President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Putin mwenyewe. (hapana, natania). Kama ungefanya utafiti kidogo tu, ungejua mtaalamu aliyehusika Sakhariov aliandika kipana juu yake; pia Nikita Khrushtchov (wakati ule kiongozi wa nchi) aliandika kwa upana katika kitabu cha kumbukumbu ya maisha yake; haikuwa silaha ilikuwa jaribio, walitaka kuoonyesha Marekani kwamba wanaweza kulipusha kitu kikubwa kupita kiasi wakafaulu.Mzee upo na inferiority complex. Hayo maneno unayotumia kwenye comments zako yanaonesha hivyo (Utoto).
Sasa wewe unayekataa nani kakuambia bomb hilo halipo huko Russia!?
Tafsiri yako ya post za kitoto ni nini!? Hiyo nimekuambia ni inferiority complex. Ni kutaka kujihami kwa kuficha udhaifu wako huku ukihamishia tatizo kwa mwingine.Putin mwenyewe. (hapana, natania). Kama ungefanya utafiti kidogo tu, ungejua mtaalamu aliyehusika Sakhariov aliandika kipana juu yake; pia Nikita Khrushtchov (wakati ule kiongozi wa nchi) aliandika kwa upana katika kitabu cha kumbukumbu ya maisha yake; haikuwa silaha ilikuwa jaribio, walitaka kuoonyesha Marekani kwamba wanaweza kulipusha kitu kikubwa kupita kiasi wakafaulu.
Ndiyo, napata inferiority complex. Kwa nini nalaaniwa kuwa mmoja katika spishi ya viumbe inayozaa watu wanaotuma post za kitoto vile????
(Ila wewe unayeleta hekima hapa ambayo akili yangu ya kitoto haiwezi kuelewa - nani amekuambia wewe kitu hiki kipo duniani??)
Ni kweli usemavyo, ila kwangu mtu kuwa nchi za nje mfano wa hizo ulizozitaja sio jambo la ajabu, wala hawezipata credit yoyote kwangu...ni jambo la kawaida mno kwangu.Ukute unayemuambia hivyo wala hayupo huko Ukraine . Yupo zake Tegeta . Ila kwa humu JF sababu ya SIMULATION basi inawezekana akawa Ukraine kama wengine walivyo huko Russia, Yugoslavia, Belarus, USA, German, UK na hata wasemaji wa wizara za Ulinzi na Ikulu.
Anajua bao la kete hiloUnaye sema haya yote ukute haujui hata bunduki inashikwaje ila waTZ tuna ujuaji wa kipuuzi hivi unafikiri vita ni rahisi eti?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Hii nayo inabidi tuibani tum-yumbishe Mrusii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Potash production by country
View attachment 2151843
The greatest demand for potassium compounds is in fertilisers. Many other potassium salts are of great importance, including the nitrate, carbonate, chloride, bromide, cyanide and sulfate. Potassium carbonate is used in the manufacture of glass. Potassium hydroxide is used to make detergent and liquid soap. Potassium chloride is used in pharmaceuticals and saline drips.