Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii kauli nimeipenda Sana, watu wanabaka Katiba Halali halafu watu wapo kimya tu
 
Umenizidi umri na matusi, nimekushinda busara na akili ndo maana umeamua kuwaingiza wazazi wangu ambao hawapo hapa.

Chukua ushindi wa mezani mkubwa.
Huwezi wewe mwenyewe ukajitathmini kuwa eti una " busara na akili'...Watu wa nje ndio wanapaswa kufanya tathmini hiyo...otherwise hiyo ni bragging tu na ambayo ni tabia mbaya kabisa...yaani Watu wa misifa siku zote ni Watu wa hovyo kabisa...
 
Mdogo wangu tofautisha mambo ya darasani na Information Intelligence.

Huwezi Kuelewa chocho. Ni wataalam wa information security pekee wanaweza ng'amua code zilizotumika hapo.
 
Alifariki kama wanavyofariki binadamu wengine na chanzo chake ni ugonjwa aliokuwa nao kwa muda mrefu.

Nini kingine?
Hata bob Marley ilijulikana kafa Kwa ugonjwa wa Kansa mpaka pale jasusi aliyemuuia alipokuja kujuta hadharani kuwa yeye ndiyo chanzo cha kifo cha bob Marley baada ya kumdunga sindano inayosababisha kabsa
 
Huwezi wewe mwenyewe ukajitathmini kuwa eti una " busara na akili'...Watu wa nje ndio wanapaswa kufanya tathmini hiyo...otherwise hiyo ni bragging tu na ambayo ni tabia mbaya kabisa...yaani Watu wa misifa siku zote ni Watu wa hovyo kabisa...

Umetoka nje ya mada ila usijali, nitakujibu.

Hakuna ubaya wowote kwa mtu ku'acknowledge sifa yake kama kweli anayo kwakuwa hakuna anayeweza kuubadili ukweli wake. Ni watu dhaifu pekee ambao huishi kwa kutegemea third party validation.

FYI, I't ain't bragging if you really got it. Na probably unawaona watu wenye misifa ni wa hovyo kwakua wewe huna chochote cha kujisifia.

Aliposema "ad verecundiam" yenyewe haikuwa bragging?
 
Information intelligence is a term used to describe the process of turning data into knowledge. This process involves the collection, analysis, and interpretation of information in order to make informed decisions.
 
Wewe ndiye upo nje ya mada. Hapa tunaongelea update kuhusu yanayoendelea Ukraine.
 

Nipeni elimu wanavyofunga airspace ni wanafunga mawasiliano ya ndege au inakuwaje?
 
COUNTRIES THAT HAVE A DESIRE TO JOIN BRICS
✔️Algeria
✔️Argentina
✔️Bangladesh
✔️Bahrain
✔️Belarus
✔️Bolivia
✔️Venezuela
✔️Vietnam
✔️Guinea
✔️Greece
✔️Honduras
✔️Egypt
✔️Indonesia
✔️Iran
✔️Cuba
✔️Kuwait
✔️Morocco
✔️Mexico
✔️Nigeria
✔️UAE
✔️Tajikistan
✔️Thailand
✔️Tunisia
✔️Turkey
✔️Syria
✔️Saudi Arabia
✔️Ethiopia
 
Hata bob Marley ilijulikana kafa Kwa ugonjwa wa Kansa mpaka pale jasusi aliyemuuia alipokuja kujuta hadharani kuwa yeye ndiyo chanzo cha kifo cha bob Marley baada ya kumdunga sindano inayosababisha kabsa

Mkuu nadhani jibu lipo ndani ya ujumbe wako mwenyewe. Elewa maneno "MPAKA PALE". Hivyo basi, mpaka pale itakapothibitishwa vinginevyo, hayati alifariki kwa ugonjwa.
 
Mkuu nadhani jibu lipo ndani ya ujumbe wako mwenyewe. Elewa maneno "MPAKA PALE". Hivyo basi, mpaka pale itakapothibitishwa vinginevyo, hayati alifariki kwa ugonjwa.
Mzee issue za kuthibitisha huwa ni mahakamani. But sasa hivi dunia ipo mbali sana. Wewe ni kijana mdogo lakini bado unaishi na mawazo ya ujima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…