Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Vita hii ikiisha,takwimu halisi za casualties kwa pande zote mbili zitajulikana!Nyingine hizi ni propaganda,hakuna uhalisia wowote!Wewe unarusha makombora miles away,unajuaje idadi ya watu waliokufa kwa kombola hilo?Russia sio Africa kwamba wana wanajeshi wachache.Kumbuka Recruitment ya wanajeshi laki 6 (Russia ilifunga mipaka vijana wasitoke nje ya nchi),pamoja na recruitment ya Wagner mercenaries kupita kwenye jela na kuandikisha wanajeshi mpaka huku Africa.Pia kuna reservests wengi wanapelekwa frontline!
Rubble haijaanguka kwa natural course, kinachofanyika ni Mmarekani kuipunguza dola katika mzunguko ili kuiimarisha.
Baada ya nchi nyingi kuanza kusign mikataba ya bilateral trade kati yao kutumia national currencies, dola ikaanza kuanguka maana demand yake ikawa inaporomoka taratibu.
Kilichofanyika ili kuinusuru ni kupandisha interest rates kwao marekani ili kupunguza kiasi cha dola kilichopo kwenye mzunguko. So the current supply ya dola iko chini as compared to its demand sokoni.
Implication ya hii ndo tunaiona hata huku kwetu, dola haipatikani hata kwenye mabank makubwa. Jana Kenya wametanga currency yao Iko at the lowest against dollar over the past 50 years. Usd 1= 150Ksh (3000).
Hii move ya Mmarekani aifanye kiumakini sana, bila ivyo itachangia dola ipotee kabisa kwenye ramani. Kadri wanavyoifanya dola iwe chache kwenye mzunguko ndivyo nchi nyingi zaidi zinajitoa kwenye matumizi ya dola katika biashara zake. Maana hawana iyo dola.
Tuombe tu washauri wa mama walione hili mapema, huu ndo muda wa kuachana na USD. We trade zaidi na China, Saudia na India. Why are we using a third part currency kwenye hizi transactions?
👏👏👏👏👏👏👏👏👏Rubble haijaanguka kwa natural course, kinachofanyika ni Mmarekani kuipunguza dola katika mzunguko ili kuiimarisha.
Baada ya nchi nyingi kuanza kusign mikataba ya bilateral trade kati yao kutumia national currencies, dola ikaanza kuanguka maana demand yake ikawa inaporomoka taratibu.
Kilichofanyika ili kuinusuru ni kupandisha interest rates kwao marekani ili kupunguza kiasi cha dola kilichopo kwenye mzunguko. So the current supply ya dola iko chini as compared to its demand sokoni.
Implication ya hii ndo tunaiona hata huku kwetu, dola haipatikani hata kwenye mabank makubwa. Jana Kenya wametanga currency yao Iko at the lowest against dollar over the past 50 years. Usd 1= 150Ksh (3000).
Hii move ya Mmarekani aifanye kiumakini sana, bila ivyo itachangia dola ipotee kabisa kwenye ramani. Kadri wanavyoifanya dola iwe chache kwenye mzunguko ndivyo nchi nyingi zaidi zinajitoa kwenye matumizi ya dola katika biashara zake. Maana hawana iyo dola.
Tuombe tu washauri wa mama walione hili mapema, huu ndo muda wa kuachana na USD. We trade zaidi na China, Saudia na India. Why are we using a third part currency kwenye hizi transactions?
hata hizo dola kuzipata ni mbindeUmedadavua vizuri sana mkuu... wacha tuendelee kuisoma movie...
Na apo unamaanisha nikinunu dola 1 kwa 2500tsh nikaenda uza kenya napata 3000tsh (150ksh) apo napiga li 50tsh kama faida.... kwenye mil 25tsh natoka na faida ya 5mil.... naomba tusaidiane kueleweshana apo kama vp watu tuingie mzigoni
Ecowas wakajifunze Yemen nini hua kinatokea mataifa ya nje yanapoingilia kati kuwarudisha madarakani viongozi ambao ni vibaraka wa nchi za nje. Soudia akisaidiwa na west wanakumbana na mazito kutoka kwa Houthi rebels
Hivi hapa umekisoma ulicho kiandika?Sijui hesabu gani umepiga kupata hio miaka 5E9. Ila nachujua Number don't lie acha izo porojo za kisiasa, mara oooh tunaonganisha mikoa, maraa ooh watu wanapata nafuu ya usafiri.
Nadhani hujui kabisa nini dhana ya kuendeaha Serikali kwa mfumo wa kisasa wa kibepari, serikali inapaswa kuchaneli mapato inayopata katika miradi iliyotekelezeka kwa faida, miradi inayojiendesha. Labda nikuulize kama wewe u ulipaji wa Kodi. Au unafikiri serikali inachapisha tu pesa hovyo hovyo ikitaka kufanya mradi.
Beibya were na mafuta yo inakuwa cheapKuanguka kwa Ruble kunaashiria nini wanajamvi.... 1usd kwa 99ruble... mwaka jan la ilikua na wastan wa 1usd kwa 75ruble
Maamae Ukraine wamechelewa sanaKibano kinaendelea [emoji91]
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji1255]View attachment 2715502
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni kweli, naona hili daraja wanalichelewesha.., inabid walipe tetemeko haswa hambalo litafanya matengenezo yake yachukue miezi kadhaa kama sio miaka!Maamae Ukraine wamechelewa sana