Zindukaaaaaa sisi wenzio tulizinduka zamani mnooo na tulianza kujiuliza kwanini.mtu na genge lake aamue kuua watu wengine bila sababu??? ndio tukaona hao mnaita West ni mhimili wa shetani..View attachment 2690343
Tumetoka mbali sana, hizo lancet now wahuni wamezalisha nyingi mnoooooooo.
Nilikuwa miongoni mwa walioathiriwa na propaganda za wamagharibi nyakati zile ni mtoto na kijana nisiejielewa.
Kuanzia vita ya IRAQ mpaka kuondolewa kwa Gaddafi.
Jf imenitoa ujingani
NATO na Marekani wao wamepoteza nini?.Urusi imepoteza maelfu ya magari ya kijeshi na vifaru tangu ivamie Ukraine:
.....
Russia lost thousands of military vehicles, equipment, weapons since Ukraine invasion
Russia has lost over 11,000 pieces of military equipment and weapons between destroyed and captured gear since it launched the invasion on Ukraine lastenglish.alarabiya.net
Ndio Shida yetu Waafrikahalafu kwenye mazishi yake walikuwa wanamshangilia Obama
Ugaidi wa Mandela ilikuwa kudai haki za weusi Afrika kusini.Mpaka Mandela anatoka gerezani marekani alikuwa anamtambua kama gaidi, uliza kafanya kitendo gani cha kigaidi????
Nakazia neno ameapa.RAIS wa Urusi Vladimir Putin ameapa kulipiza kisasi kwa shambulio jipya la ndege mbili zisizo na rubani za Ukraine kwenye daraja la Crimea.
Hatua sahihi kwa sasa zinapimwa na Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo, alisema, wakati wa mkutano na maafisa wakuu wa jeshi na serikali jumatatu.
"Tukio hilo ni shambulio lingine la kigaidi la serikali ya Kiev. Uhalifu huu hauna maana kwa mtazamo wa kijeshi, kwani Daraja la Crimea kwa muda mrefu halijatumika kwa usafiri wa kijeshi, na ni la kikatili, kwani ni raia wasio na hatia tu waliuawa na kujeruhiwa," Rais Putin alisisitiza.
Putin alisema Moscow italipiza kisasi kwa shambulio hilo. Wizara ya Ulinzi ya Urusi tayari inatayarisha "mapendekezo ya lazima" kwa hatua kama hizo, aliongeza.
Rais pia aliwataka maafisa kuimarisha hatua za usalama karibu na daraja hilo, akibainisha kuwa hilo ni pigo la pili dhidi yake. Sehemu zote za barabara na reli ziliharibiwa vibaya Oktoba mwaka jana, wakati lori lililokuwa limebeba vilipuzi lilipolipuliwa.
"Nasubiri mapendekezo maalum ya kuboresha usalama wa kituo hiki muhimu cha usafiri," Putin aliongeza.
-
Tembelea //epaper.tsn.go.tz kusoma zaidi
Una maoni usisite kutuandikia
-
#HabarileoUPDATES
Huyu jamaa angekuwa Rais wa Russia kwa wakati huu,sijui ingekuwaje?Warusi wanatangaza kulipiza kisasi: "Tutatumia njia zisizo za kibinadamu - Wanaelewa tu lugha ya nguvu Naibu Rais wa Baraza la Usalama la Shirikisho la Urusi, Dmitry Medvedev, alizungumza baada ya mlipuko kwenye daraja la Crimea.
Inapendeza kuona hata pro Russia mnatambua kwamba huyo jamaa ni mwehuHuyu jamaa angekuwa Rais wa Russia kwa wakati huu,sijui ingekuwaje?
Ndio maana west pamoja na kumchukia Putin,ila wanaona bora aendelee kuwa Rais kwa sasa!
Maeneo kama haya ndipo ninapowakubali wabongo, yaani wangekamatwa mmoja mmoja na kupotea mpaka akili ikae sawa πππππkenya another fighting ground ya wazungu, since russian Lavrov na iran president watue kenya haya ndio matokeo,dark days ahead i weep for my motherland yet people like MK254..... let me not say it, it might be used against me. DRUMS OF WARS LOADING........View attachment 2692026
Oficially wazungu wako upande wa Raila ,Ruto aliongea mambo ya Dollar na multipolar world na umoja wa Africa na kufokea world bank na IMF sioni kama ata survives this. kenyan media is now officially compromised.Maeneo kama haya ndipo ninapowakubali wabongo, yaani wangekamatwa mmoja mmoja na kupotea mpaka akili ikae sawa πππππ
Bongo huu ujinga ni ngumu kutokea maana tiss huwa wanadeal na vinara mapema kabla hayajashika Kasi
Awaweke Wagner mapema pale milima ya Ng'O!! Vinginevyo, itakuwa habari nyingine.Oficially wazungu wako upande wa Raila ,Ruto aliongea mambo ya Dollar na multipolar world na umoja wa Africa na kufokea world bank na IMF sioni kama ata survives this. kenyan media is now officially compromised.
Hao wachambuzi mbona hawasemi ni kiasi gani cha gas & Oil kinaenda eu?How is Russia financing its invasion while it is under sanctions?
We have been putting your questions on the war to our experts and senior correspondents.
Sky News reader Coops asks: How is Russia continuing to finance its "special military operation" given sanctions from most major economies, and is it true that Russia is often just circumventing sanctions by buying Western equipment via countries like Turkey and the UAE?
Our business presenter Ian Kinganswers...
Russia is funding its war on Ukraine predominantly through its crude oil exports.
According to the International Energy Agency, Russia received oil export revenues of $15bn in April alone, with the vast majority of its crude being bought by India and China.
Russia is now India's biggest supplier of crude oil.
Russia has stopped publishing production statistics, making it hard to establish firm details, but its crude output is thought to have remained consistently above nine million barrels per day since the invasion of Ukraine.
Now Europe has weaned itself off Russian gas, Moscow's gas exports are thought to have slipped, but it is also selling refined petroleum products to countries like Tunisia and Egypt. Other buyers of Russia's refined products include Turkey, Morocco, Algeria, Brazil - two-thirds of whose diesel now comes from Russia β and even Saudi Arabia.
In terms of how Russia is arming itself, US intelligence has suggested it is being supplied with weapons and ammunition from a number of countries, among them China.
Iran is also known to be supplying Moscow β not least with drones - while Russia also has a stockpile of military hardware from Western countries, including France and Germany, that were acquired legitimately before the war.
There have also been suggestions from the US that South Africa, despite ostensibly being neutral, has supplied Russia.
Closer to Ukraine, while not overtly supporting Moscow's sanctions-busting, countries like Serbia are widely suspected of having provided support via the back door.
===========================