatoi takwimu zao hadharani
Si wangeweza kuzipata kwa EU countries zinapokea kiasi gani?Au nao hawasemi wanafyonza kimya kimya?
Wanawezaje kujua mapato ya Russia kwa kuuza gas & Oil china na India halafu washindwe kujua mapato ya Russia anayopata kwa kuuza kwa nchi za EU na washirika wengine ambao wako "Transparent"?
Kuna maswali hapo zaidi!
 
Watu wanaendelea mbele!!!!!!!!!!!!


Russia says has advanced 1.5km in northeast Ukraine​


The Russian military said Tuesday it had advanced on a limited section of the front in Ukraine's northeastern Kharkiv region, near the city of Kupyansk, after "successful offensive

Source:France 24:18/07/2023

Wakati huohuo

​

Situation in the east ‘difficult but under control’: Ukraine​


The commander of Ukrainian ground forces says the situation in the east is “difficult but under control”.

“The enemy is transferring reserves
to the Bakhmut direction, trying to stop our advance,” General Oleksandr Syrskyi said on Telegram.


Source :Aljazeera:18/07/2023
 
Wakati nchi za Afrika zinapigania uhuru wao, russia na China wali zisapoti Kwa siraha na mafunzo.kumbukumbu mbaya zaidi Kwa mwafrika ni pale utawala wa makaburu wa south Africa walipokuwa wanasaidiwa na Marekani na Uingereza kuwakandamiza watu weusi. Na kusaidia vikundi vya waasi kama mile Cha savimbi UNITA Leo hii Kuna watu wanawaona wamarekani kuwa ni wakombozi wa dunia kichekesho.
Cha ajabu zaidi wanao support mabeberu hao walio kuwa wamekubuhu katika nyanja zote za ukatori na ukandamizaji ni baadhi ya Watanzania wenzetu ebu angalia idadi ya Watanzania wanao support US blindly akiwemo Mkenya MK-254 ukiwahoji watu wa type hiyo kwa nini? wako hivyo watakutajia eti sababu zakupenda sana soda za CoCaCola,Colgate, McDonald, KFC ns BigG, ukisikiliza hoja zao utachanganyikiwa.
 
Cha ajabu zaidi wanao support mabeberu hao walio kuwa wamekubuhu katika nyanja zote za ukatori na ukandamizaji ni baadhi ya Watanzania wenzetu ebu angalia idadi ya Watanzania wanao support US blindly akiwemo Mkenya MK-254 ukiwahoji watu wa type hiyo kwa nini? wako hivyo watakutajia eti sababu zakupenda sana soda za CoCaCola,Colgate, McDonald, KFC ns BigG, ukisikiliza hoja zao utachanganyikiwa.

Wanakuambia west Kuna freedom [emoji23][emoji23]uhuru wa uchoko mtu anakutangazia uhuru afu ukisema hiki hutak anakupa vikwazo asa huo ni uhuru gani...
 
Hongereni wote wanaosapoti urusi mpo upande wa Mungu na mko kinyume na mambo tajwa hapo chini na kwa wanaosapoti NATO/ Ukraine mnasapoti hayo mambo tajwa.vita ni zaidi ya vita kati ya urusi na Ukraine.
Screenshot_20230718-194236.jpg
 

How is Russia financing its invasion while it is under sanctions?​

We have been putting your questions on the war to our experts and senior correspondents.

Sky News reader Coops asks: How is Russia continuing to finance its "special military operation" given sanctions from most major economies, and is it true that Russia is often just circumventing sanctions by buying Western equipment via countries like Turkey and the UAE?

Our business presenter Ian Kinganswers...
lcimg-9a27661f-5bfd-46da-b4ab-a56efefa10dd.png

Russia is funding its war on Ukraine predominantly through its crude oil exports.

According to the International Energy Agency, Russia received oil export revenues of $15bn in April alone, with the vast majority of its crude being bought by India and China.

Russia is now India's biggest supplier of crude oil.

Russia has stopped publishing production statistics, making it hard to establish firm details, but its crude output is thought to have remained consistently above nine million barrels per day since the invasion of Ukraine.

Now Europe has weaned itself off Russian gas, Moscow's gas exports are thought to have slipped, but it is also selling refined petroleum products to countries like Tunisia and Egypt. Other buyers of Russia's refined products include Turkey, Morocco, Algeria, Brazil - two-thirds of whose diesel now comes from Russia – and even Saudi Arabia.

In terms of how Russia is arming itself, US intelligence has suggested it is being supplied with weapons and ammunition from a number of countries, among them China.

Iran is also known to be supplying Moscow – not least with drones - while Russia also has a stockpile of military hardware from Western countries, including France and Germany, that were acquired legitimately before the war.

There have also been suggestions from the US that South Africa, despite ostensibly being neutral, has supplied Russia.

Closer to Ukraine, while not overtly supporting Moscow's sanctions-busting, countries like Serbia are widely suspected of having provided support via the back door.

===========================

Wanakuambia west Kuna freedom [emoji23][emoji23]uhuru wa uchoko mtu anakutangazia uhuru afu ukisema hiki hutak anakupa vikwazo asa huo ni uhuru gani...
Cha ajabu hata majority ambao hawajawahi. kuvuka Altantic wala Pacific wanalisifia taifa hilo kama Mungu wao wa Dunia, wana


Wanasahau kabisa mamia ya mamillioni ambayo Merikani iliwahi kuua katika mataifa mbali mbali Duniani tangu Amerika ipate uhuru wake mwaka 1776 - kitu hicho ni watu wachache wanao kitabua - ni wauuaji sana na wakatiri - kazi kuzungumzia 24X7 masuala ya demokrasia na haki za binadamu -ulaghai mtupu!!
 
[emoji95]The first batch of new self-propelled mortars "Drok" was handed over to the Russian troops.[emoji95]

[emoji298]️The 2C41 Drok complex was created on the basis of the Typhoon armored car. The weapon is designed to suppress manpower and light armored vehicles, to blind observation posts, illuminate the territory and create smoke screens.

[emoji298]️The gun is mounted in an armored turret. The machine is equipped with mechanized guidance drives and a modern fire control system.

[emoji298]️One of the main advantages of the "Gorse" is a high rate of fire: more than 10 rounds per minute, while the ammunition holds more than 40 mines.
IMG_20230718_211127_088.jpg
 
Back
Top Bottom