Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Vita mbaya mkuu nimeona , Aisee PUTIN sio binadamu ni shetani Anaangamiza raia wake ,Ukiingia kwenye Telegram utazikuta nyingi tu, sema zitakuharibia siku kama hauna uvumilivu huo, anzia hapa Dead Russians | War in Ukraine
Kwani vita ni harusi? Ww mjinga sanaVita mbaya mkuu nimeona , Aisee PUTIN sio binadamu ni shetani Anaangamiza raia wake ,
Mnatakiwa msiwe wajinga urusi anapambana na wanaziVita mbaya mkuu nimeona , Aisee PUTIN sio binadamu ni shetani Anaangamiza raia wake ,
Hii haiwezi kuaminika kwa sababu, Kuna tuhuma lukuki kuwa Kuna ufanyaji wa Biashara za viungo vya binadamu kwa askari wa Ukraine lengo ni kukwepa kulipa fidia familia za askari hao.
Mbona Ukraine ndo wamekufa wengi sana hata kuliko Russia nenda hapo telegram search Dead Ukraines War uone jinsi watu wanavyo kufa kama sisimiziUkiingia kwenye Telegram utazikuta nyingi tu, sema zitakuharibia siku kama hauna uvumilivu huo, anzia hapa Dead Russians | War in Ukraine
Hii haiwezi kuaminika kwa sababu, Kuna tuhuma lukuki kuwa Kuna ufanyaji wa Biashara za viungo vya binadamu kwa askari wa Ukraine lengo ni kukwepa kulipa fidia familia za askari hao.
Kwa hiyo, Ukraine haishidwi kuweka "insignia " yaani nembo za wapinzani wake kuficha uovu inayofanya dhidi ya askari wake majeruhi na waliotangulia mbele ya haki.
Mbona Ukraine ndo wamekufa wengi sana hata kuliko Russia nenda hapo telegram search Dead Ukraines War uone jinsi watu wanavyo kufa kama sisimizi
Ukraine anaposhambuliwa hana haki ya kujilinda na kupiga pale panapohitajika?
Siyo Mvamiz ndo hufa sana Mkuu. Hii kauli yako siyo Kweli, hapa tunangalia nani? Bora kwenye Vita Alie Bora ndo ataathiri upande wa Pili.Mvamizi ndiye hufa sana, jifunze kufuatilia kinachoendelea acha kuskliza hao makobaz wenzio huko.
WaambieMbona Ukraine ndo wamekufa wengi sana hata kuliko Russia nenda hapo telegram search Dead Ukraines War uone jinsi watu wanavyo kufa kama sisimizi
Siyo Mvamiz ndo hufa sana Mkuu. Hii kauli yako siyo Kweli, hapa tunangalia nani? Bora kwenye Vita Alie Bora ndo ataathiri upande wa Pili.
Na utambue kwamba vita inapotokea pande zote mbili lazma kuwepo na mauaji tu Alie Bora ndo ataua wengi,
Kwaiy ndo hivyo usiseme Russia na Huku Ukraine inateketea kwa mauaji pamoja na Miundombinu yake kuharibiwa vibaya Mno
Point yangu inabaki pale pale hakuna vita ya silaha isiyo Kuwa na Umwagaji damu kwa pande zote mbili, upande wenye Nguvu ndo utaua wengi naomba unielewe hapa Mkuu kwaiyo Ukraine pamoja na hiyo technology yake lakin anapigwa vibaya mnoMvamizi Urusi kaja alitumia mbinu za kizamani sana, foleni la msafara wa vifaru liliwa na wanajeshi wake wameuawa tena wengi mno, unavamia nchi yenye teknolojia za kisasa ukitumia mbinu za kizamani, Mrusi hatokaa asahau huu ujinga alioufanya.
Ni kweli kabisa,kwana USA ni taifa la kinafiki mno.US anaweza kuwa amehusika kumuharibia France kwenye makoloni yake( kumbuka safari ya Nulad Niger), kwa sababu, Ufaransa alikuwa anazishawishi nchi za Ulaya ziunde jeshi lake ziache kuitegemea NATO!
Hili lilikuwa chukizo kwa US. Sasa, nadhani, Niger na majirani zake wakajiongeza kuwa hawa (US) nao wanataka kututumia tu Bora tukodi Wagner(Russia)!!
Ni issue, ndiyo maana umejibu hili bandikoKuamini kwako sio issue
Point yangu inabaki pale pale hakuna vita ya silaha isiyo Kuwa na Umwagaji damu kwa pande zote mbili, upande wenye Nguvu ndo utaua wengi naomba unielewe hapa Mkuu kwaiyo Ukraine pamoja na hiyo technology yake lakin anapigwa vibaya mno
Lakin hata hivyo Russia ndo anaongoza kuteka sehemu kubwa na Kuwa himaya yake pamoja na huyo Ukraine mwenye Technology ya kisasa lakin amepigwa wanajeshi wake karibia wote wameangamizwa, Miundombinu yake imeharibiwa, wananchi wake wamekimbia Nchi yao, Sasa huyo Mchekeshaji wao (zelensky) amebaki kuzurura kwenye mataifa kuomba msaada kama Leo yupo Marekani akiomba msaada kwa sabab Nguvu kazi zake zote zimeisha.
Au ww unasemaje Mkuu maana hayo.maneno yako hayaringani kabisa na Kile Russia anachokifanya Kule Ukraine