Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tuliwambia ila hamkutaka kutusikia.URUSI akichukua ardhi basi sahau kabisa kama ilikuwa ni yako, ile kauli sasa imefutika ya kuwa(Vimeanzia Crimea na vitaishia Crimea)


NATO imeundwa sio kwa ajili ya Tanzania bali kwa ajili ya kujilinda na Urusi.
Mkuu,hiyo vita ilianzia Crimea na itaishia Crimea, huo ndio ukweli japo unauma

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
🤝🤝🤝🤝🤝🤝👏👏👏👏👏👏🤣😂🙏🇷🇺💪
 
Rudi ukafanye utafiti vizuri we chalii. Unasema Ukraine jeshi lake lilikuwa dhaifu kuliko jirani zake?

Sasa Kwa taarifa yako kabla ya SMO Ukraine ndio ilikuwa na jeshi Bora zaidi Ulaya nzima na ndio maana waliniamini wakidhani watamshinda Putin
 
Wewe unajifanya ujuaji mwingi, Ukraine amesaidiwa vifaa,askari,ujasusi,pesa,vikwazo kwa Urusi na hata vifaa vingine walitumia waliviongoza hao NATO.sasa unasema Urusi haimuwezi China kwel !?hivyo vichwa vya nuclear vina kazi gani!
 
Ok kwa hiyo hata hizo silaha za kujilinda hazikusaidia kumlinda.
Zimeshindwa kumlinda Ukraine dhidi ya jeshi Bora kabisa hapa chini ya jua Russian Forces.
Ukraine imejitahidi mno mpaka sasa kwanza kuzuia Kyiv isianguke mwaka 2022 na mpaka sasa kufanya Vita iendelee.
Nadhani wote tunakumbuka hapa kua Putin alishatuambia kua walirudisha nyumbani kikosi kilichokua kinaelekea kiev kwa sababu ya kupisha utekelezaji wa mazungumzo ya amani.
Ukraine walijifanya kukubali mazungumzo kwa masharti Urusi iache kuivamia kyev,Warusi walipoondoka kyev Ukraine kwa ushauri wa Boris Johnson wakakataa mazungumzo.
 

Unafikiri ni kwa Nini Ukraine ilikua inapewa silaha na NATO lkn haikuruhusiwa kushambulia ndani ya Urusi?
Ulishwawahi kuona wapi vita vya aina hiyo?
Kwamba zinapigana Iraq na Iran, halafu Iraq inapewa misaada let say na USA halafu USA inaipa shart Iraq isishambulie ndani ya iran.
Wakati USA na washirika wake walipokua wanaipiga Iraq na ama Afghanistan ama Yugoslavia walikua wanashambulia mji wowote walioutaka ili kuzidhoofisha nchi hizo.kwa Nini? kwa sababu hizo nchi waliona ni dhaifu.

Sasa kwa kufupisha ni kwamba USA ambao ndio viranja wa NATO waliogopa mambo mawili.
1)-Urusi ilitoa tamko Kali sana mwanzo wa vita kua nchi yoyote itakayoingilia kijeshi itaipa vita Kali ambayo haijawahi kupiganwa hapa chini ya jua.

2)-USA na NATO waliogopa iwapo Ukraine itajaribu kushambulia ndani kabisa ya Urusi,majibu ya Urusi yatakua ni makali mno.hakika kabisa Urusi angetangaza vita rasmi na matokeo yake Ukraine ingepewa kipigo kikali mno cha kuweza kuangamiza kabisa.ona mfano wa maangamizi anayoyafanya Israel kwa Palestine,vipi Urusi ameshafanya kitu kama hicho Ukraine?
Basi Kama hajafanyq ndo ujue USANATO sio wajinga kumzuia Ukraine asishambulie ndani ya Urusi.
Maana huenda Ukraine ingefutwa katika ramani ya Dunia.
Ukraine imejitahidi mno mpaka sasa kwanza kuzuia Kyiv isianguke mwaka 2022 na mpaka sasa kufanya Vita iendelee.
Ukraine ilishamalizwa kijeshi siku nyingi TU,ilikua Sasa ni zamu ya NATO waliokua wanapeleka silaha zao Ukraine,nazo zikawa zinapukutishwq hatimae nao wametoa milio kua wamepungukiwa akiba ya masilaha kwenye maghala Yao.
Kwa hapa Ukraine wala hajajitahidi kwa lolote maana miji imekwenda na haitarudi.
Wa kupongezwa hapa ni Urusi kaua ndege wawili kwa Jiwe moja ku demilitarize Ukraine na ku demilitarize NATO kwa wakati mmoja.
 
Kwanini Urusi isipeleke yenyewe hizo submarines zake dhidi ya Marekani. Si mnalialia hapa kwamba Marekani inapigana na Urusi, kwamba Urusi ni bwege yeye anapigwa anajiliza badala akampige huyo anayempiga.
Chief..nashauri utulie tu. Your arguments na the wishes you had kwenye hii SMO zimesha prove kuwa irrelevant. Punguza mahaba kwa muamerka, yeye mwenyewe ameshasema kuingia vitani na Urusi iyo itakuwa vita vya tatu vya dunia. Hayo ni maneno ya Biden, wewe wa hapo kwa azizi ali unatuambia nini hapa.

Na nikwambie tu, jeshi la Urusi (Red Army) aliko vitani. So far mnapambana militia separationist wa Donbass, Chechens, PMCs ambao kuna wafungwa ndani yao pamoja na volunteers waliojitolea na kupewa mafunzo ya miezi kadhaa.

American army ya miaka hii ni tofauti sana na ile ya miaka ya 90s...wameinvest kwenye technology za bei mbaya sana ambazo ziko vulnerable sana kuwa jammed na very simple platforms za mrusi. Man power yake ndo vile, wanaruhusu wao kwa wao kuoana.
 
Summary: Russian SMO was successful
 
Lakini ulisema Ukreni anashinda kwa sababu jeshi la Urusi ni walevi tupu.

What has happened along the way, huh?
 
Uchambuzi murua kabisa huu.
Umeandika kwa facts kabisa.
Joe Biden alishaona Urusi ni jeshi kubwa kabisa hapa Duniani, sio terrorist organization so vita na urusi ni ww3
 
Marekani haina mpango wa kupigana na Urusi, ila nyinyi mnaolialia Urusi inapigwa na Marekani ndio muifanye Urusi iivamie Marekani ama sivyo basi Urusi inaogopa. Hamuwezi kudai Urusi inapigana na Marekani mara NATO na yenyewe ipo tu inajificha.
Na nikwambie tu, jeshi la Urusi (Red Army) aliko vitani.
Unaijua Red Army?
Hata jeshi la Urusi hulijui kumbe. Sasa unachangia nini.
So far mnapambana militia separationist wa Donbass, Chechens, PMCs ambao kuna wafungwa ndani yao pamoja na volunteers waliojitolea na kupewa mafunzo ya miezi kadhaa.
Wafungwa wa Urusi wanamiliki Moskva missile cruiser ya tani 11,000 iliyozamishwa vitani?

Wafungwa ndio Rais Putin alipitisha mobilization? Last time Urusi unafanya mobilization kabla ya 2022 ni 1941 Putin hajazaliwa.

Wafungwa wanamiliki S-400, Kinzhal, fighter jets?

Majenerali wa Urusi waliouwawa vitani ni wafungwa? Urusi imekubali majenerali 7 wamefariki vitani. Hao ni wafungwa, Chechens au PMC?
American army ya miaka hii ni tofauti sana na ile ya miaka ya 90s...wameinvest kwenye technology za bei mbaya sana ambazo ziko vulnerable sana kuwa jammed na very simple platforms za mrusi. Man power yake ndo vile, wanaruhusu wao kwa wao kuoana.
Unadharau teknolojia ndio maana jeshi la Urusi ni kufa kwa wingi. Wao ni kujaza idadi ya watu kama wanaenda hija.

Na hiyo bei mbaya ya platform za Marekani si ni kwa sababu hela ipo. Sasa Urusi hata ikitaka silaha za bei mbaya hela itoe wapi wakati GDP yao ni level za jimbo la California.
 
Hahaha zile Mbwembwe Pole pole zinamuisha

NATO Secretary General Jens Stoltenberg said NATO should be ready for bad news from Ukraine, according to his interview with ARD television:
Mkuu MOTOCHINI naomba kuipa nyama koment Yako.

MILITARY OPERATION IN UKRAINE
3 DEC, 10:46

NATO chief says it should be ready for bad news from Ukraine​

It is crucial to boost ammunition production, Jens Stoltenberg said


NATO Secretary General Jens Stoltenberg said NATO should be ready for bad news from Ukraine, according to his interview with ARD television on Saturday.
"We should also be prepared for bad news," he said, when asked if he feared that the situation in Ukraine would worsen in the future. "Wars develop in phases. But we have to support Ukraine in both good and bad times."
It is crucial to boost ammunition production, Stoltenberg said, conceding that NATO countries were unable to meet the increased demand for them. He said Ukraine is now in a "critical situation," but declined to recommend what Kiev should do.
"I will leave it to the Ukrainians and military commanders to make these difficult operational decisions," Stoltenberg said.

He also commented on challenges faced by European defense industry.
"One of the issues we should address is the fragmentation of the European defense industry," he said.
The NATO chief said it’s in the interest of Europe and is good for jobs in the industry. He said it is important not to allow ammunition prices to rise now that demand has climbed.
Stoltenberg said there had been no significant developments on the battlefield over the past few months. He declined to share an outlook for what could happen next.
"Wars are inherently unpredictable," the official said. "But we know that the more we support Ukraine, the faster the war will end.".

Msemo usemao "time will tell,"una maana sana.
Hatimae Muda umeshaaza kuongea na kutoa majibu
Summary: Russian SMO was successful
Ha ha ha haa
 
Wewe unajifanya ujuaji mwingi, Ukraine amesaidiwa vifaa,askari,ujasusi,pesa,vikwazo kwa Urusi na hata vifaa vingine walitumia waliviongoza hao NATO.sasa unasema Urusi haimuwezi China kwel !?hivyo vichwa vya nuclear vina kazi gani!
Mimi nikiwa mjuaji wewe ukawa mbumbumbu ni sawa hamna shida. Kwani China haina vichwa vya nyuklia?

Urusi ateswe na Ukraine isiyo na navy aje apigane na China yenye navy kubwa zaidi ya mara mbili kuzidi Urusi. China yenye industrial production kubwa zaidi ya mara 10 kwa Urusi. China yenye uchumi mkubwa sana na population na silaha na kila kitu.
 
@t-14 armata ni wale jamaa mkiwa mnapiga stori anaongea sana hadi mnasahau mlianzia wapi. Huwezi kuwa mtu huyo huyo unajua mambo ya kijeshi, huyo huyo unajua udaktari, kilimo, mahusiano. Huwezi kujua kila kitu na ukitaka kujua kila kitu ujue utakuwa failure kwenye maisha na always utakuwa wa kujitafuta ndo maana kuna professionalism. Unajua kila kitu hadi bosi anashindwa akulipe kama muhasibu, fundi wa magari ofisini au occupational safety and health officer kwenye eneo la kazi nk. Na shida anafungwa na mapenzi na chuki anapochambua mambo, hayuko rational kwenye baadhi ya mambo na ni hatari kama hili anaenda nalo hadi kwenye kujifunza.
 
Rudi ukafanye utafiti vizuri we chalii. Unasema Ukraine jeshi lake lilikuwa dhaifu kuliko jirani zake?

Sasa Kwa taarifa yako kabla ya SMO Ukraine ndio ilikuwa na jeshi Bora zaidi Ulaya nzima na ndio maana waliniamini wakidhani watamshinda Putin
Jeshi bora la Ulaya lisilo na Navy?
Jeshi halina in air refueling capability, halina paratroopers. Jeshi hata artillery shells linasubiri kupewa ndio unaita bora kwa Ulaya.

Jeshi bora la Ulaya linafundishwa na Uingereza doctrine za kupigana. Uliwahi ona jeshi la Ujerumani linaenda kufundishwa Uingereza au Marekani? Uliwahi ona jeshi la Uingereza linafundishwa mapigano na Marekani?

Ukraine ilivyo hivi sasa ishakuzwa kutokana na vita ila tuseme Russia iondoke na irudishe maeneo yote kwa Ukraine na hapohapo bila maandalizi Poland ivamiwe na Ukraine bado Poland inashinda.

Ukraine hii ambayo inapewa silaha zilizostaafu Poland inashangilia ndio mnaita strongest in Europe? Hii ambayo imepewa Gepards zilizostaafu Ujerumani 2008 uko na sasa zinasifiwa sana Ukraine?

Leo Uturuki iingie vitani na Ukraine alafu Ukraine ishinde? Vichekesho
 
Hakika kabisa usemacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…