lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
[emoji3][emoji16][emoji23]Huu uzi kwa sasa watu wanachangia comment 50 kwa wiki, ila kipindi kile Prighozin anaelekea Moscow kwa siku moja tu ukichangiwa mara 5000.
Wenzetu wana roho ndogo sana sijui kwa nini.yule jamaa wa kuitwa T-14 Armata uwa namuona kwenye jukwaa la uvuvi kwa sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pmj na yule ndugu yake kutoka kenya .......huwa namuona nae akichangia kwenye mada za bbt[emoji3][emoji16][emoji23]
Itakua kajiunga na mradi wa mama wa BBT [emoji23][emoji23]
Au sijui nintagi[emoji3][emoji3]
Heheeee wameamua kukimbilia huko kwenye BBT baada ya ramli zao kwa SMO kufa kifo cha mendePmj na yule ndugu yake kutoka kenya .......huwa namuona nae akichangia kwenye mada za bbt
Ha ha ha.....mwamba kachochora[emoji1787]Huu uzi kwa sasa watu wanachangia comment 50 kwa wiki, ila kipindi kile Prighozin anaelekea Moscow kwa siku moja tu ukichangiwa mara 5000.
Wenzetu wana roho ndogo sana sijui kwa nini.yule jamaa wa kuitwa T-14 Armata uwa namuona kwenye jukwaa la uvuvi kwa sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hapa ilipo fikia operation imesha mshinda ila anacho kifanya ni kutafuta uchochoro wa kukimbilia, ukiona rais anafukuza watendaji wakuu jeshini jua maiyasha fika shingoni.Zele kuna siku atadondoka kwenye ndege na hapo ndiyo mwisho wa vita ni suala tu la mda
Kuna mgogoro unaendelea kati ya Zelensky na Mkuu wa majeshi - Valery Zaluzhny.
Sababu kubwa ya mgogoro huu ni kitendo cha Zelensky kutaka kufanya new mobilization ya wapiganaji (waende wakauliwe), wakati yeye Zaluzhny hataki mobilization, anataka Zelensky afanye political decision ya kumaliza hii vita kwa sababu haoni Ukraine ikishinda, hata pamoja na hiyo Mobilization
Jumatatu wiki hii, Zelensk alimtaka Zaluzhny ajiuuzulu. Jamaa kamkatalia na anaendelea na majukumu yake kama kawaida.
CNN wanasema kwamba;
Zelensky set to announce dismissal of Ukraine’s top commander within days as rift grows over war, source says
Link:
Ha ha haa,nafikiria TU kizembe,pale zelensky atakapomchagua CDF mwingine halafu huyu wa Sasa akagoma,Tena akaungwa mkono na makamanda na wanajeshi watiifu na yule mpya akabaki na makamanda wake na wanajeshi watiifu kwake kisha Kila mtu akachagua Chaka lake.
Aisee!! zelensky kajimaliza.