NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Wametishaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili ni Lori la kijerumani wameandika hivi:
Sanctions against Russia: Inscription on a truck in Germany
Dont be upset!
Trucks will not run from Monday.
From Tuesday you can pick up your newspaper from the printers yourself.
On Wednesday - yesterday's bread.
On Thursday there will be no gasoline at gas stations.
On Friday, you can take your garbage to the landfill on your bike.
On Saturday you can walk in the store among the empty shelves.
On Sunday you can sleep long, as there will be no beer in the taverns.
On Monday you don't have to go to work because there is no more material (raw material).
Nalog off
View attachment 2152004
Hata uhuru ulipatikana kwa kumwaga damu. Kumwaga damu inaweza kuwa sehemu ya ukomboziHivi tushangile mauaji haya ya Purtin eti kwa ushahidi kuwa America naye waliwahi kuivamia Iraq, nisawa kuwa na sisi watanzania aje Gaidi kama Purtin atuvamie then tukilia kuwa Taifa letu limevamiwa basi mataifa mengine waje washangiie kuwa iliwahi tokea na sehemu nyingine duniani
America waliwajibika kuvamia nchi za kiarabu kwa kujitetea baada ya magaidi kuishambulia marekekani na magaidi wakiwa wanahifadhiwa na hizo nchi
Purtin ni Gaidi muuaji na kibaya anataja hadharani kuwa atatumia nuclear, hivi hapa sasa binadamu anaemuunga mtu kama huyu anae ua watu mpaka anatishia Kuua watu na nuclear ni binadamu wa ajabu mwenye akili kama Purtin na hizi akili sio za mmarekani
Kila mtu humu amlaani huyu muuaji jangili Purtin
Umeshiba kweli ww unanivamia alafu unaenda kukaa kwenye makazi ya watu unatumia drones ambazo zinatoka kwenye makazi ya watu alafu ni kuache kiazi kweli wwYaani toka nimekuwa na akili sikuwahi kuona vita ambayo target kuu ni majengo ya raia na kuua raia ila hii.
Putin anaweza kuwa mtu katili namba moja ukimuondoa Hitler ambae tumesikia habari zake.
Naamini ni heri mbingu na nchi zipite kuliko Putin kutolipizwa kisasi kwa nafsi alikatili uhai.
Mabeberu walishaanza kuzusha eti huyo mwandishi hajulikani alipo.Mahakama ya Moscow ilimtoza faini mfanyakazi wa Channel One kwa rubles 30,000, ambaye alionekana hewani siku moja kabla na bango.
View attachment 2152013
Kwa hiyo unataka Urusi aanze kurusha makombora katika Nchi zote 28+,hizi zitakua ajili au matope??Sasa si apambane na NATO wanaotaka kuleta hayo madude?mbona anawamudu huyu Ukraine Ni kumuonea tu,hapo ndio kaishia kujiaibisha tu!maana Siku ya kwanza nilivyosikia anapiga Ukraine nilikuwa Kuna maajabu yatatokea kumbe Hana maajabu
View attachment 2152023
Aus.> Russia+Brazil+China
Zelensky kweli Ni comedian[emoji1787]We are fighting for our lives. We fight for our lives in missiles, air bombs, artillery, tanks and mortars. And everything else that Russian troops are using to destroy us. Everything else than Russia is destroying itself now. Because every shot at Ukraine, every blow at Ukraine are steps towards Russia's self-destruction.View attachment 2151988
He! Kumbe umechungulia🤣na alivyo na kifua cha kupambana dhidi ya team putin nabaki kujichekesha ovyo na kushangaa, huyu mzee hii sura ya vita ameitolea wapi?