Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Huyu Macron ni mgonjwa wa akili?

Nani aliwashauri wao EU wavunje uhusiano na Russia na kuiwekea vikwazo?
 
Read between the lines dude! Hapa alionesha wasi wasi kwa URUSI kuongezeka nguvu kijeshi kinyume na matarajio kwamba ipo vitani,alafu amesema hizo silaha huenda ni maandalizi ya kuivamia NATO mbeleni baada ya kumalizana na Ukraine.
 
Shughuli Bado wakati wao wapo Busy na Michango mara Vikao Mrusi Anasonga Mbele nakujichukulia Eneo
Na alisha sema Akichukua Harudishi Vita ikiisha Hayo maeneo Si Ukrein


The collapse is accelerating. Yesterday it was only Ocheretyne and Novobakhmutovka. Now Solovieve has been entered and Russians are reportedly gearing up for assault on Arkhangelsk, which would put everything east of it and west of Novokalinov in a boiler
 


Utaratibu uliopo miaka na miaka ni kwamba vita ndio inachora upya mipaka ya nchi. Hayo maeneo hayarudi Tena

Ni Nyerere tu ndiye aliyeta mambo ya kijanga kwa kutoimega Uganda baada ya ile vita ya Kagera.

Yaani tulifika hadi Kampala halafu tukashindwa kuchora upya mipaka kwa kuimega Uganda.
 
Ha ha haa,aisee we jamaa ni mbabe sana walah.
Ungekua Rais wewe nadhani Malawi na Uganda zingekua sehemu ya Tanzania.
 
Kuna concept ya Greater Europe kwa maana ya Ulaya moja kutoka Lisbon hadi Vladivostok. Mpango wa ushirikiano kati ya nchi za Ulaya na Urusi hua upo ila US ndo anaingilia kati kuuvuruga.
 
Ameongea ukweli, nchi za kiafrika zikianza kujitambua Kama burkinafaso ulaya itakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ