Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Walisha Jichokea hawa kutoa Msaada

Germany announced a new package of military aid to Ukraine

▪️4 8x8 HX81 tractors and semi-trailers for them;
▪️3 trucks;
▪️2 vehicles for the border service;
▪️5 drone detection systems;
▪️Mobile antenna-mast system;
▪️3840 artillery ammunition;
▪️25 laser rangefinders;
▪️15 HLR 338 sniper rifles and 60 thousand rounds of ammunition for them.
 
Wameanza kugeukana

Mayor wa Kiev amesema kwamba kwa sasa nchi ya Ukraine imeharibika na imekuwa ya hovyo na Institutions zinazotakiwa kuongoza nchi zimeshakufa.

Anasema kwamba kwa sasa mambo yanaenda kulingana na siku hiyo Zelensky atakuwa ameamka na mood ya namna gani.

Huyu Mayor mwanzoni SMO alikuwaga na mdomo sana.



 
Marekani alipigwa Vietnam na magobore tu na mitego ya kunasia nguchiro maporini ...hoja yako hii imetosha kukutunuku tuzo ya (mtukufu mpumbavu) kazi aliyo fanya bwana putin hakuna nchi yoyote ingeweza hata china kwa sasa anamuogopa mrussi tofauti na kabla ya hii vita..maana mrussi kaonyesha uwezo mkubwa wa kijeshi na kisayansi ulio very active kuliko nchi yoyote duniani ...uwezo wa kubadili mbinu na tec na kutoa mifumo mipya ya kitec inayo tokana na aina ya silaha za adui na kuzidhibiti.
 
Kwani Urusi inapigana na Ukraine au na Mataifa 40 yanayotuma silaha na watumiaji wa hizo silaha, sababu Ukraine hawajuhi kuzitumia.
Hivyo basi ni Vita ya Urusi na NATO.
 
Hizo habari za manazi wa Ukraine kuua watu ni upuuzi tu.

Weka ushahidi hapa
Ungekubali hiyo hoja ningestaajabu sana.

Hulka yako ni ya wale mashabiki zimwe wa NATO wanaokesha kutwa kucha wakidai eti Zelensky na Ukreni wanashinda vita.

If you cannot accept even the slightest, obvious fact, then no preponderance of sound judgment will ever convince you.
 
Ushahidi upo wapi ?
 
Hawezi pata majibu sababu roho yake inamsuta.
 
Huyu uwongo wako umepata kiwango Cha lami kwamba Ukraine kijeshi ilikuwa inazidiwa na Misri
 
Urusi ni habari nyingine!
 
Kuna mahojiano nimeyasikiliza ya mke wa zelensky,

Anasema asingelipenda kumuona mumewe anagombania tena uraisi kwa kipindi kijacho
Sidhani kama kuna kipindi kijacho kwa Ukreni.

Uamuzi wao wa kumsikiliza Marekani, badala ya kujitegemea wenyewe na kuishi vizuri na jirani yao, umewagharimu sana.

^There won't be Ukraine after the SMO^
 
Akaunti imedukuliwa

Akaunti imedukuliwa
 
Kuna hivi vifaru supposedly bora kabisa vya Marekani, visipochekechwa injini kila 24 hours, ngoma zinakata moto zenyewe.

Ukraine imekiri kabisa kuwa vifaru vya Marekani vinahitaji Service walau ya air cleaner Mara 1 kwa masaa 12 na ni vizito vinazama.

Shuhuda wa Ukreni:

👉^I think these American military equipments are not better suited for combat against the Russians.^
 
Kwa wale ambao hamjasoma hii, it's a must-read!

Najisikia kuwahurumia Ukraine, Zelensky kwakweli amejitahidi sana kuharibu nchi yake kwa mikono yake mwenyewe.

Kilichoandikwa kwenye hiyo article watu wote wanajeshi ama wenye background ya mambo ya ulinzi walionya mwanzo kabisa kabla hata counteroffensive haijaanza kuwa hakuna namna inaweza kufanikiwa sasa ndio kilichotokea.

Hata rais wa Czech, Petr Pavel ambae ni mwanajeshi mstaafu aliwasihi sana wasifanye counteroffensive kwakua tu wanashinikizwa na West, aliwambia hasara watakayopata in men na vifaa hawatakuja ku recover kamwe.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo mlipaswa kujua mapema, na mlikua mnajua sema ubishi...Leo hii ndo unajua kwamba Ukraine asingetoboa kweli??
 
Kwani Urusi inapigana na Ukraine au na Mataifa 40 yanayotuma silaha na watumiaji wa hizo silaha, sababu Ukraine hawajuhi kuzitumia.
Hivyo basi ni Vita ya Urusi na NATO.
Urusi haina ubavu wa kupigana na Marekani, achana na NATO nzima. Hata China haiwezi pigwa na Urusi hii.
Na hivi kwani hujui maana ya msaada?

Kwahiyo kwakuwa Marekani inasaidia bajeti ya Tanzania kupitia USAID, Bill & Melinda Gates Foundation, World Vision na mashirika mengine basi tunasema na Marekani ni maskini. Sababu Tanzania inasaidiwa na Marekani ila bado ni maskini.
Hapa utakuja kusema kwakuwa Tanzania imeshindwa kuondokana na umaskini kwa misaada ya Marekani basi na Marekani nayo ni maskini.

Huwezi kutaja vita ya NATO bila air dominance, hapo ni kujadili uchumi wa Tanzania bila kuitaja Dar es Salaam.

Hapo Ukraine hamna Navy, NATO gani haitumii Navy vitani?
NATO gani haitumii aircraft carriers za Nimitz class, Ford class, Queen Elizabeth class, hakuna Charles de Gaulle, hakuna Cavour. Na bado hakuna amphibious ships kama Juan Carlos na Mistral.

NATO gani iko Ukraine wakati hamna submarines kama Virginia class, Los Angeles class, hakuna Barracuda class, Le Triomphat class, hakuna Astute wala Trafalgar.

NATO haina stealth fighters, haina bombers, tankers, airlifters. NATO nzima haina paratroopers?

Hayo yote nimetaja Ukraine haina na bado Russia anasuasua. Sasa imagine Russia hii ingekutana na hata Uturuki si hali ingekuwa mbaya zaidi.

Urusi ni jeshi la mtu na mtu, kila vita wanayoenda duniani huwa wanapoteza wanajeshi wengi. Kusema Urusi inapigana na NATO ni vichekesho. NATO hawawezi pigana na jeshi halijui hata kufanya SEAD na halijui kumiliki anga alafu likasalimika.

Yani msaada wa vigari 20 vya HIMARS vinavyowaliza ndio vinafanya mdai NATO iko Ukraine. Sasa Marekani ikileta HIMARS zake zaidi ya 420 zilizokuwepo kabla ya vita si mtasema mwisho wa dunia umefika. Silaha zote pale Ukraine sio hata 5% ya silaha za NATO.
 
Kwani mkuu ni lini Ukraine alikuwa na nafasi ya kushinda. Tangu February 2022 mpaka sasa hivi November 2023 taja ni mwezi gani Ukraine alikuwa na chance ya kushinda vita.

Kinachotokea hapa sio ajabu, kilichotokea nyuma ndio ajabu Urusi nchi ya pili kwa uwezo wa kijeshi kushindwa kupigana na jirani unayevuka kwa miguu. Jirani ambaye jeshi lake ni dhaifu kuliko hata majirani zake Finland na Poland.

Kitu gani kwenye mlinganyo ni favourable kwa Ukraine tangu vita haijaanza? Si population size, sio idadi ya wanajeshi, sio uchumi, sio ukubwa wa jeshi.
Hakuna miujiza vitani, ni courage kwa Ukraine na uzembe kwa Urusi vita inaendelea mpaka sasa. Hii sio vita ya insurgents au magaidi, ilitakiwa Urusi iwe imeshinda muda mrefu kulingana na mlinganyo wao ulivyo.
 
Hii Vita pia imeilemaza sana Urusi na jeshi lake, itachukua muda kwa jeshi la Urusi kurudia hali yake ya kabla ya Vita.

Japo bado wana man power ya kutosha ila pia wamepoteza sana vifaa vingi na askari wazoefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…