Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Naam hakika, chukulia tu mfano wa Taiwan kunako maslahi yake akidai endapo China ataingia basi atasimama "military wise" upande wa Taipei Against China. Why? Coz kuna ugali wake pale!Macron kishaanza kufunguka macho; Germany nao wakishtukia mchezo wa US, inaweza ikawa ndio mwisho wa NATO na mwanzo wa multipolar order.
Uchumi wa ujerumani ukiendelea kusinyaa, wananchi watailazimisha serikali, kupitia sanduku la kura au njia nyingine, kurudi kununua nishati rahisi toka Russia.
kwa huu uandishi wako unadhani tunaweza kufanya unachosema?lakini sikwaagenda za kua soko lamatakataka kutoka China na nchi zingine sasahivi aAfrica ilitakiwa africa tuanze kupaste bidhaa haswa mashine zakilimo ndogo ndogo ambazo zitawasaidia wakulima kuufukuza umasikini lakini qafanyacho sasa nikubadili zone ya kiutawala
majibu ya Russia -Africa Summit hayo
Jamaa wameona isiwe taabu, waseme ni yeye mwenyewe maana wanajua majibu yake.The European Union accused Russia of attacks on Moscow.
"The EU has urged Russia not to use drone attacks in Moscow to escalate its military operation in Ukraine," the EU Foreign Service said in a statement.
[emoji23][emoji2357]
Hii haitamsaidia Ukraine....na haitabaridirisha upepo wa vita....effect yake ni insignificant...Kama lengo ni kuonesha Putin kashindwa kulinda moscow pia hamna mashiko sababu hao Warusi wanaelewa na wanaexperience ya real terror- 2000's & 1990's...watu 100 kufa kwa mkupuo ilikua kawaida sana...na mtu aliwesaidia ni huyuhuyu Putin, sembuse hizi drone zinapapasa majengo tu.How are Ukrainian drones able to fly 500 miles to Moscow undetected?
By Sean Bell, military analyst
Volodymyr Zelenskyy had warned that he intends to take the war to Russia, and although Ukraine does not comment on such attacks, there has been a marked increase in the number of drone attacks on the Russian capital Moscow.
How is Ukraine managing to mount such attacks and why is Russia apparently unable to protect the capital?
Small drones tend to be controlled directly from a hand-held controller and can only operate within a relatively limited range from the controller transmitter. However, longer-range drones need to carry more fuel so are larger, and can either be controlled via satellite link or can be pre-programmed on the ground to enable them to operate with a greater degree of autonomy.
Larger drones - or remotely piloted air systems (RPAS) - can carry a range of sensors, transmitters and even explosives, but most still operate at relatively low speeds, use some form of propeller propulsion (rather than jet engine) and are therefore relatively vulnerable to ground-based defences - the larger the drone, the easier it is to see and thus target.
Moscow is 500 miles from the Ukrainian border, and so any Ukrainian attack drone would need to have significant range, and minimise the risk of detection.
Modern RPAS can have their routes pre-programmed using a Mission Planning Capability, which enables the mission planner to exploit undulating terrain en route to the target thus minimising the opportunity for enemy radar to detect the platform - even modern defence radars cannot see though mountains! This pre-programmed route can also avoid known Russian military defences and increase the element of surprise.
Any attack is also planned to be conducted in the early hours of the morning when those manning defences are generally at their least responsive. And, most drones are significantly cheaper than manned platforms, so attacks often involve multiple drones to increase the probability that at least one will get through - swamping defences.
The rapid advances in sensor technology have made many sensors cheaper, lighter and smaller, so rather than rely on jammable-GPS signals, terrain-matching technology enables more autonomous and survivable drone operation.
Regardless, drones remain relatively vulnerable, so for high-value targets a different attack mechanism is required. But Ukrainian attacks on Moscow are primarily designed to have a psychological effect, and even if the drone does not hit its intended target, it often still has the desired strategic effect.
Mr Zelenskyy will be targeting the Russian capital to increase public concern that Vladimir Putin is unable to protect his population from the wide impact of his war in Ukraine. This is unlikely to prove decisive in the near-term, but all serves to undermine the Russian president's credibility.
https://news.sky.com/story/ukraine-...t-china-12541713?postid=6240316#liveblog-body
Wakafie mbali huko matokeo ya SMO
The new Nigerien government has ordered the Armed Forces to arrest any European Nationals still in the country until France and other Western Powers agree to withdraw their military forces from Niger
Niger = NigerienNigeria si walikuwa upande wa ECOWAS?
Cha msingi ni kwamba ujumbe unafika kwamba ni suala la muda kuifikia Moscow city center na kuichakaza.., hivyo ukiona Ukraine katulia sio kwamba hawezi hizo mission!Hii haitamsaidia Ukraine....na haitabaridirisha upepo wa vita....effect yake ni insignificant...Kama lengo ni kuonesha Putin kashindwa kulinda moscow pia hamna mashiko sababu hao Warusi wanaelewa na wanaexperience ya real terror- 2000's & 1990's...watu 100 kufa kwa mkupuo ilikua kawaida sana...na mtu aliwesaidia ni huyuhuyu Putin, sembuse hizi drone zinapapasa majengo tu.
Ukraine wapigane vita front, wawang'oe warusi front ndio njia pekee ya kushinda...hizi njia nyingine zinaweza zikawa na faida kwa serikali ya Urusi kuliko hata Ukraine yenyewe...
Halafu Hilo jengo unalosema limepapaswa ,ni makao makuu ya wizara tatu tofauti hapo urusi.., yaani tuseme kwambaHii haitamsaidia Ukraine....na haitabaridirisha upepo wa vita....effect yake ni insignificant...Kama lengo ni kuonesha Putin kashindwa kulinda moscow pia hamna mashiko sababu hao Warusi wanaelewa na wanaexperience ya real terror- 2000's & 1990's...watu 100 kufa kwa mkupuo ilikua kawaida sana...na mtu aliwesaidia ni huyuhuyu Putin, sembuse hizi drone zinapapasa majengo tu.
Ukraine wapigane vita front, wawang'oe warusi front ndio njia pekee ya kushinda...hizi njia nyingine zinaweza zikawa na faida kwa serikali ya Urusi kuliko hata Ukraine yenyewe...
Ukraine wafanye ila Urusi atakapoamua kujibu zaidi ya tulivyo zoea tukae kimya tu maana majibu yapo ya ziada.Halafu Hilo jengo unalosema limepapaswa ,ni makao makuu ya wizara tatu tofauti hapo urusi.., yaani tuseme kwamba
Wizara ya elimu ya urusi makao yake makuu ni hapo
Wizara ya ulinzi ya urusi makao yake makuu ni hapo
Wizara ya uchumi ya urusi makao yake makuu ni hapo
Ukraine hawafanyi mambo kienyeji na kijinga kama unavyofikiria,
Sawa, lakini uzuri ni kwamba jamaa anazidi kubanwa mbavu kila upandeUkraine wafanye ila Urusi atakapoamua kujibu zaidi ya tulivyo zoea tukae kimya tu maana majibu yapo ya ziada.
Waendelee kumbana tu ila majibu yake Russia akiamua hali itakuwa ngumu kwa Ukraine kumbuka Urusi anaangalia pa kupiga ila akafuta hilo Ukraine wataumia zaidiSawa, lakini uzuri ni kwamba jamaa anazidi kubanwa mbavu kila upande
[emoji298]Russia's use of nuclear weapons against Ukraine will be considered an attack on NATO, given Ukraine's proximity to the Alliance's territory, β US Republican Senator Lindsey Graham
Join our telegram channel for more videos - link in comments
View attachment 2706137
Ha ha ha haaa.Putin is playing chess with the Western leaders and has once again played them like little children
If you remember the beginning of SMO, in the first 6 months NATO tried in every way to open new fronts against Russia and tear their army apart in multiple conflicts.
First they provoked and ignited the conflict between Azerbaijan and Armenia, then they tried through their NGO mercenaries in Georgia to provoke a new conflict with Russia.
So they tried to inflame Syria.
Then they tried to push Moldova into a war with the Russian population in Transnistria.
They also staged and caused a brief conflict between Kyrgyzstan and Tajikistan.
Putin had a hard time with all this but managed to stabilize the situation.
None of this worked and now the NATO countries got their own problems.
The US, which is currently stealing oil in Syria, is coming into conflict with pro-Iranian militias in the region.
France is slowly entering conflicts in several countries across Africa. Poland got Wagner on its border. Germany got itself a recession and gradual deindustrialization.
Japan and South Korea have always had the DPRK.
Kudadadeki.Burkina Faso President Ibrahim Traore:
"Mr. Macron, any military intervention in Niger will be considered a war against all of us... This is not a warning, but rather an action that you will see with your own eyes
Vita vya Ukraine vinahama mdogomdogo.Naam hakika, chukulia tu mfano wa Taiwan kunako maslahi yake akidai endapo China ataingia basi atasimama "military wise" upande wa Taipei Against China. Why? Coz kuna ugali wake pale!
So em tizama her reaction upande wa Niger,
πΊπΈπ³πͺ US sees narrow opportunity to reverse course in Niger after coup
There is a narrow opportunity to reverse last week's military takeover in Niger and U.S. diplomatic and military posture there will depend on whether the "democratically elected" government is reinstated in the coming days and week, a senior U.S. official said on Monday.
Washington's objective is to support West Africa's regional bloc ECOWAS in its efforts to reverse the takeover, the senior State Department official said. "We don't think it's fully successful, and we think there's a narrow opportunity to reverse it," the official told.
"Our posture will depend on what happens over the next days and week in terms of whether or not we're able to help the region and the Nigeriens reverse this."
#USA #Niger
@africaintel
Ni unaa mwanzo mwisho!