Russia sio Africa kwamba wana wanajeshi wachache.Kumbuka Recruitment ya wanajeshi laki 6 (Russia ilifunga mipaka vijana wasitoke nje ya nchi),pamoja na recruitment ya Wagner mercenaries kupita kwenye jela na kuandikisha wanajeshi mpaka huku Africa.Pia kuna reservests wengi wanapelekwa frontline!Kwa takwimu hizi ambazo huwa unazileta hadi sasa Russia ilipaswa iwe ina wanajeshi wachache sana na dhaifu saaana.
West walikataa kwa sababu reli ya Tazara haikuwa sustainable economical, uliza kama dola miliion mia alizotumia mchina kujenga hio reli kama ziliweza kulipwa. Saddly, it all over again viongozi wetu wanarudia makosa yale yale kwa kujenga SGR which its not economic viable ilaa kutokana na political will inajengwaa.Miradi mikubwa yote afrika imefanywa na wachina.
Wakati Nyerere amepeleka wazo la Tazara kule IMF na Wb aliambiwa huo mradi kwa nchi changa haiwezekani ila alivyopeleka China ulijengwa faster faster, hata leo highways nyingi afrika zimejengwa na wachina ili kurahisisha maendeleo.
Zaidi ya miaka 500 ya west walitufanyia nini?
Ecowas wamekubaliana kuingia NIGER kijeshi kulinda maslai ya Marekani na NATO. Poor Africa
Hicho ni kipengele kimoja tu kwa faida ya reliWest walikataa kwa sababu reli ya Tazara haikuwa sustainable economical, uliza kama dola miliion mia alizotumia mchina kujenga hio reli kama ziliweza kulipwa. Saddly, it all over again viongozi wetu wanarudia makosa yale yale kwa kujenga SGR which its not economic viable ilaa kutokana na political will inajengwaa.
Uk kuna makomandoo au mashoga?Makomandoo wa Uingereza wawapa mbinu za kikomandoo,wanajeshi wa Ukraine!
......
Royal Marines train Ukrainians in the art of commando raiding.
[emoji636] [emoji1255]
Royal Marines have spent more than six months training nearly 1,000 Ukrainian counterparts in the art of commando raiding and complex amphibious operations.
Specialist instructors from across the UK Commando Force passed on invaluable expertise and knowledge in how to plan and carry out raids using small boats by day and night.
One unnamed Ukrainian Marine said: “The training I have received from the UK Royal Marines has been far more intense than I expected.
“I have learned so much and never expected to be doing the things I have done.
Source: the Royal Navy
View attachment 2714548
Waniger kumbe nao kiboko. Sasa Macron anasakwa Kwa udi na uvumba.
View attachment 2711060
Macron has been declared wanted in Niger. Checkmate.
[emoji1787]
#Source
@Slavyangrad
Join SLG [emoji832] Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
Uk kuna makomandoo au mashoga?
Shida Kuna Ndugu zetu wa Africa wakisikia kitu amesema West basi nawao huamini hivyoHicho ni kipengele kimoja tu kwa faida ya reli
vipi kuhusu jamii?
vipi kuhusu social economic impact itakayo leta maeneo itakapo pita?
Vipi kuhusu mazao ya chakula, copper, logistics kwenye kuyafikia masoko?
Vipi kuhusu usafirishaji wa watu, bidhaa na huduma ukiwa rahisi hujui kwamba utapunguza gharama ya bidhaa na huduma?
Leo hii wachina wamejenga reli ndefu zaidi ya kuunganisha mikoa kama Xinjiang na Tibeti
je waliangalia faida za kiuchumi tu?
kwa mtazamo huu wa West ndio maana Kongo Brazaville haina Connection ya barabara kutoka mji mkuu kwenda mji wa pili kwa ukubwa, huoni hiii nchi inazidi kuwa duni? Kongo Kinshasa vile vile, eti unaambiwa hakuna barabara za uhakika kutoka kinshasa mpaka Lubumbashi wakati huo huo Unaweza kusafiri kwa Lami kutoka Moscow mpaka Vladivostok.
Kama tukiendelea kuwasikiliza Western na their economical model basi bongo itaendelea baada ya miaka 5,000,000,000
Na baada ya makomando hao wa UK kuwapa mbinu makomando wa Ukraine hatimae wameikomboa Donbas na Crimea yote.Makomandoo wa Uingereza wawapa mbinu za kikomandoo,wanajeshi wa Ukraine!
......
Royal Marines train Ukrainians in the art of commando raiding.
🇬🇧 🇺🇦
Royal Marines have spent more than six months training nearly 1,000 Ukrainian counterparts in the art of commando raiding and complex amphibious operations.
Specialist instructors from across the UK Commando Force passed on invaluable expertise and knowledge in how to plan and carry out raids using small boats by day and night.
One unnamed Ukrainian Marine said: “The training I have received from the UK Royal Marines has been far more intense than I expected.
“I have learned so much and never expected to be doing the things I have done.
Source: the Royal Navy
View attachment 2714548
Sahihi kabisa, UK wapo vyema sana hata wale US seals, Delta ni model ya UK... japo kwa Sasa huenda wamezidiwa kwenye bajeti na teknolojia za kisasa.Kuacha mbali madudu yao. UKSF wana elite force a tier one SAS. Nchi nyingi duniani zime model vikosi vyao vya makomando after hii unit. Kwenye SF community hawa wako viewed kama waasis wa modern sf units.
Mambo yao ya kijamii hayanihusu
Wamefyekwa tena?[emoji779]️Russia’s Precision Strike On Mercenary HQ In Ukraine
Russia’s defense officials said a missile strike had been carried out against a gathering point for foreign mercenaries employed in Ukraine at the Reikartz Hotel in Zaporozhye.
Subscribe to RT
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ujue wamepigwa balaa..Wakipigwa wanasema Difficult
Jibu la Traore kwa Macron ama?