Jacob kalokola
JF-Expert Member
- Mar 26, 2022
- 901
- 2,734
Lazima Mwamba Putin awakamate hao ICC AMA ATAWAPIGA SUMU ama kuwapiga risasi popote.ICC wenyewe wanatafutwa kukamata kw mashitaka waliyofunguliwa huko Russia!
Na hapo utafikiri hao Wagner PMC ni wazaramo au wakurya wa huko Mara walio kodiwa kufanya kazi Urusi.....wapo wengine walisema Urusi si lolote si chochote inategemea askari wa kukodiwa wa kampuni wa Wagner.
Vip Kiev mlifika? Msafara ulifyekwa mithili ya dawa ya lungu inavyowaangamiza wadudu[emoji16][emoji16]hakuna excuse MKUU shida ni KIEV nanisuala la muda tuuuu
Hiyo Kiev bado tu?yule comedian nisuala la muda tu wanaompa kibri waandae utetezi wakuja kumtetea baada ya sisi kufikia KIEV
Tukiwaambia mna mihemko kama nyumbu mnatuona wakorofi..,na hii mihemko imeanza kurejea siku za hivi karibuni., ngoja zelensiky aendelee kuwachakaza Ili tuone mtakuja na ngonjera gani nyingine!Retreat za Ukraine huzioni? Saizi wote wamesogezwa kwenye kibangara kimoja kama mngejua kamji hako kanapigiwa final decision msingekuwa mnajitutumua hapa. Kyiev is circled by Russia forces while uncertainty of exploitation wandering in Ukrainian's mind. Mashaka yamejaa hadi kwenye chupi,matumbo tanasokota,msongo wa mawazo ya kifo yametawala,watoto wameliaaaaaaa hadi ndefu za mchozi zimejitengeneza. Mmeniamsha sasa yaani ukraine ana banabana mzigo? Subirini sasa this is a revenge on behalf of american people and his dogs who barking days and nights Mhaza faka
Hawachoki kuyapindua maneno Hawa bibie,Leo hii Wana ngonjera Yao wanasema urusi ameshashinda hii vita ,na hii ni baada ya kuona marekani kasimamisha msaada kwa Ukraine kwa takriban mwezi mmoja Sasa[emoji16][emoji16]Nyinyi si mlisema hapa ndani ya masaa 24 vita inakwisha,kiko wapi sasa hivi. Mlidhani Ukraine ni dhaifu kiasi hicho,endeleeni kuyapindua maneno ndicho mlichobakiza sasa hivi
Tulikuwa tubahesabu siku tu,Leo hii huwezi kuamini tunahesabu miaka..,alafu Kuna watu bila aibu wanaendelea kujitutumua[emoji28][emoji28]Porojo hizi tushazizoea leo siku ya nne,hakuna jipya.
Ongereni kwa kuitwaa Kiev, nasikia rais zelensiky kakimbilia Poland[emoji28]wewe ndio unapindua maneno nakama utaona koment yangu nimetaja muda wakuitwaa KIEV unitag usisahau na acc no yako
ila msemo wamgu KIEV nisuala lamuda tuu namaendeleo yaliofikiwa na RUSSIA kwenye hio vita ikiwa hata week bado sio mabaya nisuala la wakati tuuu
Bado tunaendelea kusubir mkuu [emoji16]Hivi Russia bado hawajachukua serikali?
Mlikuwa na mihemko kweli!Ngoja nitoe kwa stiki alafu nicheke ki bourgeoisie HAHAHAHAHAHHAHA[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Mpakani huko wanaume na askari waliovua jezi na kuvaa kiraia wakimbia nchi ya ya Ukraine. Na nitamshauri Putin afanye kama Hitler kuua maadui zake wote popote walipo. Tutawafuata huko huko Poland sijui Marekani wote tunafyeka na ingekuwa afrika basi ileeee zero operation ndio hiii
,[emoji28]Tunaibeza sababu ya maneno yenu pro Putin,mlituaminisha hapa kuwa vita itakuwa ya chini ya masaa 24,sasa hivi mmeanza kuhamisha magoli.Urusi kamwe haiwezi kuzitumia hizo silaha ilizonazo sababu iko wazi,hii vita iko nyumbani kwake,akizitumia ni anaimaliza Ukraine na yeye mwenyewe anakwisha,sasa kama hawezi kuzitumia,ya nini kukazania kutuambia hapa anazo silaha ambazo hazina msaada kwake kwa sasa.
February 27Huyo mwamba kama ataendelea kubaki kyv watamla kichwa kama wamemkosa inamaana bado watadili naeView attachment 2132685
,🤣🤣😂😂😂🤣😂😂😂🤣🙌ICC wenyewe wanatafutwa kukamata kw mashitaka waliyofunguliwa huko Russia!
Hakika Mkuu,na inasememekana Wagner ilianzishwa kwa maelekezo ya Mwamba Putin mwenyewe.niaNa hapo utafikiri hao Wagner PMC ni wazaramo au wakurya wa huko Mara walio kodiwa kufanya kazi Urusi.
FTI, Wagner ni registered Private Military Company ya Urusi, Imeanzishwa na Warusi kwa ajili ya maslahi ya warusi. Wao ni warusi na popote wanapoenda duniani wanatembea na bendera ya Urusi ndio maana kila wanachofanya west wasipokipenda wanaitupia lawama Urusi kwa ujumla.
Hizo lawama hazijawah kwenda Congo, wala China wala Nchi yoyote tuijuayo isipokua Russia kwasababu fika Wagnerites ni Russians. Sasa how comes inakua Russia si chochote bali Wagner 🤣, Ukitoa mwamvuli wa Wagner ni sawa na kusema Russia si chochote bali "Russians".
Tunaoenda deep between lines wa yale wenzetu wanayo andika huwa tunacheka sana kiukweli. Lakini ndio uwezo wao upo hapo hakuna zaidi ya kuwazoea.
Mkuu hata NATO wakiingia bado kumshinda urusi ni ndoto.Kwahiyo marekani wataendelea kuidhinisha budget ya msaada kwa ukraine mpaka lini? Nadhani msaada wa vifaa na fedha umeshindwa ku workout huko Ukraine kwa sasa kinachoweza kusaidia kushinda vita labda majeshi ya NATO yaingie front kama wataweza .ila kwa hali ilivyo sasa tunahesabu tayari Putin kawapiga kidole cha Kati NATO na zelensky
Fu..k Western [emoji867]
Leo wamekufa wangapi?Tukiwaambia mna mihemko kama nyumbu mnatuona wakorofi..,na hii mihemko imeanza kurejea siku za hivi karibuni., ngoja zelensiky aendelee kuwachakaza Ili tuone mtakuja na ngonjera gani nyingine!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app